Msaada: Nimepatwa na changamoto kwa "Wife" na huyu dada

Msaada: Nimepatwa na changamoto kwa "Wife" na huyu dada

Unayaona sana mazuri ya mchepuko kwakua umeamua kuzingatia mabaya tu ya wife. Sijaona sehemu umezungumzia hata zuri moja la wife, uliwezaje kuoa mtu wa hivyo bas? Ulilazimishwa au niaje?

We ni mtu mzima kukumbushwa kwamba kila mtu ana mapungufu yake, na kuoana na mtu ni kukubaliana nayo kwamba unayamudu
Hata kuongelea watoto kama anao hajasema .

Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app
 
Umekua so cheap to her (your wife) ndio maana. Siku zote thamani ya kitu ni mpaka ukikose, sisemi umuache no ila tafuta njia ya kuto kua cheap kwake, hakuna ndoa inayodumu kwa kuendeshwa ki demokrasia, mwanaume lazima awe mwanaume tu no matter what his woman is, mrembo, mzuri, ana pesa au vipi,, akikosea muonye, mfokee akileta kiburi sometimes muonjeshe hata makofi.

*Ukicheka na nyani ipo siku utavuna mabua
 
Sijasema ajilazimishe huko nimemfungua macho endelee kuchuja sababu wanawake wote tupo watamu kabla ya kupewa umiliki halali baada ya umiliki mara nyingi mchezo unabadilika huyo mchepuko asitegee akiwa mke atakuja kumwamini na inawezekana akawa mbaya zaidi sababu anakumbuka jinsi ulivyomfanyia mke wako .. atakuwa very defence na akishakuwa hivyo ni kule Kule karudi

Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app
Nakubali, hati miliki ya madhabauni inazinguaga sana mkishapewa!
 
Mkuu mie nimesoma vizuri mada yako ila mbona sijaona tatizo lolote kwenye Maisha yako ya mapenzi. Unasema mkeo ana tabia Fulani na ndio uliyemchagua kwa nini unashindwa kumnyoosha kama mwanaume. Haya madhaifu yake unayajua kwa nini usijifunze kuishi nayo na kumtendea mema atajirudi tu

Una mchepuko mnaelewana una enjoy tu Maisha sasa unataka nn Zaidi ya hilo. Cha muhimu elewa kuwa mke ni mke na mchepuko ni mchepuko na daima usifanye comparison ya mke na third party. Heshimu mke kama mke na mchepuko pia una raha yake ila ishi nao kama mchepuko usiupe nafasi ya mke.

Nimeishi miaka 20 ya ndoa na siku zote nimekuwa na michepuko tofauti tofauti ila katu sijawahi kuipa nafasi kubwa kama ya mke. HUO NDIO UANAUME

Sasa wewe sijui una tatizo gani hapo? umeuchoka mchepuko? au humtaki wife?
 
Mimi hua naamini ni wanawake wachache sana ambao huwa hawabadiliki tabia wanapo olewa,lakini almost 90% huwa wanabadilika sana tabia na hatimaye kumfanya mwanaume kuanza kuona kama amekosea kuchagua,ila kaa ukijua kuwa hata huyo dada ukiamua kumuweka ndani tegemea kuwa naye anaweza kuwa kama huyo ulie naye au hata zaidi. Nilichokigundua ni kuwa ndoa yoyote ile kama huiingizi kwenye maombi kwa Mungu wako kama unavyoombea mambo mengine usitegemee muujiza...
 
Huyu Mke wako mnawatoto kwenye familia?Umedumu naye muda gani??
Yupi unampenda kweli?? Je dini yako inaruhusu kuoa mke wa pili?

Kunajamaa aljacha mke wake akalogwa mpaka akadead .Mbona wife wako anakuwa mtukutu tabia yake huichunguza kabla unao

Je unaweza kuwahandale wote wawili??
Je huyo mwenye certificate anajua unamke??
Ukiweza owa wote !
Mwambie wife akiendelea hivyo utamwacha .

Kuna Mwalimu alikosana na mke wake Nyumba ikamshinda kabisa akahama akaenda kujenga na kuishi pengine
Chakushangaza yule mwanamke akamtumia Majamba yakamnyonga yeye na kaka yake

You grown up .Enough to think and do it
THINK
T--- is it True
H-- is it Helpful
I --- is it Important
N-- is it Necessary
K-- is it Kind

Fikiria sana sana hata watu wakitoa ushauri hapa
Kazi kwako sasa Mkuu
Nimependa sana ushauri wako mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilishagoma
kanda ile pale juu sitakaa nioe.ingawa currently ma manz toka pamde hiyo ndio wame take over all the town
Ukigeuka huku wapo, kule wapo wapo.yan kifupi hawaepukiki.Un-kwepekable
 
Mkuu mie nimesoma vizuri mada yako ila mbona sijaona tatizo lolote kwenye Maisha yako ya mapenzi. Unasema mkeo ana tabia Fulani na ndio uliyemchagua kwa nini unashindwa kumnyoosha kama mwanaume. Haya madhaifu yake unayajua kwa nini usijifunze kuishi nayo na kumtendea mema atajirudi tu

Una mchepuko mnaelewana una enjoy tu Maisha sasa unataka nn Zaidi ya hilo. Cha muhimu elewa kuwa mke ni mke na mchepuko ni mchepuko na daima usifanye comparison ya mke na third party. Heshimu mke kama mke na mchepuko pia una raha yake ila ishi nao kama mchepuko usiupe nafasi ya mke.

