Sio mbaya mkuu.Mkuu for the past 15 years I have testing this theory and Nafikiri ndio imenipa nguvu ya kuwapo hapo BUT shida ni kwamba these other objects of my passion kwangu hazidumu sana...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]inatokeaga mkuu.Wewe shupavu hebu niache kwanza [emoji28][emoji28][emoji28] yani hakuna lenye unafuu
Exactly.Na hili ni moja katia ya tatizo langu.If you meet me and talk to me.I am perfect and Normal.But on the inside I am freaking weird.
Kwa ninavoona mkuu haendeshwi na mapenzi wala finance maana hana access kubwa sana ya emotion mkuu.Kwahiyo mkuu ni mapenzi pekee ndiyo yanakuendesha hivi au pia na mambo ya financial? Vyote kwa pamoja maana unaonekana una stress za kutosha
Kuna ukweli mkubwa hapa mkuu.ume suffer emotional neglect in your childhood,ulikua unapewa kila kitu na wazazi wako ila hukupewa attention ukilia,ukiwa na furaha/huzuni haikuwavuta wakuangalie ..hujui ku express your emotions as a result yaani umekua na flat personality hucheki wala hununi ......kukutibu itakua ngumu sababu inaelekea you are happy with it
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ndo njia rahisi ya kupata msaada mkuu.So unataka msaada au unataka watu ambao wanapitia shida kama yako wapige story hapa....?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Aseme kama ni msaada apewe... Hakuna tatizo lisilo na tiba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ndo njia rahisi ya kupata msaada mkuu.
Kupitia uzoefu mkuu.
Kabisa mkuu.
Miaka 15 unawaza kujiua alafu bado hujajiua...hizi story bro wee sio suicidial at all....u is just depressed.Nianze kwa kusema kwamba ningependa huu uzi uchukuliwe kama simulizi inayonihusu mimi au inayomuhusu mtu mwingine.Ila katika kuielezea nitatumia nafsi ya kwanza.....
,sijui kufurahi wala sijui kuhuzunika.
Kwa ufupi Mimi niko DEPRESSED ALL THE TIME.Yaani wakati wote niko katika msongo wa mawazo.
Why do you choose to be sad, when you can be happy? Remember,no matter what happens to you, it's how you take it.Nianze kwa kusema kwamba ningependa huu uzi uchukuliwe kama simulizi inayonihusu mimi au inayomuhusu mtu mwingine.Ila katika kuielezea nitatumia nafsi ya kwanza....