Msaada: Nimepatwa na changamoto kwa "Wife" na huyu dada

Mi nikitaka kuowa Nitatafuta beki 3 wa mtu nimuowe mabek 3 ni wavumilivu sana
Kwani beki 3 sio mwanamke? Ulishawahi ona Simba anapowinda ndivyo ili, hiyo ni tabia tu kama tabia nyingine hivyo naye akiolewa lazima naye aweke beki 3 chezea mother house wewe
 
Kwanza hautakiwi kuumia kwa kumcheat mke wako... Ikiwezekana oa kabisa mke wa pili kama dini yako inakuruhusu... Hakuna mwanaume wa mwanamke mmoja acha kuenda kinyume na nature! Hayo mengine watakushauri wengine!
 
Kwahio ajibidiishe kumpenda mtu asiye na interest nae. Wanawake wetu baadhi yenu mnaboa sana yani. Hasa sie wanaume tulioumbwa na hisia za huruma tunatesekaga mno!

Unampenda mke na kumuonesha mapenzi yote. Anakulipa kiburi na jeuri tu unafikia stage unajihisi kama wajipendekeza hivi. Anatokea mwanamke pembeni ambaye ni opposite na mkeo by 100%!!! Super romantic na anayejali hisia zako by far. Simshangai mtoa mada maana hii situation ilishanikumbaga.
Yeye tangu 2014 yupo na mchepuko kwahiyo yeye yupo sawa? Kama mkewe alishajua hilo hivyo anajua pesa inagawanywa hapo ni jino kwa jino yeye aachane na mchepuko huo wakudumu arudishe mapenzi kwa mkewe aone
 
Kwani beki 3 sio mwanamke? Ulishawahi ona Simba anapowinda ndivyo ili, hiyo ni tabia tu kama tabia nyingine hivyo naye akiolewa lazima naye aweke beki 3 chezea mother house wewe
Nikiowa bek 3 simuwekei beki 3 na akinilazmisha namwambia Sasa nikuache ww nimuowe huyo bek 3 unaetaka nimlete
 
Hiyo ni kweli si kapata wakumlinganisha naye lazima apime mizani kama inaegamia wapi
Hilo la kulinganisha ndio kosa kubwa analofanya katika kuharibu ndoa yake bila yeye kujua.
Huyo mwanamke wa nje lazima aonekane kuwa ni mzuri na anajituma kwa kuwa naye anajaribu kupata nafasi.
Unaweza kumpima mwanamke ambaye yupo tayari kuwa na mahusiano na mtu mwenye ndoa?

Ushauri wangu kwa huyu ndugu yetu;
1. Kama mke amemshinda kwa tabia zake ni vyema akubali kukaa chini ili wayajenge yeye na mkewe.
2. Aache mke na aanze maisha mapya na huyu mwanamke mpya.
3. Sitisha mahusiano na huyo mwanamke wa nje.

Nje ya hapo itakuwa anajichanganya.
 
Mema ya kunyimwa utamu au kupewa kwa shingo upande huku akilalama jamaa amalize haraka au hata amuachie njiani!? [emoji15][emoji15]
Hapana AISEE!
Ingekuwa anamfanyia hivyo tangu awali basi asingefikia maamuzi ya kumuoa. Atafute alipokosea arekebishe. Mchepuko haujawahi kuwa suluhisho bali bomu linalotokota taratiiibu. Likilipuka bahati mbaya wanalipia woote mke,mume na watoto pia.
 
Hilo la kulinganisha ndio kosa kubwa analofanya katika kuharibu ndoa yake bila yeye kujua.
Huyo mwanamke wa nje lazima aonekane kuwa ni mzuri na anajituma kwa kuwa naye anajaribu kupata nafasi.
Unaweza kumpima mwanamke ambaye yupo tayari kuwa na mahusiano na mtu mwenye ndoa?

Ushauri wangu kwa huyu ndugu yetu;
1. Kama mke amemshinda kwa tabia zake ni vyema akubali kukaa chini ili wayajenge yeye na mkewe.
2. Aache mke na aanze maisha mapya na huyu mwanamke mpya.
3. Sitisha mahusiano na huyo mwanamke wa nje.