Nimeishi miaka 20 ya ndoa na siku zote nimekuwa na michepuko tofauti tofauti ila katu sijawahi kuipa nafasi kubwa kama ya mke. HUO NDIO UANAUME

Sasa wewe sijui una tatizo gani hapo? umeuchoka mchepuko? au humtaki wife?
Mchepuko unamchanganya baada ya kumuweka wazi mke kwa mchepuko .

Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app
 
Endelea kuchepuka tu huku ukifanya mambo yako ya maendeleo kwa siri. Ukiweza anaza kujijenga kama kuwa na viwanja au hata mali zingine bila mkeo kujua...!!!

Wewe na mimi, same script different cast...!!!
Na siku mkewe akijua ndio tutakuja kusikia" mwanaume mmoja mkazi wa....akatwa nyeti na mkewe kisa...."
 
Ukiwa kwenye ndoa, mke huwa anaanza kuonekana hafai unapopata mwanamke wa nje na kuanza kumlinganisha naye.

Kjmbuka kuwa mpaka mume ametoka nje ni kwamba mke kashafeli kwenye idara muhimu.... Kama huyu kafeli kwenye mambo ya kugegeda ambalo ndio kusudi kuu la ndoa.
 
Hawakosei kubeba majukumu
Kazi ya mwanaume kuhudumia familia hela ya mkeo ni yake
Mbona mbunye hai proclaim 😁

Mwanamke mrembo/mzuri hutaka wanaume wakwasi wote wawe wake (awamiliki)
Na wanaume wakwasi woote wanataka warembo woote wawe wao (wawamiliki)

NGUVU YA UCHUMI NI SUBJECT TO ALL.
 
Mbona mbunye hai proclaim [emoji16]

Mwanamke mrembo/mzuri hutaka wanaume wakwasi wote wawe wake (awamiliki)
Na wanaume wakwasi woote wanataka warembo woote wawe wao (wawamiliki)

NGUVU YA UCHUMI NI SUBJECT TO ALL.
Hao warembo wanataka pesa

Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app
 
Ila jf bwana,jamaa angeeleza tu matendo ya mkewe na asingesema ana mchepuko tayari comments hapa zingekuwa" dawa ya mwanamke ni mwanamke mwenzie" " baharia unakwama wapi wanawake wote hawa mtafutie mwenzie akili imkae sawa" " rudisha kwao huyo kwani ulizaliwa naye"

Ila sasa kwa kuwa jamaa ameeleza kuwa tayari ana mchepuko wengi wanamgeuka... Ndugu mleta uzi amua kile unachoona kwako ni sahihi, maana matokeo yake ya baadae ujue ni wewe pia utakayeyabeba yawe mazuri au mabaya ila mke ni mke tuu
 
Kuna jamaa fulani hivi alikuwa na wife mtata sana kwakwe na ndugu zake .

Jamaa akatafuta mpango wa kando akawa nao for years hata ndugu zake akawatambulisha still wife Yuko nae .

Akazaa na mpango wa kando watoto wawili na wife anao watatu

So akawa kwa mchepuko wake anaweza potea kwa wife wiki nzima na akija Halali anasepa baada ya kuwaona watoto .

Wife akaanza kujirudi taratibu akagundua alikuwa anamzingua jamaa akarudisha mapenzi kwa Jamaa .

Sasa jamaa akawa analala kwa wife hata siku nne

Mchepuko ukamind ukaanza kumlazimisha jamaa amuoe jamaa akagoma maana alishaoa

Wakazingua na mchepuko akarudi kwa wife wake ambaye alikuwa "So hot"[emoji3]

Mchepuko ukaja olewaga .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mema ya kunyimwa utamu au kupewa kwa shingo upande huku akilalama jamaa amalize haraka au hata amuachie njiani!? 😳😳
Hapana AISEE!
Yaani ukatishwe katikati ya kuichakata mbunye hata kina trump hawajafika😁
Kwa kweli lazima utafute airport nyingine ya kuwapokelea "WAZUNGU"
 
ingependeza zaid uongeze mchepuko wa pili alafu hakikisha huyu mchepuko wako unaemsifu anajua na hapo ndo utajua anakupenda kweli au ni maigizo.nadhani ukifanya hivyo utaelewa kitu
 
Back
Top Bottom