Msaada: Nimepata fangasi kwenye ulimi

Msaada: Nimepata fangasi kwenye ulimi

E bwana kwema wakuu? Nna week ya pili inaenda hii nimepata fangasi /weupe kwenye ulimi sasa nilienda pharmacy nikaambiwa nI fangas ila hakuna maumivu yyte wakuu nkapewa dawa ya Miconazole Oromucosal gel BP ambayo nliambiwa nitumie kwa week lkn bado akupata mabadiliko yaan ilipungua kidg sana nkarudi tena siku nyngnd baada ta kumaliza nkapewa dawa ile ile pamoja na dawa ya multivitamin tablet ya vidonge ambayo nakunywa asubuh na jion mpka sas hv naona nakarbia kuimaliza week lkn sion utofauti wakuu nlkua naomba kwa anaejua labda kuna matbabu mengne

Halafu nashangaa mi sjawahi kuzama kunyonya uke kabsa najiuliza nimeupataje au huu ugonjwa unaambukizwa kwa kula denda? Pia

Msaada weny wa kimawazo wakuu
Mkuu Ili usaidike Kwa urahisi picha ni muhimu MNO
 
Nikiwa kama afisa afya MWANDAMIZI senior....

Kwakua dacta kasema huna Tatizo uwe unatumia vitamin c tabs au kula matunda Kwa wingi....

Hata mafua na kikohozi utakua unakisikiaga Kwa watu Kwa Sasa ni hayo tu 😊😊😊😊
 
E bwana kwema wakuu? Nna week ya pili inaenda hii nimepata fangasi /weupe kwenye ulimi sasa nilienda pharmacy nikaambiwa nI fangas ila hakuna maumivu yyte wakuu nkapewa dawa ya Miconazole Oromucosal gel BP ambayo nliambiwa nitumie kwa week lkn bado akupata mabadiliko yaan ilipungua kidg sana nkarudi tena siku nyngnd baada ta kumaliza nkapewa dawa ile ile pamoja na dawa ya multivitamin tablet ya vidonge ambayo nakunywa asubuh na jion mpka sas hv naona nakarbia kuimaliza week lkn sion utofauti wakuu nlkua naomba kwa anaejua labda kuna matbabu mengne

Halafu nashangaa mi sjawahi kuzama kunyonya uke kabsa najiuliza nimeupataje au huu ugonjwa unaambukizwa kwa kula denda? Pia

Msaada weny wa kimawazo wakuu
Picha
 
Fangasi ni dalali mbaya ya magonjwa ya zinaa. Kama umetumia dawa zimedunda kafanye vipimo zaidi
Umesha panic,hilo ndilo alilokuwa analitafuta shetani.Angalia inaweza pia kuwa sio issue ya fangasi,yaweza kuwa ni ukosefu wa aina flani ya madini...
 
Back
Top Bottom