Msaada: Nimepatwa na changamoto kwa "Wife" na huyu dada

Msaada: Nimepatwa na changamoto kwa "Wife" na huyu dada

Mkuu kwakuwa ushaamua kujustify usaliti wako haina noma wewe endelea...
Ila kumbuka kila mtu ana mapungufu yake ni vile tu uwa nikufanya uamuzi wa kuzingatia yaliyo mema zaidi ya yaliyo mabaya. Walau haja kucheat. Kuna mwanamke namfahamu, akiwa na mumewe mahaba kama yote full kumpost insta na macaption matam matam, lakini huku nyuma anatembea na rafiki yangu flani.
Kupanga ni kuchagua naona umekoleana penzi la bi dada lazima kila utakalofanyiwa na mkeo uliweke kwenye kipimo kumlinganisha na huyo bidada.
Umenena[emoji122][emoji122][emoji122]
Hiyo aya ya kwanza na ya mwisho umemamiza kila kitu.
 
Polygamy si dhambi..
Kaa nao wote wawili au nenda Kwa DC uwe na polygamy ya Siri..mkeo mkaidi asijue..


Mkeo anaweza kuwa pia hajapendwa enough..
Ana ukosefu wa upendo na maalezi na wewe huna mda WA kuwa mume na baba..
Unaaenda nae kizungu ..mambo ya equal partner..

Wanawake wengine wanataka mume uwe baba pia hata kumzaba vibao akikosea
Mkuu huku mwisho umeharibu kabisa
 
Hata mkeo anayo mema yake mengi tu ila kwakuwa unatafuta sababu za kujustfy uzinzi wako huwezi kuuelezea.
Sasa ulitegemea mchepuko aweje wakati kuna faida anayoipata? Kupritend kwa mpita njia unaefaidika nae ni rahisi sanaaa kuliko kwa mtu mnaeishi pamoja.

Hangaika tu, utakipata unachokitafuta. Mnazivuruga ndoa zenu wenyewe halafu baadae mtafute mchawi.
Yaani imebidi nicheke ulivyomalizia huko mwisho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Naona anatafuta sababu za kuhalalisha uzinzi
 
At least wewe umemwambia ukweli, wanawake tuna target. Tena anasema Mara anamsaidia akikwama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hio misaada Kuna siku itarudi 10X au zaidi na presha juu...asee kama huyo mchepuko anajua kabisa jamaa ameoa na still yuko nae na anajifanya ndo ana mahaba sana,Kaka jiandae!
Yaani huyu anatega bomu juu ya bomu.
Bado siku tu ya kumlipukia
 
Kwanza umeshatengeneza kosa la mkeo. Pili umeshapata tulizo la moyo. Unachotaka kutuumiza macho kusoma utumbo huu ili iweje. Acha tumlilie JPN unaweza kukosea aisee. Umesikia Ndugai na Kessy yule wa Mpanda wanataka kumuongezea muda JPM
 
Yaani huyu anatega bomu juu ya bomu.
Bado siku tu ya kumlipukia
Anacheza na wanawake wawili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi Kama mwanamke nimepatwa na goosebumps,af ye haogopi Wala nn[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe jamaa unamsingizia mkeo ili uwe na huo mchepuko unadai toka 2014 upo nae. Sidhani kama mkeo ni mkosefu kiasi hiki uenda umembadilisha mwenyewe ndani. Uenda kajua kila ovu lako sasa nadeal na wewe kihuni. Achana na mchepuko hivi unawezaje kuhudumia wake wawili. Tafuta demu piga futa vumbi urudi kwa mkeo ndani. Kutoka 7000 mpk 5000 na bado analalamika sio sahihi kuna jambo ebu funguka vyema.
 
Back
Top Bottom