Msaada: Nimetupiwa kipande nateseka mwaka wa 3 sasa, nahitaji msaada

Habari wana jamvi, kama kichwa cha habari kinavyo jieleza ntaomba kuelezea kwa uchache changamoto ninazopitia kwa miaka 3 sasa. Ikibidi nitaandaa treads ya kusimulia mkasa mzima toka ulivyo anza mpaka hali niliyonayo kwa sasa.

Nipende tu kuwaomba wale wenye itikadi za kidini kukaa pembeni kwanza kwani kama hujapitia shida kubwa ktk maisha huwezi kujua kuwa kuna ya walimwengu pia.

Niende kwenye mada, mimi ni kijana wa kiume ambae kazi yangu kubwa ni media producer & fundi wa vifaa vya umeme. Nilihamia wilaya hii iliyoko mkoa x kutoka wilaya nyingine ya mkoa huu huu ili kufata fursa za kibiashara. Mwanzo mambo yalienda vizuri sana na kutokana na kazi yangu iliniwezesha kusafiri mara kwa mara nje na ndani ya mkoa.

Nitafupisha stori, mwanzoni mwa mwaka juzi ndipo nilianza kuona mabadiliko ktk biashara zangu ikawa hata mteja ukimpa bei akaomba punguzo na ukamkubalia ila haitachukua dakika kadhaa kukupigia kuwa ameahirisha kazi hiyo lakini nikifatilia nakuta amefanya kazi sehemu nyingine na haina ubora kama ninavyofanya mimi.

Kifupi niliona ni masuala tu ya kibiashara kufanya au kutokufanya kazi na mteja, lkn hali ikazidi kuwa mbaya kwangu binafsi hata nikienda kazini kwangu ni kulala na hakuna wateja, akienda mwingine kuna nafuu japo hela ya matumizi inapatika. Kiukweli naumia kuona nimewekeza almost vifaa + ofisi zaidi ya 10ml lkn unapata hela ya kula tu hata kodi naelekea kushindwa kilipa.

Kwa muda wote huo mabadiliko yalianza kwangu kuhisi naogopa watu, kujitenga hata sikuwa na ujasili tena ambao nilikuwa nao wa kwenda kwenda kukusanya habari kwenye mikutano, makongamano, sherehe nk kwani watu wamekuwa wakiona kama kitu flani cha ajabu hivi wengine kupelekea kukucheka [emoji24][emoji24] jambo ambalo limeniathiri sana kisaikolojia, nikiwa na maana kuwa watu wanao cheka ni ambao tunafahamiana nao miaka kadhaa toka nihamie hapa ikiwa kipindi sina tatizo lolote. (Jaribu kuwaza ikiwa wewe ikatokea siku staff wenzo, watu wako wa karibu pengine na familia wanakucheka, kukusengenya na kukudhihaki huku unawaona ni jambo gani utafanya?).

Mpaka sasa nimebaki pekeangu hakuna rafiki wala watu wa dini kuwa karibu tena na mimi, nimebaki na familia yangu hasa mke na watoto ndo wafariji wangu. Na kinachoniumiza zaidi ni mama yangu ambaye kwa sasa anasumbuliwa na pressure iliyotokana na kuniona nikiwa ktk hali hii na jinsi jamii inavyo ni treate kwani mimi ndiye msaada mkubwa kwake.

Kwa muda wote huo nimekuwa nikitafuta suluhiso la tatizo hili, ni nilianzia kwenye maombi miezi kadhaa bila mabadiliko ndipo nikashauriwa kuangalia tiba asili napo nimepita maeneo mengi ya ndani na nje ya mkoa. Kikubwa ambacho nimeambiwa na wengi ni kwamba NIMETUPIWA KIPANDE. Kifupi nimepotea fedha nyingi mpaka sasa na uchumi wangu umeyumba bado sijapata nafuu ya tatizo sababu siwezi kusema kuwa labda wale wataalam wa tiba asili kuwa walikuwa matapeli, hapana sababu kila mtu anao uwezo wake ktk kutatua matatizo ya watu, ndio maana nikaja huku kuomba msaada wa kupata matibabu kwani hali ni mbaya ndugu zangu na familia wananitegemea na sioni nuru mbeleni sababu nimekuwa nikiota ndoto za ajabu ajabu na za kutisha mara nyingi, mara uote unazikwa mara unabeba jeneza nk. [emoji24].

Japo wengine hufikiria kujiua ili kuondokana na hizi shida za dunia lakini mimi NASEMA KAMA MUNGU ALIRUHUSU MATATIZO HAYA KUNIPATA BASI ASIPORUHUSU KUPATA MSAADA WA KUPONA KABISA BASI NITAISHI HIVIHIVI, SIWEZI KUJIUA.

