MSAADA: Nimepata kazi Serikalini dereva ila mshahara mdogo kuliko wa Mwendokasi ninakofanya kazi sasa. Nimechanganyikiwa!

Serikalini ukiumwa unahakika na mwisho wa mwezi kwa muda usiopungua miezi sita! na pia hakika ya matibabu toka bima ya afya kwa gharama ndogo na huduma nzuri. Per diem nyingi za bosi nawe umo
Kuna sheria za kazi ndugu yangu...ata huko mwendokasi wanabima ya afya
 
Hayo maisha ya kumtegemea transport officer ni maisha ya ufala uliozidi kipimo..wewe unafikiri huko anapoenda wapo madereva wangapi..wote wamfuate huyo officer unategemea nn...ndo yale mambo ya nipe changu nikuweke kwenye list

Kula tule mzee baba. Na usipojiongeza utaongezwa aisee.

Kama ni mzee wa kusubiria basi sawa kila mtu asimamie anachokiamini mzee mwenzangu.

Cheers...!
 
Sasa unaachaje salary hiyo ambayo ukikaa mwaka tu unaweza kufungua duka la jumlaa jijini dar na ukasahau kuwa ulikuwa dereva...halafu mtu aifuate laki 3 yenye makato kibao

Ndio maana nikasema KAMA NI MKATABA AACHANE NAYO, ILA KAMA NI PERMANENT AENDE. Ukiitaka PEPO LAZMA UFE KWANZA aende kama ni PERMANENT matunda atayaona tu punde mzee.
 
Yeye amesema laki 3. Wewe ubasema 1.2 m! Angekuwa na yeye anakwenda kupata 1.2 m, asingeleta hii mada hapa.

Daaaaaaah, kiongozi acha tu kabla ya hapa nilikuwa kwa mpemba nalipwa 200 for 2 and kidogo years you can imagine, watu kibishi tu wamesonga.

KWA HIYO UKITAKA KUIPATA PEPO LAZMA UPITIE MACHUNGU YA KIFO KWANZA KAMA DHAHABU KWA SONARA MKUU. AHSANTE.
 
Kama ni AJIRA YA KUDUMU nenda achana na MWENDOKASI ila kama ni ya MUDA MFUPI baki na MWENDOKASI wako....
 
Hahahaaa kama kuna jamaangu alipata kazi udereva wizara ya kilimo akazogoa nini sijui wakamkabidhi trekta la kulimia mpunga na kubeba magunia chimala huko. Unakaa chaka kwa chaka

Wengi huwa wanatamani wapate V8 watuwashie taa tu za hazard tuwapishe barabaran

Daaaaah, wee jamaa bhana aisee...!

Haya bwana, umenikumbusha TXL langu aisee jamaa kama anakuja barabarani hivi akija kucheki kibao tu mwenyewe anarudi kichakani aisee.

Hatari sana mzee baba...!
 
Nina uhakika Mwendo kasi hifahamu hata kitu kinaitwa Per diem. Serikalini wapo madereva wanaishi vzr kushinda baadhi ya maofisa wakubwa. Nikushauri tu uendee, mwanzo mgumu lkn utafika. Changamoto mpya ndizo zinakuza akili.

Ahsante kiongozi...!
 
Nimepata kazi Serikalini dereva mshahara 300,000/ kwa mwezi, wakati Mwendo kasi nachukua 800,000/. Nimechanganyikiwa!

Wanabodi mimi ni dereva mzoefu wa daladala kisha nikaajiriwa na Mwendokasi ambapo nakula 800,000/per month .

Wandugu kwa sasa nimevurugwa kwan baada ya interview iliyohusisha watu 760 ambao tuliomba kazi wakala wa vipimo tumepenya na kuajiriwa 57 tuu.

Nimepewa barua Jana napaswa kuripoti kituon kuanzaia 2/7 sasa aisee mbona hii salary Jau!? Yaani nipo kipindi kigumu wandugu hebu wenye uzoefu nisaidieni hill!?

Kiukweli napata wakati mgumu sana barua ninayo ila naipenda ajira za Serikali tatizo hiyo salary!?

