Msaada: Nimepatwa na changamoto kwa "Wife" na huyu dada

Msaada: Nimepatwa na changamoto kwa "Wife" na huyu dada

Ndogo hyo kuacha hapo bado kwa mchepuko ndio maana ana stress wengine huacha 20000 kabisa ndo shida ya kuwa na nyumba mbili huku uchumi mdogo
Wewe na huyo mkewe mwafananana kasoro majina. Maisha hayataki kujifananisha. Unatakiwa kuishi kulingana kipato chako.

Kuna watu laki 200,000/ ndiyo mshahara wa mwezi. Sasa jamaa Kesha sema anunua kila kitu mpaka matunda. That means hakuna hitaji lingine la kununuliwa. Sasa unataka utumie pesa ya mwenzio kila siku kuzipeleka saloon. So utumie yako.

Hivi nyie mnaolewa kuja kupeleka Maisha mbele au kurudi nyuma. Na wewe Kama una mentality hiyo na WEWE ni mzigo tu kwa mumeo.
 
Huyo nafananaje mke kashajua anachepuka huko halafu nimhurumie kivipi yeye sikidume Sana hata akiwa na watu kumi lazima aangalie familia yake ujue hapo mkewe kamshutukia aache kulalamika, mtu asiye jiheshimu siwakumhurumia kabisa hyo elfu Saba haitoshi na bado hela ya vicoba
 
Duuuuh
 
Wanaume wengine jamani, unalalamika mke haona dhamani ya hiyo pesa baada ya uchumi kuyumba, hapo hapo unamiliki mchepuko tangu 2014 na unajiona upo sawa kabisa, na mchele ukamfungulia na mradi kabisa kwanini huo mradi usifungue huo mradi ukawa wa familia lakini umeupamba kwa mchepuko, unategea huyo mrupo wako ashindwe kukupa utakacho na hana mtoto wakumsumbua? Hiyo biashara anajihimarsha yeye na siku isio najina anaweza kutosa na itakuwa anajua huwezi muoa hivyo anaye huko ampendaye wewe ni ATM a.k mti wa mwembe nikutikisa tu .
 
Nadhani umeshajuta hapo maana maumivu ya kuchepuka had kuzaa unayo, kuomba msamaha wife unaona aibu
hawa wanawake Mwalimu wao ni mmoja, Mchepuko sitaacha, nimesema bora niwe nanunua mara moja kuliko kung'ang'ania kumbe nalishia wenzangu
Mwanamume urithi ni watoto na ndio wanaobeba jina langu, mke wa ndani atabaki ndani kutotoa, akitaka aende mm aniachie watoto
Nilichokiri ni ujinga wa kukubali kila kitu nina mimba yako nina mimba yako kumbe tupo wengi

"Kuna mwanamke namfahamu, akiwa na mumewe mahaba kama yote full kumpost insta na macaption matam matam, lakini huku nyuma anatembea na rafiki yangu flani.*

HUWA NAISHIA KUMPIGIA MAGOTI WIFE KUWA KAMA KUNA JAMBO NAKOSEA AWE HURU KUNIMOSEA BADALA YA KULIPIZA.

MIMI MWENYEWE NALEA NDOA YA MTU ILIYOWEKWA REHANI NA MUME. ANATUMIA MUDA MWINGI KWA MICHEPUKO NA KUPOMBEKA, MKE AKIWASHWA ANANIPIGIA NAMHUDUMIA ANARIDHIKA NA MKWANJA NAVUTA.

USIMWAMINI MWANAMKE.
 
mke ni mke na uzito na umuhimu wake,ingaea ana doasari zake ba hawara ni hawara tu,sasa jiulize na utafakari je huyo hawara ana lengo gani?na je ukimuoa atabaki na sifa hizo unazozieleza hapa?bro majibu unayo mwenyewe
 
