Msaada: Nimepata fangasi kwenye ulimi

Msaada: Nimepata fangasi kwenye ulimi

fundi bishoo

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2018
Posts
14,264
Reaction score
27,132
E bwana kwema wakuu? Nna week ya pili inaenda hii nimepata fangasi /weupe kwenye ulimi sasa nilienda pharmacy nikaambiwa nI fangas ila hakuna maumivu yyte wakuu nkapewa dawa ya Miconazole Oromucosal gel BP ambayo nliambiwa nitumie kwa week lkn bado akupata mabadiliko yaan ilipungua kidg sana nkarudi tena siku nyngnd baada ta kumaliza nkapewa dawa ile ile pamoja na dawa ya multivitamin tablet ya vidonge ambayo nakunywa asubuh na jion mpka sas hv naona nakarbia kuimaliza week lkn sion utofauti wakuu nlkua naomba kwa anaejua labda kuna matbabu mengne

Halafu nashangaa mi sjawahi kuzama kunyonya uke kabsa najiuliza nimeupataje au huu ugonjwa unaambukizwa kwa kula denda? Pia

Msaada weny wa kimawazo wakuu
 
Aisee pole sana mkuu, Umewahi kuupitisha ulimi kwenye naniliu ? Hapo inabidi upigwe sindano usiwacheleweshe sana wawe sugu utateseka mno

images (28).jpeg
 
hapana sijawahi kabsa mkuu na imenianza ndaNi ya week hiz mbili mkuu nkaona niende pharamacy ndo nmepewa dawa mkuu
Nenda hospitali mkuu, lazima daktari akuchunguze na kama ikihitajika afanye vipimo fungus ukiwaacha wakawa sugu utapata shida kuwatoa...daktari ndio anaweza kujua kama upigwe injection au utumie dawa zipi...ukipata ugonjwa mpya anzia kwa daktari pata uhakika ndio utumie dawa
 
Mfamasia sio daktari
sawa mkuu

sawa mkuu ngja nianzie hopstal za kwetu chini au kuna haja ya kwenda mwanayamala kansa mkuu..?
 
sawa mkuu

sawa mkuu ngja nianzie hopstal za kwetu chini au kuna haja ya kwenda mwanayamala kansa mkuu..?
Hiyo kitu uwezekano mkubwa sio kansa, oral thrush ni kawaida kutokea inawezekana ulikuwa hufanyi usafi wa kinywa wa kutosha, au ulikuwa unatumia antibiotics kwa muda mrefu zilizopelekea kinga ya mwili kushuka na kufanya itokee...unatakiwa uanze tu kwa daktari wa kawaida (General Practitioner) usikimbilie kwa mtaalamu wa kansa...ondoa shaka hiyo kitu ukipata dawa sahihi ndani ya wiki mbili utakuwa kawaida
 
Back
Top Bottom