Naomba ushauri.
Mkuu nenda karepoti Kati ya watu wanaopiga hela nchi hii ni madereva, mshahara unauona mdogo Ila posho huwa nyingi Sana. Tena huko wakala wa vipimo kuko vzr Sana nenda aise
 
Nimepata kazi Serikalini dereva mshahara 300,000/ kwa mwezi, wakati Mwendo kasi nachukua 800,000/. Nimechanganyikiwa!

Wanabodi mimi ni dereva mzoefu wa daladala kisha nikaajiriwa na Mwendokasi ambapo nakula 800,000/per month .

Wandugu kwa sasa nimevurugwa kwan baada ya interview iliyohusisha watu 760 ambao tuliomba kazi wakala wa vipimo tumepenya na kuajiriwa 57 tuu.

Nimepewa barua Jana napaswa kuripoti kituon kuanzaia 2/7 sasa aisee mbona hii salary Jau!? Yaani nipo kipindi kigumu wandugu hebu wenye uzoefu nisaidieni hill!?

Kiukweli napata wakati mgumu sana barua ninayo ila naipenda ajira za Serikali tatizo hiyo salary!?

Naomba ushauri.
Mwendokasi 100% dar. Idara nyingine za serikali wanaweza kukupost mikoani ambapo matumizi ni madogo, hivyo uka save.

Mwendokasi huna per diem za safari. Serikalini unaweza safiri mara kwa mara na mshahara wako usiuguse!

Wewe mwendokasi tayari unawajua kilichobaki sasa chunguza mazingira ya kazi huko wakala vipimo.
 
Hahahaaa kama kuna jamaangu alipata kazi udereva wizara ya kilimo akazogoa nini sijui wakamkabidhi trekta la kulimia mpunga na kubeba magunia chimala huko. Unakaa chaka kwa chaka

Wengi huwa wanatamani wapate V8 watuwashie taa tu za hazard tuwapishe barabaran
Sasa mbona huyo jamaa yako yupo kwenye fursa nzuri ya kufanikiwa na kutengeneza hela,,,,,, anashindwaje kutumia hiyo nafasi na yeye kulima na yeye abebe magunia yake???
 
NENDA HARAKA SERIKALINI, KUNA KITU KINAITWA JOB SECURITY KWA WATUMISH WA SERIKALI, AMBAPO ITAKULINDA HADI KU STAFF KWAKO.
Madereva wa serikal wana mishahara midogo ila wana malulupu mengi unaweza kufikisha hata posho ya Million Moja kwa mwezi...
Hao mwendokasi sio wakuwaamini kesho na kesho kutwa hawapo...
Hivi ana mkataba na Mungu kuwa atafika wakati wa kustaafu?
 
Acheni kumjaza mwenzenu ujinga...uache laki nane ukimbilie laki tatu..ukikatwa hiyo unabaki na laki mbili...ukienda huko utakula msongo wa mawazo to your entire life. Kuhusu ishu ya perdiem wasikudanganye..perdiem inaendana na levo ya mshahara..kwa mshahara huo perdiem yako haitazidi elfu sitini..sasa upate safari ya siku tatu singida utalipwa 240,000. Ukienda huko ulipie guest, msosi, utakutana na watoto wa kiburushi..utakula nao bata..siku ya kurudi mjini utaishia kubeba machungwa na viazi hautabaki na kitu.

Ushauri wangu endelea hapo hapo mwendokasi
Sure kabisa per diem inakwenda na level ya mshahara wa mtu hamfanani per diem hata siku .
 
Nimepata kazi Serikalini dereva mshahara 300,000/ kwa mwezi, wakati Mwendo kasi nachukua 800,000/. Nimechanganyikiwa!

Wanabodi mimi ni dereva mzoefu wa daladala kisha nikaajiriwa na Mwendokasi ambapo nakula 800,000/per month .

Wandugu kwa sasa nimevurugwa kwan baada ya interview iliyohusisha watu 760 ambao tuliomba kazi wakala wa vipimo tumepenya na kuajiriwa 57 tuu.

Nimepewa barua Jana napaswa kuripoti kituon kuanzaia 2/7 sasa aisee mbona hii salary Jau!? Yaani nipo kipindi kigumu wandugu hebu wenye uzoefu nisaidieni hill!?

Kiukweli napata wakati mgumu sana barua ninayo ila naipenda ajira za Serikali tatizo hiyo salary!?

Naomba ushauri.
Wakala wa vipimo si wale wanapita kwenye maduka na mabucha kukagua mizani na kukamata waliochakachua? Wale wakipiga round hawakosi hela.
 
