Msaada: Nimepatwa na changamoto kwa "Wife" na huyu dada

Na hiyo ndio reality ya ndoa ambayo haisemwi, mwanamke akishaolewa tu yaani kila siku "amechoka" , you will hardly enjoy sex life after marriage .. enjoy it while you are still unmarried .
Unless michepuko inakuwa sehemu ya maisha yako Ku cover magepu ya wife..

Senior bachelor hapa..

Kumbeee....kwahyo tukiwa unmarried huwa wanatuectia tu zle show wanazozifurahia..
 
Nimeyumba kidogo kiuchumi toka mwezi wa 1. Kutokana na Corona na sehemu nyingi duniani kuyumba kiuchumi pia.

Binafsi huwa nanunua kila kitu mwisho wa mwezi na kuweka nyumbani, kila kitu kwa maana ya kwamba hata ikitokea mwezi mzima tukaamua kukaa ndani bila kutoka tutaishi vizuri tu. Pia mwisho wa week naenda nunua vegetables like nyanya, vitungu, carrots etc ambavyo haviwezi kaa mwezi hadi mwezi. Pamoja na hayo kila siku naacha Tsh. 7000 nyumbani. Hiyo siulizi watanunulia nini coz kila kitu kipo mafuta, gesi, sukari, mchele n.k

Kutokana na hali ya uchumi kuyumba kiwango cha kucha home kilipungua from 7000 mpaka 5000 na sometimes 4000. But still mahitaji mengine kama kawaida, hapo nami najiwekea mafuta kila week kwenda kazini.

Wife hajawa muungwana. Nampa pesa sometimes anafoka sasa hii ya nini (kwa maana ya kwamba ni ndogo kuacha home). Pamoja na kuwa hata yeye anafanya kazi but akinunua kitu lazima nije kumrudishia pesa. So imefikia hatua nikawa napata mawazo sana, binti mmoja aliona sipo ok huyu ni rafiki toka miaka ya nyuma sana 2014.

Sababu ya kujali na nini akawa karibu nami na mwishowe tukawa wapenzi, kiuhalisia yeye anaonesha kujali sana, atanipa pole, atanisaidia napokwama n.k. nimejaribu kumwambia sipo vizuri kiuchumi ili anikimbie ndio kwanza ananitia moyo.

Hili huwa linanitesa sana, anaonesha kunipenda no matter what na kuniheshimu, nilijaribu kuangalia kuwa maybe mke wangu ana nicheat miaka yote hii sijapata ushahidi wowote, so yupo hivyo tu ni mkaidi na si mtu wa huruma sana. She is cold hearted. Mjeuri sana kwa almost kila mtu hana marafiki wengi na mara nyingi hugombana na rafiki zake coz anajiona ni much better than them.

Sasa napata shida huyu mpango wa kando sometimes ndio nawish angekuwa mke ana sifa zote kwa uzuri wa sura na umbo na very romantic pia, ingawa hana elimu kubwa ana certificate tu. Sasa inafikia hatua nawaza kufanya naye mambo ya maendeleo coz anapokuwa na jambo ananishirikisha nikimshauri anafanya tofauti na wife ni mkaidi mpaka jambo liharibike ndo anakubali alikosea.

Huyu dada nilimshauri aache kazi alipokuwepo afanye biznez flani akaacha kweli na kuanza kwa nguvu hiyo business. Sasa anatengeneza pesa, anajituma sana. Mdada anaondoka saa 11 na kurudi home saa 2 usiku ukimwona huwezi mdhania sababu ya uzuri na mwili wake but si mvivu hata kidogo.

Pia, kwenye mapenzi anajituma sana, anaonekana kabisa ana enjoy mapenzi sana nami popote tuna make love na kufurahi. Wife tukifanya naye akimaliza tu hapo anaanza kunambia nimalize na sometimes ananiacha sijamaliza anaomba alale. Hii nayo ni shida kwangu.

Sasa najikuta kwenye hard time sana maana huyu dada ananipenda na kunisikiliza sana. Nikimwambia jambo analifanyia kazi na si kwa sababu anapata pesa kwangu, No yaani yupo hivyo tu.

Naumia ndugu zanguni nawaza nifanye nini sababu nashindwa kumwacha huyu dada hata kumtafutia sababu ni ngumu. Hajanikosea toka miaka yote namfaham hajawahi nikosea. But naumia pia namsaliti mke wangu. Nipo njia panda sana katika hili nahitaji faraja lakini aliyepaswa kunipa faraja doesnt do that badala yake mtu mwingine kabisa ndio anachukua jukumu hilo.

