Chabrosy
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 2,632
- 3,150
Huu ushauri mzuri fata moyo wako
Sikiliza moyo wako huku ukiwa umeshapiga mahesabu ya miaka kadhaa mbele. Hawa wanawake ukiwaonea huruma utavuna mabua! Jiandae tu kugawana mali na huyo mkeo