Msaada: Nimepewa siku 30 niondoke nyumbani kwa Baba mkubwa

Hamna Kitu ila tuu alichonielezea chumba ninachokaa anataka kukifanyia ukarabati anataka kuna mpangaji atakuja kuhamia alishampa kodi yake
Wewe unataka kulelewa paka lini? Tena mshukuru kwa kukuvumilia huo mda wote......tafuta maisha kijana wengine at 20yrs tulikua tumesha zamia nchi za watu na no father no mother no relative ni wewe na juhudi zako tu, sembuse hapa bongo kila mtu anaongea kiswahili......mimi nasema hivi nipeleke popote hapa tz bila kitu chochote unipe miazi 6 tu ntafanikiwa maisha na kununua na piki piki ya 1.5m ya usafiri wangu.
Bongo maisha ya substance ni simple sana labda kama unatafuta utajiri ndo issue tu.
 
Sijamkosea Kitu ila anachodai tuu ni kwamba ninachokaa anataka kukifanyia marekebisho aweke mpangaji hivyo amenipa muda mpka deadline niwe nimejipanga na kuondoka hm
kapange Mbagala maji-matitu, chumba mpaka sh. 6000/- kwa mwezi
 
Pole mkuu
Jipange maadam una uhai nguvu unazo hamna kitakacho shindikana,kila jambo na wakati wake
 
Anakupenda sana huyo bamkubwa wako..akili itakua
 
Hii kitu ilikugusa sana aisee hope sio mara ya kwanza unaitolea ushuhuda, pole sana ndio mapito ya dunia.
 
Duuh mbona ana roho ngumu hivi, au ana mashetani?
 
Acha kupoteza muda wako mwingi JF ili utafute ngawira
 
Duuh mbona ana roho ngumu hivi, au ana mashetani?
Hatujui kwakweli....haijulikan shida yake ni nn..akitaka kutukana anatukana sikunnzima anamtukana baba na mama kwa sms ..ukizisoma hata kama una njaa inaisha ..mie ndo ananijua .namfataga dar namkung'uta had unahis mnakazika...nakalaga ndan kakitoka hapo kanakaa kimya..ss kaishiwe tena kanaanza chokochoko
 
Bro, kwann ulie na kujikuta unaanza kukata tamaa sababu tu ya mithani iliyo mbele yako?....Dawa ni kumuomba msaada yeye aliyeumba mithan hiyo huku ukikabiliana nayo pia piga moyo konde usiogope kusisima mwenyewe kupata majaribu ndio ishara ya kuelekea kwenye kufanikiwa
 

Mshukuru sana Mungu
Ulichopitia ndio kimekufanya kuwa Wangari Maathai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…