Msaada: Nimepatwa na changamoto kwa "Wife" na huyu dada

Msaada: Nimepatwa na changamoto kwa "Wife" na huyu dada

yaani km ulikuwepo, kaleta fujo sana nyumbani kidogo wife ajue, ingawa walishapambana uso kwa uso akinitafuta na mtoto wife hakujua akamwambia sipo. Ikabidi niende Polisi kitengo cha Jinsia akapewa wito tukapime DNA akaruka na matusi hata Diffender ije na kiosi haendi, ndipo mume tunayechangia akajitokeza kumbe mlinzi kwa wahindi akasaini mtoto wa kwake, majuzi kwa aibu anaomba tuendelee mtoto si wangu
CORONA na Ukimwi tutavikwepa kweli, nikikumbuka na wanangu roho paaaa
mchepuko jamani balaa nunua hapohapo uache hawazaagi na mmoja 100%
Ukiona mtu anamsifia mchepuko, tambua huyo bado hajamjua huyo kiumbe bado kawekwa kwenye kona, siku akiyajua ya nje ya ukuta nazani hapo ndiyo atakaa sawa
 
Mwanamke ambaye hakuonei huruma.

Mwnamke ambaye anakupa ngono kwa masimang’o

Mwanamke ambaye hakusikilizi wala kukuheshimu

Haya makundi matatu yanashusha sana mapenzi ya mwanaume kwa mkewe.

Mwanamke atavunja ndoa yake mwenyewe ni kweli kabisa,Mwanaume ni kichwa ila kama kuna kitu ambacho kinamvuruga mwanaume mpaka anaanza kufanya mambo ya kipuuzi basi hizo sababu hapo juu ni chanzo.

Mi nasema kwenye mahusiano wanawake wanachangangia sana mwanaume kuwaza michepuko uwaga tunakuwa tunawajali kweli wake zetu mara mtu anaanza visirani mara unakujibu anavyotaka bahati mbaya sana stress ya mwanaume inaondolewa na mwanamke sasa ikitokea mkeo ndo anakupa stress no way hapo ni mchepuko tu,wanawake wao stress wanaitoa kwenye umbeya huko atakusimanga weeeeeee mpk ukome.

Ila sisi sasa kazini umevurugwa huko unarudi home walau ukae na mkeo kichwa kitulie nae anaanza ungese bahati mbaya huwezi kwenda kijiweni kumjadili mkeo huweziiii.Ngono kwetu ndo kituliza mawazo basi unalivaaga shangingi huko ili mradi tu ukirudi nyumbani uwe ume relax usigemfumua mtu makofi.Wanawake hili hata hawaelewi kabisaaaaaaa.mwanaume na stress ni vitu viwili tofauti ukianza kumpa mawazo utaona vimbwanga mpaka ushangae
 
Huyo dada anajifanya mwema ili umwache mkeo, ukimpandisha cheo tu utaona rangi yake,pia wanawake huwa tunajua watu wakivhepuka nadhani mkeo kashajua unachepuka na upendo hamna anaishi na wewe kisa watoto tu basi.
 
Mimi ninachoisi jamaa anamuogopa mkewe na aliolea elimu maana kasema mchepuko una certificate tu Ila katika makosa tunayoyafanya wanaume hasa walioowa mwanamke aliyefanya kazi ni kubeba majukumu yote Kwa kigezo cha uanaume na kutoonesha msimamo pale mke anapokosea
Mwanaume ana inferiority complex awe makini Sana mchepuko una roga ngoja auoe aone. Hafu hapa kaandika upande mmoja what other side of the story mwanamke awezi kubehave hvo kabla hajaanzishwa na mwanaume
 
Twende mbele na kurudi nyuma, mwamba huipi nidhamu pesa. Yaaani kila kitu kipo, mpaka cabbage na matunda unanunua bado Tena unaacha 7000/ yanini Sasa. Na yeye anafanya kazi

Unapo punguza lazima azingue Maaana HUENDA mafundi wake wapo kwenye finishing halafu wewe unapunguza mzigo.
Wanawake siyo ndugu zetu mzee, hawahitaji demokrasia!

Mwanamke hatakiwi kuoneshwa kupendwa Atalewa sifa.