Mwanaume ana inferiority complex awe makini Sana mchepuko una roga ngoja auoe aone. Hafu hapa kaandika upande mmoja what other side of the story mwanamke awezi kubehave hvo kabla hajaanzishwa na mwanaume
Kuna wengine wapo ivyo tu ndyo tabia zao toka wazaliwe kiburi jeuri shukrani hawajui na kipindi cha uchumba wanaziona izoo tabia Ila kinachotupumbaza wanaume Hadi kuowa watu wa dizani izi ni elimu ya mwanamke au pesa zake au kazi yake au uzuri wake bila kujua pesa kazi uzuri vinabeba asilimia ndogo sana kwenye ndoa ukipata mwanamke jeuri na kiburi aiseee utatamani Bora ungeowa beki tatu Ila maisha ni kuchagua ukikubali jamii ikuchagulie Kwa kigezo cha Kusaidiana maisha mtakutana chumbani
 
Kosa ni lako mtoa post unayeomba ushauri,,
Umleavyo ndivyo aishivyo,na mtoto umleavyo ndivyo akuavyo,
Kosa kubwa kwetu wanaume ni kumuonyesha mwanamke upendo wa agape,yaani unampenda mpaka yeye mwenyewe anajua kuwa unampenda totolo,,kosa hilo

Yafaa umpende kiasi na usioneshe unampenda mpaka unapitiliza kama mtoa post,,

Mpende sana mke wako ila iwe siri yako kuwa unampenda mpaka basi,ila yeye muoneshe unampenda kiasi,,

Mwanamke akijua unampenda sana huanza kero,anaweza kukunyima K ili tu umbembeleze au mpaka umpe kitu furani anachotaka yeye,,na ukishindwa kutekeleza unaweza ukawa ugomvi na kelele kila siku,

Kosa lingine ni kununua kila kitu ndani kisha unaacha na pesa zingine ndani bila sababu ya msingi,hilo ni kosa kubwa na ni matumizi mabovu ya fedha,hapo umemlea hivyo sasa yakupasa utekeleze hivyo maana ndivyo ulivyomlea,

Kiasili wanawake wanapenda sana tena sana wanaume wasiotabilika,yaani akizingua unamzingua mala kumi zaidi,mala umpende zaidi mpaka ajishangae,mala umpe pesa afanyie mambo yake hata kama anaomshahara,kisha unabadilika na kuwa bahili mpaka anakata tamaa ya kukuomba pesa,,maana hata akikuomba anajua hapati,
Kuhusu huo mchepuko tambua pia ni mwanamke na yuko mawindoni,ila kwa mfumo wako wa maisha kama ulivyosimulia hata ukimuoa pia mm nasema utamharibu na atakuwa balaa zaidi kuliko huyo mke wako,,
Namaliza kwa kukushauri kuwa simama kama mwanamme,kaa na mkeo mwambie kiume na onesha misimamo yako kivitendo,anaweza kukuelewa japo utakuwa umechelewa kumkunja ,na usisahau kuwa MWANAMKE SI NDUGUYO
 
Mkuu kwakuwa ushaamua kujustify usaliti wako haina noma wewe endelea.

Ila kumbuka kila mtu ana mapungufu yake ni vile tu uwa nikufanya uamuzi wa kuzingatia yaliyo mema zaidi ya yaliyo mabaya. Walau haja kucheat. Kuna mwanamke namfahamu, akiwa na mumewe mahaba kama yote full kumpost insta na macaption matam matam, lakini huku nyuma anatembea na rafiki yangu flani.

Kupanga ni kuchagua naona umekoleana penzi la bi dada lazima kila utakalofanyiwa na mkeo uliweke kwenye kipimo kumlinganisha na huyo bidada.
Binafsi Jambo la kwanza kwenye ndoa ni uaminifu....
Japo yapo mengi ila la kwanza ni hilo.

Na ameshakiri kuwa mkewe ni muaminifu.

Huko anakoenda ni kutafuta balaa.

Wanaume wengi wameingiza ndoa zao kwenye matatizo makubwa kwa staili hii.......ifaamike tuu kuwa kuna idadi nzuri ya wanawake wanaochiti sio Kwa kupenda ila ni kwakuwa waume zao wanaochiti...

Nnachotaka kusema ni kuwa huyu bwana anajipalia mkaa hapo baadae. Huyo mchepuko anavigezo vyote kwakuwa hamjuani vizuri kiundani. Ukitaka kumjua mwanamke au mwanaume vizuri ishi nae kuchwa kutwa...+++++

Kwa sasa mkaa unakutokea juu ...Kama vile wali unavopaliwa mkaa.