Nje ya hapo itakuwa anajichanganya.
Na kama anamwadithia madhira ya mkewe hapo ndipo anapoharibu, lazima achukue fursa hapo hivi naye anataka kuolewa si lazima anyenyekee! Kama angekuwa na tabia nzuri kwanini hawajamuoa huko mpaka amng'ang'anie yeye mwenye mke miaka yote hiyo, yaani anajidanganya tu
 
Mbona unamtisha mwenzako ndoa ni Furaha kama hapati Furaha usilazimishe kisa kaoa angalie alternative
Nyie ndio michepuko yenyewe sasa tunaowaongelea.
Alokwambia ndoa ni furaha tu nani? Maisha ya kawaida tu hayana furaha pekee ije kuwa ndoa? Mnapooana hamkutani wote malaika, kila mmoja wenu ankauwa na mapungufu yake. Hayo mapungufu ndio ukamilisho wenu. Mwenzio akipungua hapa wewe unajazia.

Sababu alizotoa huyu mtu ni za kitoto sana, inshort hakukomaa kuingia ktk ndoa ndio maana mambo madogo tu kakimbia kutafuta suluhisho nje.

Hakikisha kabla haujaingia kwenye ndoa unajua maana ya unachokiingia.
 
Hizo ndoa za furaha huwa wanaziona kwenye zile series za Kikorea na Kifilipino.
Ndoa zina furaha na changamoto. Mnakutana wote wawili mkiwa mmekuwa watu wazima, mna tabia tofauti na pia mna majukumu ya kusimamia nyumba.
Ndoa inahitaji utulivu wa akili wa hali ya juu.
 
Na kama anamwadithia madhira ya mkewe hapo ndipo anapoharibu, lazima achukue fursa hapo hivi naye anataka kuolewa si lazima anyenyekee! Kama angekuwa na tabia nzuri kwanini hawajamuoa huko mpaka amng'ang'anie yeye mwenye mke miaka yote hiyo, yaani anajidanganya tu
Jamaa anamuuzia silaha adui.
Ndoa ikifa na akishamweka ndani ndio ataona "true colors" za mchepuko.

Mwisho wa siku kila mtu ana madhaifu yake.
 
Nikiowa bek 3 simuwekei beki 3 na akinilazmisha namwambia Sasa nikuache ww nimuowe huyo bek 3 unaetaka nimlete
Haaaa haaaa mkianza kujifunika shuka moja wala hutakumbuka haya uyaongeayo sahizi hapa [emoji23][emoji23] hiyo kitu iache tu tena utamwekea wawili na kijana wa tatu haa haa
 
Hizo ndoa za furaha huwa wanaziona kwenye zile series za Kikorea na Kifilipino.
Ndoa zina furaha na changamoto. Mnakutana wote wawili mkiwa mmekuwa watu wazima, mna tabia tofauti na pia mna majukumu ya kusimamia nyumba.
Ndoa inahitaji utulivu wa akili wa hali ya juu.
Kweli kabisa, kila mmoja awekeze nguvu na akili zake ktk kuhakikisha mnaijenga ndoa yenu. Msiruhusu third party mtaharibu tu. Ukishainajisi ndoa yako kwa uzinzi ni ngumu mnoo kuja kuijenga tena, ndio maana hata mtoa mada kafikia hatua ya kumlinganisha mkewe na mchepuko(what a waste)[emoji134][emoji134][emoji134]

Haya mawazo ua ajabu ajabu ndio yamesababisha ndoa siku hizi zimekuwa za kipuuzi tu. Sijui tunajenga kizazi cha aina gani huko baadae.
 
Jamaa anamuuzia silaha adui.
Ndoa ikifa na akishamweka ndani ndio ataona "true colors" za mchepuko.

Mwisho wa siku kila mtu ana madhaifu yake.
Kuna mmoja hapa anachokipata nazani hata kuzimu afadhali kukaacha katoto hako hawezi kanampeleka puta, mke yupo huko aliamua ampe nafasi afanye uzinzi wake
 
Back
Top Bottom