Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Covid19Kuna sababu aseme tu vizuri [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Covid19Kuna sababu aseme tu vizuri [emoji23]
Ukiona mtu anamsifia mchepuko, tambua huyo bado hajamjua huyo kiumbe bado kawekwa kwenye kona, siku akiyajua ya nje ya ukuta nazani hapo ndiyo atakaa sawayaani km ulikuwepo, kaleta fujo sana nyumbani kidogo wife ajue, ingawa walishapambana uso kwa uso akinitafuta na mtoto wife hakujua akamwambia sipo. Ikabidi niende Polisi kitengo cha Jinsia akapewa wito tukapime DNA akaruka na matusi hata Diffender ije na kiosi haendi, ndipo mume tunayechangia akajitokeza kumbe mlinzi kwa wahindi akasaini mtoto wa kwake, majuzi kwa aibu anaomba tuendelee mtoto si wangu
CORONA na Ukimwi tutavikwepa kweli, nikikumbuka na wanangu roho paaaa
mchepuko jamani balaa nunua hapohapo uache hawazaagi na mmoja 100%
Haaaa haaaa kweli covid 19, awamu ya tano mmm nisimuliziCovid19
Mwanaume ana inferiority complex awe makini Sana mchepuko una roga ngoja auoe aone. Hafu hapa kaandika upande mmoja what other side of the story mwanamke awezi kubehave hvo kabla hajaanzishwa na mwanaumeMimi ninachoisi jamaa anamuogopa mkewe na aliolea elimu maana kasema mchepuko una certificate tu Ila katika makosa tunayoyafanya wanaume hasa walioowa mwanamke aliyefanya kazi ni kubeba majukumu yote Kwa kigezo cha uanaume na kutoonesha msimamo pale mke anapokosea
7000 mbona hela ndogo Sana yet ana michepuko huko huoni ana shidaTwende mbele na kurudi nyuma, mwamba huipi nidhamu pesa. Yaaani kila kitu kipo, mpaka cabbage na matunda unanunua bado Tena unaacha 7000/ yanini Sasa. Na yeye anafanya kazi
Unapo punguza lazima azingue Maaana HUENDA mafundi wake wapo kwenye finishing halafu wewe unapunguza mzigo.
Wanawake siyo ndugu zetu mzee, hawahitaji demokrasia!
Mwanamke hatakiwi kuoneshwa kupendwa Atalewa sifa.
Sasa mzee, sikushauri kuchepuka ila Kama unayo nafasi ya kuoa polygamy, uoa huyo wa pili. Na huyu mke mkubwa Kama hujazaa nae , Bora ufanye maamuzi mapema ya kumuacha au kukubali kupata ugonjwa wa moyo .
Halafu dharau yaaani nakupa pesa useme pesa gani . Halafu bado unampa na kesho. HAKUNA MKE HAPO KUNA KIBUBU
Ingekuwa anamfanyia hivyo tangu awali basi asingefikia maamuzi ya kumuoa. Atafute alipokosea arekebishe. Mchepuko haujawahi kuwa suluhisho bali bomu linalotokota taratiiibu. Likilipuka bahati mbaya wanalipia woote mke,mume na watoto pia.
[emoji23][emoji23][emoji23]ukome wanaume hujitaftia stresshata wa kwangu kama hao wa kwenu, mm naona Mama yao ni mmoja
inanibidi niwe mpole, kwani niliamua kujichimbia nje kwa kimada km miaka minne hivi
nilipotaarifiwa ujauzito nikafurahi, du mtoto alipoletwa tofauti kabisa
hapo lazima ujute nguvu uliozpoteza nje
hawa watu usipokaanao karibu na kulala lazima nje atatafuta kiBen10 au mshefa
mnachangia sahani moja kwa wakati tofauti, utapakuliwa sahani hiyohiyo na usigundue
mm nimerudi Home kwa watoto Home is better
Kwa hayo maelezo yake kina kirefu kiko wapi?Wakati mwingine ukiona kina kirefu basi endelea na yako badala ya kutaka kujipa ugonjwa wa moyo kupigizana kelele kila kukicha. Maisha yenyewe mafupi.
Nadhani umeshajuta hapo maana maumivu ya kuchepuka had kuzaa unayo, kuomba msamaha wife unaona aibuyaani km ulikuwepo, kaleta fujo sana nyumbani kidogo wife ajue, ingawa walishapambana uso kwa uso akinitafuta na mtoto wife hakujua akamwambia sipo. Ikabidi niende Polisi kitengo cha Jinsia akapewa wito tukapime DNA akaruka na matusi hata Diffender ije na kiosi haendi, ndipo mume tunayechangia akajitokeza kumbe mlinzi kwa wahindi akasaini mtoto wa kwake, majuzi kwa aibu anaomba tuendelee mtoto si wangu
CORONA na Ukimwi tutavikwepa kweli, nikikumbuka na wanangu roho paaaa
mchepuko jamani balaa nunua hapohapo uache hawazaagi na mmoja 100%
Kwa hayo maelezo yake kina kirefu kiko wapi?
Elfu 7000 ndogo kununua Nini?7000 mbona hela ndogo Sana yet ana michepuko huko huoni ana shida
Ndogo hyo kuacha hapo bado kwa mchepuko ndio maana ana stress wengine huacha 20000 kabisa ndo shida ya kuwa na nyumba mbili huku uchumi mdogoElfu 7000 ndogo kununua Nini?