Regent
JF-Expert Member
- Oct 9, 2020
- 2,306
- 3,576
Unaundugu na Dada wa JFWatu mna roho ngumu Mie mjini sikai hata wiki kama sina kazi/ shughuli ya kuingiza kipato.
Unaundugu na Dada wa JFWatu mna roho ngumu Mie mjini sikai hata wiki kama sina kazi/ shughuli ya kuingiza kipato.
Sure kabisa .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndugu wengine nuksi sana yani
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
sijawahi kufunga PmHornet nitafute PM naona yako umefunga
Nina mchongo wa hela
uwe mme mdogo siyo?Nipo tayari kukuoa
Vyovyote vileuwe mme mdogo siyo?
Najaribu kubonye pale kwenye message kwenye wall yako inagoma fungukasijawahi kufunga Pm
Heeee aiseeeuwe mme mdogo siyo?
Hivi vyumba vina umeme mkuu?kapange Mbagala maji-matitu, chumba mpaka sh. 6000/- kwa mwezi
Kaa na familia muyajenge,hayuwezi kujua nanni yuko sahihi wewe au huyo baba mkubwa inawezekana ulijiachia kama kwako vile!Wana JF wenzangu, nilikuwa nimepanga maeneo ya Kimara miaka kadhaa iliyopita. Kutokana na changamoto ya maisha, kazi nilikuwa sina nikaenda kuishi kwa bamkubwa ili nijipange upya.
Kwa sasa nimekaa miezi minne kwake leo asubuhi kaniambia “nimekupa siku 30 uondoke kwangu”.
Wakuu naombeni msaada wapi pakuanzia? Nifanye nini? Nianzie wapi?
Hii mkuu ya kukaa kwa mtu ni uzembe sana ni kama utumwa,mbaya zaidi ujifanye mjuaji kuliko mwenyeji,utaisoma namba.1,27,9!Kuishi Kwa ndugu ni kipaji , unakuwa kama kabati 😋 Leo linageuzwa hv , Kesho vile zaidi ya hapo lazima mtibuane...Mimi hata mtu akiniambia nikamtembelee alaf yupo Kwa ndug , siendi mana wote tunakuwa under guidance...may be tukutane hotelin au kwake
Wewe hama tuu,hakujenga kuhifadhi ndugu,mbona hujakimbilia kwenu?!Hamna Kitu ila tuu alichonielezea chumba ninachokaa anataka kukifanyia ukarabati anataka kuna mpangaji atakuja kuhamia alishampa kodi yake
Angalau ulikuwa na pakuanzia mkuu vipi kama yeye hana chochote cha kuuza? Afanye nini?Mwaka fulani, nilipoteza kazi nikiwa sina chochote! Nyumbani kwetu kuna nyumba kubwa sana, na kwavile watoto wote ni wakubwa (the youngest is now 26), karibu, except huyu dogo, wana "kwako"! Hata huyu dogo bado yupo home kwavile, as a big brother, nilimwambia asitoke lakini uwezo wa kupanga anao! Ninachotaka kusema ni kwamba, ingawaje nyumba ni kubwa sana lakini ilikuwa inaishi baba, mama, mfanyakazi wa ndani, na huyu dogo huku chumba kimoja na sebule (uani) kukiwa hakuna mtu, na chumba kimoja wakaamua kuweka kuku kwavile na chenyewe kilikuwa hakina kitu! Aidha, kulikuwa na banda lingine kubwa la uani (upande mwingine wa nyumba) ambako walikuwa wanaishi wapangaji ambao ni MMOJA TU ndie alikuwa analipa kodi kwa wakati! Wengine wote walikuwa na sifa ya kutimuliwa!!!
Unaona jinsi ambavyo nilikuwa na "utajiri" wa makazi?! Lakini pamoja na yote hayo, nikagoma katakata kurudi home kwenye nyumba ya bure! Nilichofanya ni kuuza pikipiki yangu na kwenda kupanda sehemu iliyokuwa nafuu zaidi! Usidhani ilikuwa rahisi! Niliishi kwa shida SANA! Mlo mmoja ilikuwa kawaida! Nikipika chai, majani nilikuwa simwagi! Amini usiamini, sufuria ya chai ilibadilika rangi kutokana na kutoisafisha kwa hofu ya kumwaga majani! Mboga yangu ilikuwa maharage, na wala sikuwa na uhakika wa kuyapata! Niliachana na jiko la gesi na kuanza kutumia mafuta ya taa sababu ilikuwa ni rahisi kupata buku 2 ya mafuta ya taa kuliko 15K hadi 18K ya gesi! Si mara moja wala mara mbili kukaa na njaa lakini nikakomaa ingawaje wazazi wapo hai Dar, Sister wangu (hana mume) yupo hai Dar na ana nyumba yake, uncle wangu, yupo hai Dar na ana nyumba yake, Bro wangu akanipatia banda la uani pale kwake Charambe! Lakini kote huko NILIGOMA kwenda!
Leo sina cha kujivunia lakini naweza kulipa kodi ya mwaka mzima! Najua unajua huwezi kulipa kodi mwaka mzima wakati hauna uhakika wa kula!!!
Ninachotaka kusema ni kwamba, ONDOKA hapo unapotimuliwa! kapambane mtaani uingie akili! Huwezi kuwa kula kulala bure halafu ukapata akili ya ku-fight!!
Unafikiri uko peke yako. Hata hao unawasikia wanafukuza au kushabikia mtu kafukuzwa wamepitia huko huko.Maisha yamebadilika Sana, mtoto wa Kaka yako unamfukuza au mdogo wako wa damu unamnyima chakula, mi nakua watu wanajazana home Kama hospital, wafanyakaz wanatoroka wanaacha kazi,, kauli ya mzee wangu wageni ni baraka, imenijenga sana, Maisha safar, tupende ndugu zetu.
Ila mkuu,huyo mume hakutakiwa nae kumnyima mtu chakula ukizingatia amekuja kuwasaidia kazi za ndani huku mkeo akiwa mjamzito,ina maana wangekua na Dada wa kazi pia wangemnyima chakula? wangempa chakula na mshahara juu,sasa iweje wamnyime chakula mtu anayewasaidia kazi tena free? inafikirisha sana aisee.mbaya zaidi sisi wanaume huwa hatunaga mambo hayo,ukiona mwanaume ana tabia za kijinga za kusurpot upuuzi wa mkewe ujue kashikwa.
mimi nimeishi na dada pia,ila aliyekuwa anakaa upande wa mzazi ni shemeji yangu,mara nyingi dada ndiye alikuwa ananitolea boko.
Wana JF wenzangu, nilikuwa nimepanga maeneo ya Kimara miaka kadhaa iliyopita. Kutokana na changamoto ya maisha, kazi nilikuwa sina nikaenda kuishi kwa bamkubwa ili nijipange upya.
Kwa sasa nimekaa miezi minne kwake leo asubuhi kaniambia “nimekupa siku 30 uondoke kwangu”.
Wakuu naombeni msaada wapi pakuanzia? Nifanye nini? Nianzie wapi?
We ni jinsia gani, mwanamke au mwanaume? Itasaidia kukupatia dozi sahihiWana JF wenzangu, nilikuwa nimepanga maeneo ya Kimara miaka kadhaa iliyopita. Kutokana na changamoto ya maisha, kazi nilikuwa sina nikaenda kuishi kwa bamkubwa ili nijipange upya.
Kwa sasa nimekaa miezi minne kwake leo asubuhi kaniambia “nimekupa siku 30 uondoke kwangu”.
Wakuu naombeni msaada wapi pakuanzia? Nifanye nini? Nianzie wapi?