Beberu-mpya
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 216
- 106
- Thread starter
-
- #121
Kaka ctafuti kiki najua ushairi wenu umenisaidia kupata matitabu up to now ila ukimwi nimegoma kupimaKama itakuwa kwl cyo unatafuta kiki humu , bas wahi hospital upate tiba ya hyo kitu inatibika brother
Kweli kabisaWahi Hosp mapema mkuu kabla funza hawajaanza kutoka
DahUkitaka upone mapema omba dokta akuandikie sindano. Ila sindano uvumilie maana ukichomwa moja tu unakaa chini kama nusu saa ndio unaanza kutembea
[emoji28] [emoji28]Parapanda italia parapanda, Parapanda italia paranda, Nalo dushe lako litakuwa limekwisha nyakuliwa kwendaa...!!×2 Tuimbe kwa pamoja
Ha hahaaaaaaa [emoji15] [emoji15] [emoji15]mkuu ukate tu huo mkia...
Pole kiongozi. Kama bado hujamwona mganga Fanya upesiUsaha ndg
Nini????Wasisahau kukupa Arv.
Dah kaka kaka naanzaje ndo naenda ivooo au?andika wosia kabisa,ushauvagaa
Sema kwenye kinga sijui vip,maana kama mwezi hivi umepita Kuna dem alnipa gono wakati nmetumia salama,kuna jamaa yangu akadai labda ule mda navua yale maji yakadondokea dusheNenda hospital wewe...halafu kwanini hamtumii kinga?
Umeamua kutafuta kiki sio.....!!!Nimekuwa kimya sana week iliyopita nilikuwa nimesafiri kidogo kwenda Mbeya kama kawaida ya Beberu-mpya nikamuona mtoto huyu ambae amenisabashia hii kitu, sasa jana ndo nimeona hali hii, nifanyaje?
[emoji15] [emoji15] [emoji15]kwakweli maana kwasasa hiyo inaambatana na kupimwaa ngoma yelewii
Dah ndg yangu unitakiii mema nini?chukua wembe kata hilo dudu
hilo ndo chanzo
Upi huo??Usisahau kupima ule ugonjwa mwingine mkuu.
Kaka cjui ni kwa nini Condom cpendi ila huwa napoteza kabisa ari ya Jogoo kuwika wakati wa mchezopima na ukimwi kabisa unajifanya beberu condom huoni?
Kaka sasa mimi nimekwenda kupima nimeambiwa Gonorrehoea so nishaanza tiba ya Sindano aina ya Steptomycine 2g od kwa siku 3Mkuu acha woga, binafsi niliwahi pata hyo kitu...nilienda hospital baada ya kupima ikaonekana ni UTI nkachomwa sindano moja ya mkononi na kupewa dawa ambazo nlitumia kwa siku tatu, ambapo siku ya pili tu usaha ukakata ila nkamalzia dawa mpaka hii leo nipo fiti... No stress