Ushauri wenu.

Nimesoma tu paragraphy mbili nimekasirika, usilee ujinga
 
Kumbeee....kwahyo tukiwa unmarried huwa wanatuectia tu zle show wanazozifurahia..
Hapo wanabembeleza ndoa lazima wafanye machejo yote, full maigizo.. ukifika umri wa kuwa na marafiki wengi waliooa utanielewa zaidi
 
Unanunua lila kitu na kisha unaacha pesa 7.000?
Hicho kila kitu nini....?
 
Nimeyumba kidogo kiuchumi toka mwezi wa 1. Kutokana na Corona na sehemu nyingi duniani kuyumba kiuchumi pia.

Binafsi huwa nanunua kila kitu mwisho wa mwezi na kuweka nyumbani, kila kitu kwa maana ya kwamba hata ikitokea mwezi mzima tukaamua kukaa ndani bila kutoka tutaishi vizuri tu. Pia mwisho wa week naenda nunua vegetables like nyanya, vitungu, carrots etc ambavyo haviwezi kaa mwezi hadi mwezi. Pamoja na hayo kila siku naacha Tsh. 7000 nyumbani. Hiyo siulizi watanunulia nini coz kila kitu kipo mafuta, gesi, sukari, mchele n.k

Kutokana na hali ya uchumi kuyumba kiwango cha kucha home kilipungua from 7000 mpaka 5000 na sometimes 4000. But still mahitaji mengine kama kawaida, hapo nami najiwekea mafuta kila week kwenda kazini.

Wife hajawa muungwana. Nampa pesa sometimes anafoka sasa hii ya nini (kwa maana ya kwamba ni ndogo kuacha home). Pamoja na kuwa hata yeye anafanya kazi but akinunua kitu lazima nije kumrudishia pesa. So imefikia hatua nikawa napata mawazo sana, binti mmoja aliona sipo ok huyu ni rafiki toka miaka ya nyuma sana 2014.

Sababu ya kujali na nini akawa karibu nami na mwishowe tukawa wapenzi, kiuhalisia yeye anaonesha kujali sana, atanipa pole, atanisaidia napokwama n.k. nimejaribu kumwambia sipo vizuri kiuchumi ili anikimbie ndio kwanza ananitia moyo.

Hili huwa linanitesa sana, anaonesha kunipenda no matter what na kuniheshimu, nilijaribu kuangalia kuwa maybe mke wangu ana nicheat miaka yote hii sijapata ushahidi wowote, so yupo hivyo tu ni mkaidi na si mtu wa huruma sana. She is cold hearted. Mjeuri sana kwa almost kila mtu hana marafiki wengi na mara nyingi hugombana na rafiki zake coz anajiona ni much better than them.

Sasa napata shida huyu mpango wa kando sometimes ndio nawish angekuwa mke ana sifa zote kwa uzuri wa sura na umbo na very romantic pia, ingawa hana elimu kubwa ana certificate tu. Sasa inafikia hatua nawaza kufanya naye mambo ya maendeleo coz anapokuwa na jambo ananishirikisha nikimshauri anafanya tofauti na wife ni mkaidi mpaka jambo liharibike ndo anakubali alikosea.

Huyu dada nilimshauri aache kazi alipokuwepo afanye biznez flani akaacha kweli na kuanza kwa nguvu hiyo business. Sasa anatengeneza pesa, anajituma sana. Mdada anaondoka saa 11 na kurudi home saa 2 usiku ukimwona huwezi mdhania sababu ya uzuri na mwili wake but si mvivu hata kidogo.

Pia, kwenye mapenzi anajituma sana, anaonekana kabisa ana enjoy mapenzi sana nami popote tuna make love na kufurahi. Wife tukifanya naye akimaliza tu hapo anaanza kunambia nimalize na sometimes ananiacha sijamaliza anaomba alale. Hii nayo ni shida kwangu.

Sasa najikuta kwenye hard time sana maana huyu dada ananipenda na kunisikiliza sana. Nikimwambia jambo analifanyia kazi na si kwa sababu anapata pesa kwangu, No yaani yupo hivyo tu.

Naumia ndugu zanguni nawaza nifanye nini sababu nashindwa kumwacha huyu dada hata kumtafutia sababu ni ngumu. Hajanikosea toka miaka yote namfaham hajawahi nikosea. But naumia pia namsaliti mke wangu. Nipo njia panda sana katika hili nahitaji faraja lakini aliyepaswa kunipa faraja doesnt do that badala yake mtu mwingine kabisa ndio anachukua jukumu hilo.

