Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Kwahio ajibidiishe kumpenda mtu asiye na interest nae. Wanawake wetu baadhi yenu mnaboa sana yani. Hasa sie wanaume tulioumbwa na hisia za huruma tunatesekaga mno!Acha kucheat mkeo na anza kuangalia mazuri ya mkeo, kumbuka machale yake na kihisia haupo nae unasex sababu unatakiwa kutimiza wajibu na si kwa mapenzi. Kinachotekea mkeo anahisi kutengwa kihisia na ndiyo maana anakuwa mkali mkali ..
Huyu mwanadada inabidi ujitahidi uachane nae kama kweli unampenda naamini kamabunampenda utajali hata kesho yake , uzuri huwa unaisha na jua kila siku inayopita kuna kitu kinapungua ..
Unampenda mke na kumuonesha mapenzi yote. Anakulipa kiburi na jeuri tu unafikia stage unajihisi kama wajipendekeza hivi. Anatokea mwanamke pembeni ambaye ni opposite na mkeo by 100%!!! Super romantic na anayejali hisia zako by far. Simshangai mtoa mada maana hii situation ilishanikumbaga.