Msaada: Nimetapika hiki kidude

Msaada: Nimetapika hiki kidude

Yule Singo Maza Ameanza Kazi Mapema Sana Hakutakiwa Kushambulia Kwa Haraka Namna Hiyo,,Una Damu Kali Rada Zako Zimefanikiwa Kuzuia Kombora La Masafa Mafupi,,Endelea Kuwa Mwema,,Endelea Kubonyeza Raha.
Mkuu ebu kwanza...
Huyu single maza leo nimesema asije kabisa maana naona tangu niwe nae ndo naanza kupata mauza uza
 
Back
Top Bottom