Kabla ya kushauri naomba kufahamu yafuatayo
1. Elimu yako ukiondoa cheti cha udereva
2. Una mke na watoto au single
3. Mkataba wa mwendo kasi ukoje? Kuna kupanda daraja au ndio hiyo laki 8 hadi unastaafu?
Ushauri wangu utategemea majibu yako.
muongezee na swali hili je likizo ya mapumziko ya kila mwaka ipo hapo mwendokasi
 
Hahahaaa kama kuna jamaangu alipata kazi udereva wizara ya kilimo akazogoa nini sijui wakamkabidhi trekta la kulimia mpunga na kubeba magunia chimala huko. Unakaa chaka kwa chaka

Wengi huwa wanatamani wapate V8 watuwashie taa tu za hazard tuwapishe barabaran
... KAZI kweli kweli Mkuu. Na hao wa ma-V8 obviously wanaendesha maboss basi hizo suti sasa wengine wanazo kali kuliko hata maboss wao. Wanatamani kweli V8.
 
Wakala wa vipimo si wale wanapita kwenye maduka na mabucha kukagua mizani na kukamata waliochakachua? Wale wakipiga round hawakosi hela.
Ndio hao hao wazee wa kupima mizania ya vyakula,magunia ya vyakula kama viazi,na pia pampu za vituo vya kuuzia mafuta.....kiufupi wanasimamia vipimo viwe sahihi yaani muuzaji asimpunje mnunuaji
 
Acheni kumjaza mwenzenu ujinga...uache laki nane ukimbilie laki tatu..ukikatwa hiyo unabaki na laki mbili...ukienda huko utakula msongo wa mawazo to your entire life. Kuhusu ishu ya perdiem wasikudanganye..perdiem inaendana na levo ya mshahara..kwa mshahara huo perdiem yako haitazidi elfu sitini..sasa upate safari ya siku tatu singida utalipwa 240,000. Ukienda huko ulipie guest, msosi, utakutana na watoto wa kiburushi..utakula nao bata..siku ya kurudi mjini utaishia kubeba machungwa na viazi hautabaki na kitu.

Ushauri wangu endelea hapo hapo mwendokasi
Per diem kwa dereva inategemea salary scale yake na inaweza fika elfu 50 kwa safari za ndani ya kituo cha kazi na inaweza fika 70 kama sikosei kwa safari za nje ya kituo cha kazi.
 
Nimepata kazi Serikalini dereva mshahara 300,000/ kwa mwezi, wakati Mwendo kasi nachukua 800,000/. Nimechanganyikiwa!

Wanabodi mimi ni dereva mzoefu wa daladala kisha nikaajiriwa na Mwendokasi ambapo nakula 800,000/per month .

Wandugu kwa sasa nimevurugwa kwan baada ya interview iliyohusisha watu 760 ambao tuliomba kazi wakala wa vipimo tumepenya na kuajiriwa 57 tuu.

Nimepewa barua Jana napaswa kuripoti kituon kuanzaia 2/7 sasa aisee mbona hii salary Jau!? Yaani nipo kipindi kigumu wandugu hebu wenye uzoefu nisaidieni hill!?

Kiukweli napata wakati mgumu sana barua ninayo ila naipenda ajira za Serikali tatizo hiyo salary!?

Naomba ushauri.
Kama hiyo ajira ya serikali una ajiriwa direct nikimaanisha salary yako inatokea banki kuu na unapewa check number kabisa basi unaweza fikiria kwenda.

ILA KAMA UNAAJIRIWA NA HUPEWI CHECK NUMBER YAANI MSHAHARA WAKO UNATEGEMEA MAPATO YA NDANI YA SHIRIKA USIJILOGE UKAENDA SERIKALINI (soma vizuri uelewe nilicho andika).

NB: Kama kwenye mwendokasi una uwezo wa kutumia salary yako kupata mkopo usiache. Na kama unataka kujiajiri nakushauri ni bora ujikusanye huko kwenye mwendokasi upate mtaji.

Serikalini itategemea per diems na kama ofisi yako haina safari za hapa na pale maana yake per diems hakuna na kama per diems hakuna jua utasaga meno huku ukikumbuka ajira yako ya mwendokasi.
 
Back
Top Bottom