Sasa mzee, sikushauri kuchepuka ila Kama unayo nafasi ya kuoa polygamy, uoa huyo wa pili. Na huyu mke mkubwa Kama hujazaa nae , Bora ufanye maamuzi mapema ya kumuacha au kukubali kupata ugonjwa wa moyo .

Halafu dharau yaaani nakupa pesa useme pesa gani . Halafu bado unampa na kesho. HAKUNA MKE HAPO KUNA KIBUBU
7000 mbona hela ndogo Sana yet ana michepuko huko huoni ana shida
 
Usiache mbachao .......ni Bora ukakaa Chini na mkeo kimahaba kabsa ikibidi muende mbali na nyumbani uzungumze nae kiupole lazima atafunguka na ambayo hukuwai fikiria sababu wanawake wapo sensitive na tuvitu tudogotudogo kingine usiangalie madhaifu yake hata wewe jitathimini hakuna aliyekamilika, hata huyo mchepuko anakubebisha ni swala la muda Tu. Baki njia kuu usijesema badae ningejua
 
Wakati mwingine ukiona kina kirefu basi endelea na yako badala ya kutaka kujipa ugonjwa wa moyo kupigizana kelele kila kukicha. Maisha yenyewe mafupi.

Ingekuwa anamfanyia hivyo tangu awali basi asingefikia maamuzi ya kumuoa. Atafute alipokosea arekebishe. Mchepuko haujawahi kuwa suluhisho bali bomu linalotokota taratiiibu. Likilipuka bahati mbaya wanalipia woote mke,mume na watoto pia.
 
Usiache mbachao .......ni Bora ukakaa Chini na mkeo kimahaba kabsa ikibidi muende mbali na nyumbani uzungumze nae kiupole lazima atafunguka na ambayo hukuwai fikiria sababu wanawake wapo sensitive na tuvitu tudogotudogo kingine usiangalie madhaifu yake hata wewe jitathimini hakuna aliyekamilika, hata huyo mchepuko anakubebisha ni swala la muda Tu. Baki njia kuu usijesema badae ningejua
 
hata wa kwangu kama hao wa kwenu, mm naona Mama yao ni mmoja
inanibidi niwe mpole, kwani niliamua kujichimbia nje kwa kimada km miaka minne hivi
nilipotaarifiwa ujauzito nikafurahi, du mtoto alipoletwa tofauti kabisa
hapo lazima ujute nguvu uliozpoteza nje
hawa watu usipokaanao karibu na kulala lazima nje atatafuta kiBen10 au mshefa
mnachangia sahani moja kwa wakati tofauti, utapakuliwa sahani hiyohiyo na usigundue
mm nimerudi Home kwa watoto Home is better
[emoji23][emoji23][emoji23]ukome wanaume hujitaftia stress
 
Wakati mwingine ukiona kina kirefu basi endelea na yako badala ya kutaka kujipa ugonjwa wa moyo kupigizana kelele kila kukicha. Maisha yenyewe mafupi.
Kwa hayo maelezo yake kina kirefu kiko wapi?
 
yaani km ulikuwepo, kaleta fujo sana nyumbani kidogo wife ajue, ingawa walishapambana uso kwa uso akinitafuta na mtoto wife hakujua akamwambia sipo. Ikabidi niende Polisi kitengo cha Jinsia akapewa wito tukapime DNA akaruka na matusi hata Diffender ije na kiosi haendi, ndipo mume tunayechangia akajitokeza kumbe mlinzi kwa wahindi akasaini mtoto wa kwake, majuzi kwa aibu anaomba tuendelee mtoto si wangu
CORONA na Ukimwi tutavikwepa kweli, nikikumbuka na wanangu roho paaaa
mchepuko jamani balaa nunua hapohapo uache hawazaagi na mmoja 100%
Nadhani umeshajuta hapo maana maumivu ya kuchepuka had kuzaa unayo, kuomba msamaha wife unaona aibu
 
Imeandikwa Tuishi na wake zetu kwa akili sana, huyo mke wako anaonyesha tabia yake halisi, huyo mchepuko bodo ameficha tabia yake halisi, siku ukizaa nae ndipo utaamini, ni bora uepuke mahusiano ya kudumu na michepuko
 
Back
Top Bottom