Msaada: Nimepata fangasi kwenye ulimi

Mkuu Ili usaidike Kwa urahisi picha ni muhimu MNO
 
Nikiwa kama afisa afya MWANDAMIZI senior....

Kwakua dacta kasema huna Tatizo uwe unatumia vitamin c tabs au kula matunda Kwa wingi....

Hata mafua na kikohozi utakua unakisikiaga Kwa watu Kwa Sasa ni hayo tu 😊😊😊😊
 
Picha
 
Fangasi ni dalali mbaya ya magonjwa ya zinaa. Kama umetumia dawa zimedunda kafanye vipimo zaidi
Umesha panic,hilo ndilo alilokuwa analitafuta shetani.Angalia inaweza pia kuwa sio issue ya fangasi,yaweza kuwa ni ukosefu wa aina flani ya madini...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…