Ushauri wenu.
Mkuu iko hivi maranyingi mwanamke akiolewa huwa anajihakikishia kwa asilimia kubwa kuwa anaweza kufanya lolote na haachiki tofauti na mchepuko ambaye anajua mda wowote unaweza akachezea chaga Sasa mke ndani anadharau kwasababu anajijua yeye ndio mke utake usitake dawa yao Kama hao ni kumpiga matukio afu hujali wala nini Mimi mbona alinyoka yani dharau ziliisha maana nilitafuta mchepuko mzuri kuliko yeye hadi aliomba msamaha
 
Mzee kama ni wale wa kuvutana tu kishkaji na hamna watoto piga chini fast a af vuta anaekufaa huyo, ila kama ni ndoa kabisa na watoto dah hapo upo kifungoni,
 
Mkuu iko hivi maranyingi mwanamke akiolewa huwa anajihakikishia kwa asilimia kubwa kuwa anaweza kufanya lolote na haachiki tofauti na mchepuko ambaye anajua mda wowote unaweza akachezea chaga Sasa mke ndani anadharau kwasababu anajijua yeye ndio mke utake usitake dawa yao Kama hao ni kumpiga matukio afu hujali wala nini Mimi mbona alinyoka yani dharau ziliisha maana nilitafuta mchepuko mzuri kuliko yeye hadi aliomba msamaha
Ningekuwa mkeo ningetafta mchepuko ujue ungejinyonga kabisa wallah licha ya kuchepuka kwako, wanawake mwanaume kwetu tunaona kawaida ndo Mana unakuta wanawake wanaolewa wanne bila shida yoyote.
 
Kama imani ya dini yako inaruhusu nakushauli owa mke pili ambao huo mchepuko wako,kama dini yako hairuhusu jalibu kuzungumza na mkeo ,changamito unayopitia uwesababisha ww kwa maana kipindi pesa ipo hukutakiwa kuweka kiwango maalum cha kuacha nyumbani yaani cku ungakuwa unaacha 10000 siku unachaa 5000 cku 2000 hiii ingemfanya kwa sasa asisumbue kabisaaaaa,
Kuweka kiwango maalum sio tatzo, huyo mke akili yake haitoshi tu, kama hali ngumu si anaiona, tena hata ukiacha 2000 alitakiwa akubali tu,
 
Muulize na mchepuko wake anauachia shilingi ngapi? Hapa kasema anazoacha kwa mkewe nyumbani, lakini ya mchepuko hajataja kiwango!
 
Mimi ninachoisi jamaa anamuogopa mkewe na aliolea elimu maana kasema mchepuko una certificate tu Ila katika makosa tunayoyafanya wanaume hasa walioowa mwanamke aliyefanya kazi ni kubeba majukumu yote Kwa kigezo cha uanaume na kutoonesha msimamo pale mke anapokosea
Kweli kabisa, kama mke ana kipato, mwisho wa mwezi wakat mnapanga vya kununua weka kiasi na yeye aweke kiasi, huyo sio mtoto umeoa ili umlee, umemuoa ili mjenge maisha pamoja, kama ni mama wa nyumbani basi akubali hali ilivyo
 
Mkuu iko hivi maranyingi mwanamke akiolewa huwa anajihakikishia kwa asilimia kubwa kuwa anaweza kufanya lolote na haachiki tofauti na mchepuko ambaye anajua mda wowote unaweza akachezea chaga Sasa mke ndani anadharau kwasababu anajijua yeye ndio mke utake usitake dawa yao Kama hao ni kumpiga matukio afu hujali wala nini Mimi mbona alinyoka yani dharau ziliisha maana nilitafuta mchepuko mzuri kuliko yeye hadi aliomba msamaha
ilikuaje hiyo mzee?[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Ndoa changamoto haziishi. Ila kumbuka, hata mkeo kabla ya ndoa alikuwa msikivu na mwenye upendo kama alionao mchepuko wako kipindi hiki.

Angalizo jingine ni kwamba, usingekuwa na huo mchepuko, ungejitahidi sana kukaa chini kutafuta suluhu na wife, ila uwepo wa huyo mwingine unasababisha unaangalia hii situation kwa jicho tofauti now.
 
