Msaada: Nimepewa siku 30 niondoke nyumbani kwa Baba mkubwa

Msaada: Nimepewa siku 30 niondoke nyumbani kwa Baba mkubwa

Wewe unataka kulelewa paka lini? Tena mshukuru kwa kukuvumilia huo mda wote......tafuta maisha kijana wengine at 20yrs tulikua tumesha zamia nchi za watu na no father no mother no relative ni wewe na juhudi zako tu, sembuse hapa bongo kila mtu anaongea kiswahili......mimi nasema hivi nipeleke popote hapa tz bila kitu chochote unipe miazi 6 tu ntafanikiwa maisha na kununua na piki piki ya 1.5m ya usafiri wangu.
Bongo maisha ya substance ni simple sana labda kama unatafuta utajiri ndo issue tu.

Aise hata mm nasema ninaweza ishi popote...yaan tena tz kuna sehem unaishi no stress...yaan popote naishi bila hofu hata nukta .na nikitkka huko nimenawiri balaa...kuliko kukaa mijini strss tupy
 
Hamna Kitu ila tuu alichonielezea chumba ninachokaa anataka kukifanyia ukarabati anataka kuna mpangaji atakuja kuhamia alishampa kodi yake
Wewe hulipi kodi na yeye anataka hela.

Anataka uhame apangishe. Hama tu maisha hayajawahi kusimama hata siku moja.
 
Mkuu ukikaa Kwa watu , Kwa bro , au Kwa sista ,au Kwa ndug yyte hata rafk tuu, jitahd uwe mpole kabisa , yaan wew uwe Mzee wa Yes , jali mambo yako tuu....!!

Yaan hata kuleta marafk hapo home acha, kutongoza mfanyakaz usijarbu kabisa , na usiwe na mazoea saaana nao ..... Na uwe na furaha always , usinung'unike chakula sjui nn , wakikupa kazi fanya Kwa furaha...issue zako zikikaa Sawa unaamsha sasa
Hii imekaa vizuri sana kuna kitu cha kujifunza hapa👊
 
Kuishi Kwa ndugu ni kipaji , unakuwa kama kabati [emoji39] Leo linageuzwa hv , Kesho vile zaidi ya hapo lazima mtibuane...Mimi hata mtu akiniambia nikamtembelee alaf yupo Kwa ndug , siendi mana wote tunakuwa under guidance...may be tukutane hotelin au kwake
Eti kama kabati[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Niliwahi kuishi kwa dadangu damu 1 alikua ameolewa...hahaa...jaman maisha haya ..walikua wakipika wenyewe wanaenda kulia chumban na mumewe...nilikua nachota maji najaza pipa 2 ..lakini hom kwetu ni kila kona wafanyakazi..nilikonda kwakweli.inahitaji wito mno!sipend hayo maisha tena
Duh[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanalia chumbani [emoji23][emoji119]
 
Back
Top Bottom