Akiendekeza mchepuko ..baada ya miaka kidogo atapaliwa moto kama skonzi....juu na chini.....maana mchepuko hawezi kutulia ikiwa kuna wakati utaenda kula vyakuvila na mkeo ikiwa yeye anakula baridi...

MKE nae hataweza kutulia kwakuwa atakuwa kasha hisi na kupata vithibitisho kuwa wewe unamchiti....na ikiwa namber of your friends wanamuaprochi na wengine hata kumwambia tabia zako ili tuu kumfedhehesha na aone uaminifu wake ni upuuzi kama upuuzi mwingine.

Hivyo mchepuko ATAKUWA ANAKUCHIT NA MKEO NAE ATAKUCHIT.

Utabaki katikati kama kuku aliyenyonyolewa.

Ni mtazamo tuu....Za kuambiwa usisahau kuchanganya na zako.

Sory uandishi mbaya wa kuchanganya nafsi.
 
Ndogo hyo kuacha hapo bado kwa mchepuko ndio maana ana stress wengine huacha 20000 kabisa ndo shida ya kuwa na nyumba mbili huku uchumi mdogo
Hapo hapo mradi kamfungulia mchepuko, kwanini kama uchumi umeyumba huo mradi akafungua kwa mkewe! Hiyo elf 4-5 kwa mkewe hajasema mchepuko anapewa sh.ngapi! Yeye mwenyewe ndiye mwenye shida na ndoa yake inakoelekea itamshinda
 
"Kuna mwanamke namfahamu, akiwa na mumewe mahaba kama yote full kumpost insta na macaption matam matam, lakini huku nyuma anatembea na rafiki yangu flani.*

HUWA NAISHIA KUMPIGIA MAGOTI WIFE KUWA KAMA KUNA JAMBO NAKOSEA AWE HURU KUNIMOSEA BADALA YA KULIPIZA.

MIMI MWENYEWE NALEA NDOA YA MTU ILIYOWEKWA REHANI NA MUME. ANATUMIA MUDA MWINGI KWA MICHEPUKO NA KUPOMBEKA, MKE AKIWASHWA ANANIPIGIA NAMHUDUMIA ANARIDHIKA NA MKWANJA NAVUTA.

USIMWAMINI MWANAMKE.
Kwani unapompigia magoti unajua tayari yameisha? Muosha lazima naye aoshwe endelea tu kuhudumia mke wa mwenzio na kwako watakusaia haaaa haaa muoga wakini umachakata wa mwenzio,[emoji23]
 
Nimeyumba kidogo kiuchumi toka mwezi wa 1. Kutokana na Corona na sehemu nyingi duniani kuyumba kiuchumi pia.

Binafsi huwa nanunua kila kitu mwisho wa mwezi na kuweka nyumbani, kila kitu kwa maana ya kwamba hata ikitokea mwezi mzima tukaamua kukaa ndani bila kutoka tutaishi vizuri tu. Pia mwisho wa week naenda nunua vegetables like nyanya, vitungu, carrots etc ambavyo haviwezi kaa mwezi hadi mwezi. Pamoja na hayo kila siku naacha Tsh. 7000 nyumbani. Hiyo siulizi watanunulia nini coz kila kitu kipo mafuta, gesi, sukari, mchele n.k

Kutokana na hali ya uchumi kuyumba kiwango cha kucha home kilipungua from 7000 mpaka 5000 na sometimes 4000. But still mahitaji mengine kama kawaida, hapo nami najiwekea mafuta kila week kwenda kazini.

Wife hajawa muungwana. Nampa pesa sometimes anafoka sasa hii ya nini (kwa maana ya kwamba ni ndogo kuacha home). Pamoja na kuwa hata yeye anafanya kazi but akinunua kitu lazima nije kumrudishia pesa. So imefikia hatua nikawa napata mawazo sana, binti mmoja aliona sipo ok huyu ni rafiki toka miaka ya nyuma sana 2014.