Naomba nifupishe stori na kuwasilisha kwenu. Kama kuna mtu anaweza nisaidia tiba, namna ya kupona nitashukuru sana.

Mungu awabariki kwa muda wenu.
[emoji1317][emoji1317]

Mshana Jr
Hizb Tahrir Tanzania
Hizbu Sharifu
pole sana mkuu , ufanikiwe katika kutatua unayopitia naelewa sana hiyo hali , Mungu awe nawe mkuu ktk kipindi chote

Note ; Tukienda kutafuta ugenini , ni vyema tukajikita kataka malengo yetu ya awali kama hulifuata fursa bas ni bora utafute fursa tu nje ya hapo utakuna na ubaya wa mwanadamu
 
Uko mkoa Gani nikupe Namba ya Fundi mzuri tu..... Am serious
Fundi mkubwa kuliko wote ni Mungu tu, kama kuna fundi zaidi na zaidi watu wasingekufa, cha msingi amrudie Mungu wake vizuri na Mungu atamjibu, aachane na vitendo vyote vya hovyo namaanisha awe msafi, asali sala za usiku na kumlilia Mungu, Mungu wetu yupo muda wote kusikiliza shida zetu, matatizo yetu lakini hatumuombi badala yake tunakimbilia kwa waganga, kuwa na yakini yupo Mungu mwenye nguvu sana anayesema kuwa na ikawa, si mchawi, si mashetani, si majini hakuna anayeweza kuzuia ulichoandikiwa na Mungu juu yako. Jenga tabia na mazoea ya kuomba mara kwa mara, hakikisha moyo wako unakuwa safi, penda kutoa sadaka kusaidia wenye uhitaji, unapotoa sadaka nuia shida zako zote, unaposali eleza matatizo yako yote kimoyomoyo.
 
Kwa imani yangu niliyonayo ninaamini husda, roho mbaya, vijicho vipo katika maisha yetu ya kibinadamu na ndio maana tumeambiwa kuwa wasiri sana kwenye mafanikio yetu, wengi hawapendi mafanikio yetu bali wanapenda kuanguka kwetu.

Walihusudiwa manabii wa Mwenyezi Mungu sembuse sisi, nabii Yusuf akiwa mdogo sana alimwambia baba yake, nimeota ndoto, nyota kumi na moja, mwezi na jua, nimeviota vyote hivi vikinisujudia. Baba yake mzee Yakub akamwambia usije ukawasimulia ndoto yako hii ndugu zako. walimfanyia mambo mengi sana ya vurugu lakini hakuwahi kumuacha Mungu hatma yake haikubadilika akaja kuwa waziri wa misri.

Pia tusiache kumuomba Mungu atupe ustahmilivu kama wa nabii Ayubu, hakika yupo Mungu ambaye hajawahi kutuacha, achana na mambo ya manabii feki wanaotaka pesa akuombee, achana na waganga wanaotaka pesa, kama ni muislam kama imani yangu ilivyo basi ninapoona kuna jambo haliko sawa haraka namshtakia Mungu mwenyewe na amekuwa akinijibu.

Kwa imani yako yoyote, piga goti lia na Mungu na nina imani atakujibu. Mungu ni wa woe, hatma yako ni wewe na Mungu wako na hakuna yoyote anayeweza kubadili hatma yako, cha muhimu ni kuomba sana.
 
Habari wana jamvi, kama kichwa cha habari kinavyo jieleza ntaomba kuelezea kwa uchache changamoto ninazopitia kwa miaka 3 sasa. Ikibidi nitaandaa treads ya kusimulia mkasa mzima toka ulivyo anza mpaka hali niliyonayo kwa sasa.

Nipende tu kuwaomba wale wenye itikadi za kidini kukaa pembeni kwanza kwani kama hujapitia shida kubwa ktk maisha huwezi kujua kuwa kuna ya walimwengu pia.

Niende kwenye mada, mimi ni kijana wa kiume ambae kazi yangu kubwa ni media producer & fundi wa vifaa vya umeme. Nilihamia wilaya hii iliyoko mkoa x kutoka wilaya nyingine ya mkoa huu huu ili kufata fursa za kibiashara. Mwanzo mambo yalienda vizuri sana na kutokana na kazi yangu iliniwezesha kusafiri mara kwa mara nje na ndani ya mkoa.

Nitafupisha stori, mwanzoni mwa mwaka juzi ndipo nilianza kuona mabadiliko ktk biashara zangu ikawa hata mteja ukimpa bei akaomba punguzo na ukamkubalia ila haitachukua dakika kadhaa kukupigia kuwa ameahirisha kazi hiyo lakini nikifatilia nakuta amefanya kazi sehemu nyingine na haina ubora kama ninavyofanya mimi.