Mie nimeuliza mbona kaandika pesa anayoiacha kwa mkewe, je kwa mchepuko mbona hajatoa hesabu yake? Mkewe ana watoto mchepuko hana, inamaana anamwachia elf2/1? Hapo ni hapana na atakuwa anapewa zaidi hata aiachayo kwa mkewe
 
Nimeyumba kidogo kiuchumi toka mwezi wa 1. Kutokana na Corona na sehemu nyingi duniani kuyumba kiuchumi pia.

Binafsi huwa nanunua kila kitu mwisho wa mwezi na kuweka nyumbani, kila kitu kwa maana ya kwamba hata ikitokea mwezi mzima tukaamua kukaa ndani bila kutoka tutaishi vizuri tu. Pia mwisho wa week naenda nunua vegetables like nyanya, vitungu, carrots etc ambavyo haviwezi kaa mwezi hadi mwezi. Pamoja na hayo kila siku naacha Tsh. 7000 nyumbani. Hiyo siulizi watanunulia nini coz kila kitu kipo mafuta, gesi, sukari, mchele n.k

Kutokana na hali ya uchumi kuyumba kiwango cha kucha home kilipungua from 7000 mpaka 5000 na sometimes 4000. But still mahitaji mengine kama kawaida, hapo nami najiwekea mafuta kila week kwenda kazini.

Wife hajawa muungwana. Nampa pesa sometimes anafoka sasa hii ya nini (kwa maana ya kwamba ni ndogo kuacha home). Pamoja na kuwa hata yeye anafanya kazi but akinunua kitu lazima nije kumrudishia pesa. So imefikia hatua nikawa napata mawazo sana, binti mmoja aliona sipo ok huyu ni rafiki toka miaka ya nyuma sana 2014.

Sababu ya kujali na nini akawa karibu nami na mwishowe tukawa wapenzi, kiuhalisia yeye anaonesha kujali sana, atanipa pole, atanisaidia napokwama n.k. nimejaribu kumwambia sipo vizuri kiuchumi ili anikimbie ndio kwanza ananitia moyo.

Hili huwa linanitesa sana, anaonesha kunipenda no matter what na kuniheshimu, nilijaribu kuangalia kuwa maybe mke wangu ana nicheat miaka yote hii sijapata ushahidi wowote, so yupo hivyo tu ni mkaidi na si mtu wa huruma sana. She is cold hearted. Mjeuri sana kwa almost kila mtu hana marafiki wengi na mara nyingi hugombana na rafiki zake coz anajiona ni much better than them.

Sasa napata shida huyu mpango wa kando sometimes ndio nawish angekuwa mke ana sifa zote kwa uzuri wa sura na umbo na very romantic pia, ingawa hana elimu kubwa ana certificate tu. Sasa inafikia hatua nawaza kufanya naye mambo ya maendeleo coz anapokuwa na jambo ananishirikisha nikimshauri anafanya tofauti na wife ni mkaidi mpaka jambo liharibike ndo anakubali alikosea.

Huyu dada nilimshauri aache kazi alipokuwepo afanye biznez flani akaacha kweli na kuanza kwa nguvu hiyo business. Sasa anatengeneza pesa, anajituma sana. Mdada anaondoka saa 11 na kurudi home saa 2 usiku ukimwona huwezi mdhania sababu ya uzuri na mwili wake but si mvivu hata kidogo.

Pia, kwenye mapenzi anajituma sana, anaonekana kabisa ana enjoy mapenzi sana nami popote tuna make love na kufurahi. Wife tukifanya naye akimaliza tu hapo anaanza kunambia nimalize na sometimes ananiacha sijamaliza anaomba alale. Hii nayo ni shida kwangu.

Sasa najikuta kwenye hard time sana maana huyu dada ananipenda na kunisikiliza sana. Nikimwambia jambo analifanyia kazi na si kwa sababu anapata pesa kwangu, No yaani yupo hivyo tu.

Naumia ndugu zanguni nawaza nifanye nini sababu nashindwa kumwacha huyu dada hata kumtafutia sababu ni ngumu. Hajanikosea toka miaka yote namfaham hajawahi nikosea. But naumia pia namsaliti mke wangu. Nipo njia panda sana katika hili nahitaji faraja lakini aliyepaswa kunipa faraja doesnt do that badala yake mtu mwingine kabisa ndio anachukua jukumu hilo.

Ushauri wenu.
tupe mrejesho
 
mkuu nikushauri kitu?

PIGA MITI MKUU, NARUDIA TENA WE PIGA MITI!
 
Back
Top Bottom