Msaada: Nimepatwa na changamoto kwa "Wife" na huyu dada

Msaada: Nimepatwa na changamoto kwa "Wife" na huyu dada

Kama imani ya dini yako inaruhusu nakushauli owa mke pili ambao huo mchepuko wako,kama dini yako hairuhusu jalibu kuzungumza na mkeo ,changamito unayopitia uwesababisha ww kwa maana kipindi pesa ipo hukutakiwa kuweka kiwango maalum cha kuacha nyumbani yaani cku ungakuwa unaacha 10000 siku unachaa 5000 cku 2000 hiii ingemfanya kwa sasa asisumbue kabisaaaaa,
 
Umemzalisha uyo mke wako. Mana suala la kama una mtoto au watoto ujalizungumzia . Nahis hujampa vitisi na watoto wa kutosha ndo Mana anakuzingua . Nazani jitathimini kwa ili kwanza.
 
Una watoto wangapi mkuu na huyo mwanamke korofi? Wewe dini gani?
Mzee siku ukikata moto kiuchumi huyu wife wako atakugharimu sana na hatoweza kuvumilia.
Bimdigo ni mvumilivu huyu munaweza pita mapori yote kwa shida na raha.
Aisee hakuna stress mbaya kama kuwa na mwanamke mkorofi, nyumbani sehemu ya kupumzisha akili anapafanya sehemu ys kumalizia siku kwa maumivu.
Ushauri wangu endelea hivyo hivyo ulivyo.
 
Fanya uamuzi sasa ukichelewa utakuja kujuta baadae,umekwisha mjua vizuri mkeo,anazo tabia ambazo hazikupendezi,Na maisha ni furaha,Vumilia mapungufu yake au achana nae usije kuupoteza mchepuko ,kuja kutahamaki kesha chukuliwa,kuvumilia sana utavuna mabua,
 
Daah haya maisha ya ndoa....nkifkiria nakata tamaa ya kuoa.

Yaani mkeo wa ndoa anakupa lile tendo takatifu kwa masimango shingo upate....atakuwa analaana huyo si bure
 
Kama dini hairuhusu badili dini tu akikimbia sawa akibaki unamuongezea mwenzakee kwa nn ukae gerezani hapa duniani
 
Acha kucheat mkeo na anza kuangalia mazuri ya mkeo, kumbuka machale yake na kihisia haupo nae unasex sababu unatakiwa kutimiza wajibu na si kwa mapenzi. Kinachotekea mkeo anahisi kutengwa kihisia na ndiyo maana anakuwa mkali mkali ..
Huyu mwanadada inabidi ujitahidi uachane nae kama kweli unampenda naamini kamabunampenda utajali hata kesho yake , uzuri huwa unaisha na jua kila siku inayopita kuna kitu kinapungua ..
Mimi ninachoisi jamaa anamuogopa mkewe na aliolea elimu maana kasema mchepuko una certificate tu Ila katika makosa tunayoyafanya wanaume hasa walioowa mwanamke aliyefanya kazi ni kubeba majukumu yote Kwa kigezo cha uanaume na kutoonesha msimamo pale mke anapokosea
 
Hawakosei kubeba majukumu
Kazi ya mwanaume kuhudumia familia hela ya mkeo ni yake
Mimi ninachoisi jamaa anamuogopa mkewe na aliolea elimu maana kasema mchepuko una certificate tu Ila katika makosa tunayoyafanya wanaume hasa walioowa mwanamke aliyefanya kazi ni kubeba majukumu yote Kwa kigezo cha uanaume na kutoonesha msimamo pale mke anapokosea
 
Kama imani ya dini yako inaruhusu nakushauli owa mke pili ambao huo mchepuko wako,kama dini yako hairuhusu jalibu kuzungumza na mkeo ,changamito unayopitia uwesababisha ww kwa maana kipindi pesa ipo hukutakiwa kuweka kiwango maalum cha kuacha nyumbani yaani cku ungakuwa unaacha 10000 siku unachaa 5000 cku 2000 hiii ingemfanya kwa sasa asisumbue kabisaaaaa,
Na kwann aache pesa kama kuna kila kitu ndani ujue kuna Tabia ambazo ukizizoesha home ni ngumu kuzifuta Acha pesa pakiwa na sababu ya msingi kama ni nauli ya mtoto shule au kitafunwa asubuhi au mboga siyo unaacha pesa ili uonekane mwanaume una katishwa gemu ivi unashindwa kumwambia kweli Kwa saiti ya kiume kabisa siyo kuomba kama msaada Ila dah nilichojifunza tafuta anayekupenda siyo unayempenda maana utalia sana
 
Mshika mbili siku zote mmoja humponyoka
Dah umenikumbusha wimbo wa fid q-chagua moja.
Ila mkuu tembo mzuri kumuona sio kumfuga
 
Huyo mke wako hana tofauti na mke wangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nawe umelivagaaa mkuu pole boss
 
Back
Top Bottom