Kifupi niliona ni masuala tu ya kibiashara kufanya au kutokufanya kazi na mteja, lkn hali ikazidi kuwa mbaya kwangu binafsi hata nikienda kazini kwangu ni kulala na hakuna wateja, akienda mwingine kuna nafuu japo hela ya matumizi inapatika. Kiukweli naumia kuona nimewekeza almost vifaa + ofisi zaidi ya 10ml lkn unapata hela ya kula tu hata kodi naelekea kushindwa kilipa.

Kwa muda wote huo mabadiliko yalianza kwangu kuhisi naogopa watu, kujitenga hata sikuwa na ujasili tena ambao nilikuwa nao wa kwenda kwenda kukusanya habari kwenye mikutano, makongamano, sherehe nk kwani watu wamekuwa wakiona kama kitu flani cha ajabu hivi wengine kupelekea kukucheka 😭😭 jambo ambalo limeniathiri sana kisaikolojia, nikiwa na maana kuwa watu wanao cheka ni ambao tunafahamiana nao miaka kadhaa toka nihamie hapa ikiwa kipindi sina tatizo lolote. (Jaribu kuwaza ikiwa wewe ikatokea siku staff wenzo, watu wako wa karibu pengine na familia wanakucheka, kukusengenya na kukudhihaki huku unawaona ni jambo gani utafanya?).

Mpaka sasa nimebaki pekeangu hakuna rafiki wala watu wa dini kuwa karibu tena na mimi, nimebaki na familia yangu hasa mke na watoto ndo wafariji wangu. Na kinachoniumiza zaidi ni mama yangu ambaye kwa sasa anasumbuliwa na pressure iliyotokana na kuniona nikiwa ktk hali hii na jinsi jamii inavyo ni treate kwani mimi ndiye msaada mkubwa kwake.

Kwa muda wote huo nimekuwa nikitafuta suluhiso la tatizo hili, ni nilianzia kwenye maombi miezi kadhaa bila mabadiliko ndipo nikashauriwa kuangalia tiba asili napo nimepita maeneo mengi ya ndani na nje ya mkoa. Kikubwa ambacho nimeambiwa na wengi ni kwamba NIMETUPIWA KIPANDE. Kifupi nimepotea fedha nyingi mpaka sasa na uchumi wangu umeyumba bado sijapata nafuu ya tatizo sababu siwezi kusema kuwa labda wale wataalam wa tiba asili kuwa walikuwa matapeli, hapana sababu kila mtu anao uwezo wake ktk kutatua matatizo ya watu, ndio maana nikaja huku kuomba msaada wa kupata matibabu kwani hali ni mbaya ndugu zangu na familia wananitegemea na sioni nuru mbeleni sababu nimekuwa nikiota ndoto za ajabu ajabu na za kutisha mara nyingi, mara uote unazikwa mara unabeba jeneza nk. 😭.

Japo wengine hufikiria kujiua ili kuondokana na hizi shida za dunia lakini mimi NASEMA KAMA MUNGU ALIRUHUSU MATATIZO HAYA KUNIPATA BASI ASIPORUHUSU KUPATA MSAADA WA KUPONA KABISA BASI NITAISHI HIVIHIVI, SIWEZI KUJIUA.

Naomba nifupishe stori na kuwasilisha kwenu. Kama kuna mtu anaweza nisaidia tiba, namna ya kupona nitashukuru sana.

Mungu awabariki kwa muda wenu.
🙏🏻🙏🏻

Mshana Jr
Hizb Tahrir Tanzania
Hizbu Sharifu
Ccm imesababishia watu mdongo wa mawazo,si ajabu nawe ni ccm
 
Mwamba Mshana Jr alishaachana na hizi mambo! Ingawa sina hakika kama huwa yanaachwa!!
 
Asee ubarikiwe kwa kila jema na baya lako. Nikuulize tu kuna siku umewahi kusafiri ukapiga goti kumuomba Mungu upate ajalI ufe au upate kilema ktk safari yako?

Kama hakuna basi hakuna mwanadamu anayeweza kuomba apite ktk magumu.

Asante
Umeandika deep sana! Unaendeleaje sasa hivi ndugu yangu?
 
Tuma majina yako na changamoto yako pm

Usiku saa nane ntakuombea . utapona .

Then tafuta hawa watu

Mwana Saikolojia
Mentor wa biashara
Spiritual FATHER.

Business -inaonekana hadharani so bila kujilinda you can attract evil eyes.
 
Back
Top Bottom