Msaada: Nimepewa siku 30 niondoke nyumbani kwa Baba mkubwa

Msaada: Nimepewa siku 30 niondoke nyumbani kwa Baba mkubwa

Hamna Kitu ila tuu alichonielezea chumba ninachokaa anataka kukifanyia ukarabati anataka kuna mpangaji atakuja kuhamia alishampa kodi yake
Wewe unataka kulelewa paka lini? Tena mshukuru kwa kukuvumilia huo mda wote......tafuta maisha kijana wengine at 20yrs tulikua tumesha zamia nchi za watu na no father no mother no relative ni wewe na juhudi zako tu, sembuse hapa bongo kila mtu anaongea kiswahili......mimi nasema hivi nipeleke popote hapa tz bila kitu chochote unipe miazi 6 tu ntafanikiwa maisha na kununua na piki piki ya 1.5m ya usafiri wangu.
Bongo maisha ya substance ni simple sana labda kama unatafuta utajiri ndo issue tu.
 
Sijamkosea Kitu ila anachodai tuu ni kwamba ninachokaa anataka kukifanyia marekebisho aweke mpangaji hivyo amenipa muda mpka deadline niwe nimejipanga na kuondoka hm
kapange Mbagala maji-matitu, chumba mpaka sh. 6000/- kwa mwezi
 
Pole mkuu
Jipange maadam una uhai nguvu unazo hamna kitakacho shindikana,kila jambo na wakati wake
 
Wana JF wenzangu, nilikuwa nimepanga maeneo ya Kimara miaka kadhaa iliyopita. Kutokana na changamoto ya maisha, kazi nilikuwa sina nikaenda kuishi kwa bamkubwa ili nijipange upya.

Kwa sasa nimekaa miezi minne kwake leo asubuhi kaniambia “nimekupa siku 30 uondoke kwangu”.

Wakuu naombeni msaada wapi pakuanzia? Nifanye nini? Nianzie wapi?
Anakupenda sana huyo bamkubwa wako..akili itakua
 
Niliwahi kuishi kwa dadangu damu 1 alikua ameolewa...hahaa...jaman maisha haya ..walikua wakipika wenyewe wanaenda kulia chumban na mumewe...nilikua nachota maji najaza pipa 2 ..lakini hom kwetu ni kila kona wafanyakazi..nilikonda kwakweli.inahitaji wito mno!sipend hayo maisha tena
Hii kitu ilikugusa sana aisee hope sio mara ya kwanza unaitolea ushuhuda, pole sana ndio mapito ya dunia.
 
Ukituona wanatuita twins tumefanana sema kenyewe ni very skinny kana mwili kama wa lady jd vile..tulikua zaidi ya neno ndugu..lakini dada angu ana roho mbaya mno mno sio ameanza juzi ni toka tunakuwa wasichana alikua ana figisu balaa ...sio kwangu tu ...yaan familia nzima ameivurugaga sasa wenzangu wanamvumilia...mm nimemnawa kabisa..na ndugu wote wanasema bora hatuongei..ukiongea naye hakawii kukuumiza in anywys..baba kaumizwa( aliuza kiwanja chake kwa hela ya mboga 10m na huku hicho kiwanja kiko few miles toka baharini wakat ule kilikua kiuzwe kwa 60m) baba akasamehe..
Amemuumiza mama zaid anamchonganisha na ndugu na sisi anatuvuruga ..
Amemuumiza mdogo wetu vibaya mno
Ameniumiza mm kuniharibia kwenye mishe zangu umewah sikia unamwambia nakuja dar nna mzigo[emoji184] anahaha anatafuta watu wanikamate wanitaifishe? Hahaa .hairuhusiwi kuuza madini nje ya mkoa bas akawa anahaha na polisi wanikamate wanipoke mzigo yy nafsi yake isuuzike...lakini ukumbuke ada za wanaye namsaidia...ukimuuliza shida nn anasema bas tu nataka asipge hatua..
Nikiendaga dar kuna mkoko natumiaga wa rafiki angu so namchukua na wanaye tunazurura balaa..nikamkuta anataka weka chumv na mafuta ya taa kwa gari ya watu..can u imagine??
Unaweza iba hela za mdg wako ukazichana na wembe zoote ukazirudisha zilipo??
Unaweza wewe kwenda kwa mganga wa kienyej ukamwambia nirogee mdogo wangu asifunge ndoa anaringa sana! Wewe unaweza usihudhurie harusi ya mdogo wako na nauli umetumiwa?
Unaweza mpa beki 3 hela ili atafte docs za kimicrofinace chako ili akakuchome unafanya mishe illegal? Unaweza ficha cheti cha mdogo wako kwa mwaka mzima ili tu asipate kazi?
Unaweza washirikisha wadogo zako (sisi( ukawaambia tutafte majambazi waje waibe gari la baba tuuze?aliwatafuta wakenya kabisa akawapa direction kbs waje hom waibe ndinga nikakisanua hom ikawa pona yetu
Unaweza kojoa mkojo ukamwaga kitandani kwa kaka yako na kinyesi juu kumkomoa tu?
Unaweza ww kuweka kinyesi kwenye maji ya kuoga ya mdogo wako ile ameacha ndoo bafuni kaingia toi anarudi anakuta mavi yanaelea..na wanaishi wawili tu
UNAWEZA??Kama unaweza basi huenda mie nna shida!hata mtu baki mm sina roho hiyo my dear..
Duuh mbona ana roho ngumu hivi, au ana mashetani?
 
Wana JF wenzangu, nilikuwa nimepanga maeneo ya Kimara miaka kadhaa iliyopita. Kutokana na changamoto ya maisha, kazi nilikuwa sina nikaenda kuishi kwa bamkubwa ili nijipange upya.

Kwa sasa nimekaa miezi minne kwake leo asubuhi kaniambia “nimekupa siku 30 uondoke kwangu”.

Wakuu naombeni msaada wapi pakuanzia? Nifanye nini? Nianzie wapi?
Acha kupoteza muda wako mwingi JF ili utafute ngawira
 
Duuh mbona ana roho ngumu hivi, au ana mashetani?
Hatujui kwakweli....haijulikan shida yake ni nn..akitaka kutukana anatukana sikunnzima anamtukana baba na mama kwa sms ..ukizisoma hata kama una njaa inaisha ..mie ndo ananijua .namfataga dar namkung'uta had unahis mnakazika...nakalaga ndan kakitoka hapo kanakaa kimya..ss kaishiwe tena kanaanza chokochoko
 
Bro, kwann ulie na kujikuta unaanza kukata tamaa sababu tu ya mithani iliyo mbele yako?....Dawa ni kumuomba msaada yeye aliyeumba mithan hiyo huku ukikabiliana nayo pia piga moyo konde usiogope kusisima mwenyewe kupata majaribu ndio ishara ya kuelekea kwenye kufanikiwa
 
Niliwahi kuishi kwa dadangu damu 1 alikua ameolewa...hahaa...jaman maisha haya ..walikua wakipika wenyewe wanaenda kulia chumban na mumewe...nilikua nachota maji najaza pipa 2 ..lakini hom kwetu ni kila kona wafanyakazi..nilikonda kwakweli.inahitaji wito mno!sipend hayo maisha tena

Mshukuru sana Mungu
Ulichopitia ndio kimekufanya kuwa Wangari Maathai
 
Back
Top Bottom