Sababu ya kujali na nini akawa karibu nami na mwishowe tukawa wapenzi, kiuhalisia yeye anaonesha kujali sana, atanipa pole, atanisaidia napokwama n.k. nimejaribu kumwambia sipo vizuri kiuchumi ili anikimbie ndio kwanza ananitia moyo.

Hili huwa linanitesa sana, anaonesha kunipenda no matter what na kuniheshimu, nilijaribu kuangalia kuwa maybe mke wangu ana nicheat miaka yote hii sijapata ushahidi wowote, so yupo hivyo tu ni mkaidi na si mtu wa huruma sana. She is cold hearted. Mjeuri sana kwa almost kila mtu hana marafiki wengi na mara nyingi hugombana na rafiki zake coz anajiona ni much better than them.

Sasa napata shida huyu mpango wa kando sometimes ndio nawish angekuwa mke ana sifa zote kwa uzuri wa sura na umbo na very romantic pia, ingawa hana elimu kubwa ana certificate tu. Sasa inafikia hatua nawaza kufanya naye mambo ya maendeleo coz anapokuwa na jambo ananishirikisha nikimshauri anafanya tofauti na wife ni mkaidi mpaka jambo liharibike ndo anakubali alikosea.

Huyu dada nilimshauri aache kazi alipokuwepo afanye biznez flani akaacha kweli na kuanza kwa nguvu hiyo business. Sasa anatengeneza pesa, anajituma sana. Mdada anaondoka saa 11 na kurudi home saa 2 usiku ukimwona huwezi mdhania sababu ya uzuri na mwili wake but si mvivu hata kidogo.

Pia, kwenye mapenzi anajituma sana, anaonekana kabisa ana enjoy mapenzi sana nami popote tuna make love na kufurahi. Wife tukifanya naye akimaliza tu hapo anaanza kunambia nimalize na sometimes ananiacha sijamaliza anaomba alale. Hii nayo ni shida kwangu.

Sasa najikuta kwenye hard time sana maana huyu dada ananipenda na kunisikiliza sana. Nikimwambia jambo analifanyia kazi na si kwa sababu anapata pesa kwangu, No yaani yupo hivyo tu.

Naumia ndugu zanguni nawaza nifanye nini sababu nashindwa kumwacha huyu dada hata kumtafutia sababu ni ngumu. Hajanikosea toka miaka yote namfaham hajawahi nikosea. But naumia pia namsaliti mke wangu. Nipo njia panda sana katika hili nahitaji faraja lakini aliyepaswa kunipa faraja doesnt do that badala yake mtu mwingine kabisa ndio anachukua jukumu hilo.

Ushauri wenu.
Kumbe ndoa ndivyo zilivyo bado nipo nipo sana

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Daah haya maisha ya ndoa....nkifkiria nakata tamaa ya kuoa.

Yaani mkeo wa ndoa anakupa lile tendo takatifu kwa masimango shingo upate....atakuwa analaana huyo si bure
Na hiyo ndio reality ya ndoa ambayo haisemwi, mwanamke akishaolewa tu yaani kila siku "amechoka" , you will hardly enjoy sex life after marriage .. enjoy it while you are still unmarried .
Unless michepuko inakuwa sehemu ya maisha yako Ku cover magepu ya wife..

Senior bachelor hapa..
 
Nimeyumba kidogo kiuchumi toka mwezi wa 1. Kutokana na Corona na sehemu nyingi duniani kuyumba kiuchumi pia.

Binafsi huwa nanunua kila kitu mwisho wa mwezi na kuweka nyumbani, kila kitu kwa maana ya kwamba hata ikitokea mwezi mzima tukaamua kukaa ndani bila kutoka tutaishi vizuri tu. Pia mwisho wa week naenda nunua vegetables like nyanya, vitungu, carrots etc ambavyo haviwezi kaa mwezi hadi mwezi. Pamoja na hayo kila siku naacha Tsh. 7000 nyumbani. Hiyo siulizi watanunulia nini coz kila kitu kipo mafuta, gesi, sukari, mchele n.k

Kutokana na hali ya uchumi kuyumba kiwango cha kucha home kilipungua from 7000 mpaka 5000 na sometimes 4000. But still mahitaji mengine kama kawaida, hapo nami najiwekea mafuta kila week kwenda kazini.

