mbenda said
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 1,084
- 2,074
Mke wako ni "MPARE"?
Na ww mkuu lile tendo takatifu huwa anakupa kwa masimango au ndo anakunyima kabsa..?Huyo mke wako hana tofauti na mke wangu
Mimi ninachoisi jamaa anamuogopa mkewe na aliolea elimu maana kasema mchepuko una certificate tu Ila katika makosa tunayoyafanya wanaume hasa walioowa mwanamke aliyefanya kazi ni kubeba majukumu yote Kwa kigezo cha uanaume na kutoonesha msimamo pale mke anapokoseaAcha kucheat mkeo na anza kuangalia mazuri ya mkeo, kumbuka machale yake na kihisia haupo nae unasex sababu unatakiwa kutimiza wajibu na si kwa mapenzi. Kinachotekea mkeo anahisi kutengwa kihisia na ndiyo maana anakuwa mkali mkali ..
Huyu mwanadada inabidi ujitahidi uachane nae kama kweli unampenda naamini kamabunampenda utajali hata kesho yake , uzuri huwa unaisha na jua kila siku inayopita kuna kitu kinapungua ..
Mimi ninachoisi jamaa anamuogopa mkewe na aliolea elimu maana kasema mchepuko una certificate tu Ila katika makosa tunayoyafanya wanaume hasa walioowa mwanamke aliyefanya kazi ni kubeba majukumu yote Kwa kigezo cha uanaume na kutoonesha msimamo pale mke anapokosea
Na kwann aache pesa kama kuna kila kitu ndani ujue kuna Tabia ambazo ukizizoesha home ni ngumu kuzifuta Acha pesa pakiwa na sababu ya msingi kama ni nauli ya mtoto shule au kitafunwa asubuhi au mboga siyo unaacha pesa ili uonekane mwanaume una katishwa gemu ivi unashindwa kumwambia kweli Kwa saiti ya kiume kabisa siyo kuomba kama msaada Ila dah nilichojifunza tafuta anayekupenda siyo unayempenda maana utalia sanaKama imani ya dini yako inaruhusu nakushauli owa mke pili ambao huo mchepuko wako,kama dini yako hairuhusu jalibu kuzungumza na mkeo ,changamito unayopitia uwesababisha ww kwa maana kipindi pesa ipo hukutakiwa kuweka kiwango maalum cha kuacha nyumbani yaani cku ungakuwa unaacha 10000 siku unachaa 5000 cku 2000 hiii ingemfanya kwa sasa asisumbue kabisaaaaa,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nawe umelivagaaa mkuu pole bossHuyo mke wako hana tofauti na mke wangu