Msaada: Nimepata fangasi kwenye ulimi

Msaada: Nimepata fangasi kwenye ulimi

hapana sijawahi kabsa mkuu na imenianza ndaNi ya week hiz mbili mkuu nkaona niende pharamacy ndo nmepewa dawa mkuu
Moja kati ya dalili za awali za UPUNGUFU WA KINGA MWILINI, POLE SANA NENDA KACHECK AFYA, IKIWEMO, HIV, VDRL/RPR n.k....
 
Aisee mimi pia napatwa na tatizo hilo mdomo unachanika na nimeambiwa ni fangasi kuhusu kufanya ngono last time ilikua nwezi wa kwanza nipo mbali na wife so sijawahi hata kumbusu mwanamke so mtu anapotoa ushauli azingatie hili
Tatizo lako na lake ni tofauti lako ni amgular cheilitis, ni upungufu wa vitamin kama sikosei B6 yaan riboflavin.
 
Uliwahi kusoma ule uzi wa "jinsi ya kumfanya mpenzi wako asikuache" ?kama uliwahi kuusoma tayari nimeshajua tatizo liko wapi
 
Hayo ndio madhara ya kujitia ufundi wa kulamba Choo kwa ulimi!!!! Matokeo yake ni kupata maradhi ya saratani ya koo, hatimaye kifo.
 
Pharmacist wangekuwa wanapigwa faini kubwa kwa kuuza dawa kama njugu
Watu wanakufa kwa dawa wanazotoa bila hata kuhoji kama una matatizo mengine ya kiafya

Acheni kwenda pharmacy kisa unaogopa foleni ya hospitals
Watu wqnajifanyia diagnosis wenyew na kujichapa dawq
 
ebwana nimeenda hosptali leo mwananyamala wakuu nmkutana na dokta kaniangalia kasema sina shida yyte nipo kawaida tu sina tatizo mfamasia aliniingza cha kike kunipa presha ,ila nawashukuru nyoye kwa ushauri wenu hasa mlionisisitizia niende hosptaLi
 
Mi bana uvinza Huwa nikija kuzama lazma niwe na mouth wash.Huwa nikimaliza naingia toilet chap nikiwa nakoga huku nasukutua mouth wash.
 
Back
Top Bottom