Wife hajawa muungwana. Nampa pesa sometimes anafoka sasa hii ya nini (kwa maana ya kwamba ni ndogo kuacha home). Pamoja na kuwa hata yeye anafanya kazi but akinunua kitu lazima nije kumrudishia pesa. So imefikia hatua nikawa napata mawazo sana, binti mmoja aliona sipo ok huyu ni rafiki toka miaka ya nyuma sana 2014.

Sababu ya kujali na nini akawa karibu nami na mwishowe tukawa wapenzi, kiuhalisia yeye anaonesha kujali sana, atanipa pole, atanisaidia napokwama n.k. nimejaribu kumwambia sipo vizuri kiuchumi ili anikimbie ndio kwanza ananitia moyo.

Hili huwa linanitesa sana, anaonesha kunipenda no matter what na kuniheshimu, nilijaribu kuangalia kuwa maybe mke wangu ana nicheat miaka yote hii sijapata ushahidi wowote, so yupo hivyo tu ni mkaidi na si mtu wa huruma sana. She is cold hearted. Mjeuri sana kwa almost kila mtu hana marafiki wengi na mara nyingi hugombana na rafiki zake coz anajiona ni much better than them.

Sasa napata shida huyu mpango wa kando sometimes ndio nawish angekuwa mke ana sifa zote kwa uzuri wa sura na umbo na very romantic pia, ingawa hana elimu kubwa ana certificate tu. Sasa inafikia hatua nawaza kufanya naye mambo ya maendeleo coz anapokuwa na jambo ananishirikisha nikimshauri anafanya tofauti na wife ni mkaidi mpaka jambo liharibike ndo anakubali alikosea.

Huyu dada nilimshauri aache kazi alipokuwepo afanye biznez flani akaacha kweli na kuanza kwa nguvu hiyo business. Sasa anatengeneza pesa, anajituma sana. Mdada anaondoka saa 11 na kurudi home saa 2 usiku ukimwona huwezi mdhania sababu ya uzuri na mwili wake but si mvivu hata kidogo.

Pia, kwenye mapenzi anajituma sana, anaonekana kabisa ana enjoy mapenzi sana nami popote tuna make love na kufurahi. Wife tukifanya naye akimaliza tu hapo anaanza kunambia nimalize na sometimes ananiacha sijamaliza anaomba alale. Hii nayo ni shida kwangu.

Sasa najikuta kwenye hard time sana maana huyu dada ananipenda na kunisikiliza sana. Nikimwambia jambo analifanyia kazi na si kwa sababu anapata pesa kwangu, No yaani yupo hivyo tu.

Naumia ndugu zanguni nawaza nifanye nini sababu nashindwa kumwacha huyu dada hata kumtafutia sababu ni ngumu. Hajanikosea toka miaka yote namfaham hajawahi nikosea. But naumia pia namsaliti mke wangu. Nipo njia panda sana katika hili nahitaji faraja lakini aliyepaswa kunipa faraja doesnt do that badala yake mtu mwingine kabisa ndio anachukua jukumu hilo.

Ushauri wenu.
Mwanaume anaweza kuvumulia ,kusamehe na kufanya kitu chochote pale anapopata mtu anaye m satisfy kwenye mapenzi, and that s where your problem start, sio ujeuri wala kuyumba kiuchumi..

Nikuambie kitu kimoja Tu, hata ukimuacha huyo mchepuko wako baada ya muda lazima utatafuta mwingine au utarudi Kwa huyo huyo Kwa kuwa tatizo la msingi hapo kwako halijaisha , yaani as long as you are not sexual satisfied at home lazima uende kutafuta hiyo satisfaction kwingine,that's law of nature wala sio yangu.

Ushauri wangu , usimuache huyo mchepuko wako at least umepata mchepuko unaojielewa it could have been worse LAKINI ongea na mke wako pia kuhusu how you are unsatisfied with your sex life and what you can do together to work it out .

Marriage is fucking overrated yaani, 90% ni utopolo mtupu
 
Back
Top Bottom