Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Hiyo pesa ipo kwenye kipochi manyoya? Safi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwalimu mwenye degree anayeanza kazi anaanza na TGTS D sawa no Tsh716000/=Kama Kuna mwalimu anapewa hii pesa nipo tayari kuwa juma lokole
Akipanda daraja anafika TGTS E sawa na Tsh 910000/=Mwalimu mwenye degree anayeanza kazi anaanza na TGTS D sawa no Tsh716000/=
Unaweza madam. Biashara kwa huo mtaji ni matunda, chukua 7000 nunua vicontena sio disposable chukua vile vya plastick, kanunue papai 3, maembe 10, parachichi 5, ndizi 20, nanasi 3, na tikiti 2Hello JF Members,
I'm madam Agnes, leo tena humu Jukwaani. Nisiwachoshe, niko na 30k kwenye kipochi, nahitaji kuanza biashara yoyote ile itakayowezekana sasa hivi.
Mazingira ni Dar es salaam. Siko na aibu, naeza fanya yoyote ile. Ilimradi tu itoshe kunipatia mlo pamoja na saving kidogo kwa ajili ya masuala ya baadae.
Sihitaji kuajiliwa, maake naondoka hivyo kwenye nyumba ya watu nilipokuwa naishi as house girl, watu hawana shukhrani jamani.
Mwenye wazo lolote lile ambalo limemsaidia kuendesha maisha, ama ameona limemsaidia somebody ku run his/her own life anipatie basi. Hata kama ni idea ya kiume, I'm ready.
I'm waiting.
Akili kisodaSipo hapa kukukejeli, hiyo pesa haitoshi Kwa chochote kile ila mm nataka nikupe ushauri tu. Kaombe kazi kitambaa cheupe uwe barmaid iam sure Kwa siku hutakosa kuondoka na elfu ishirini mpaka arobaini.
Sio pesa ya kudanga Bali ni kuachiwa chenji za wateja na wengine wakilewa huwa wanasahau chenji lakini pia ukipewa offer ya bia wewe Tia Maji afu pesa weka mfukoni ili baada ya miezi miwili utakuwa umepata mtaji sio chini ya million moja afu utakuja nikupe wazo la biashara.
Leta mrejesho ..Mh Mh, uko siji, niambilie hapa hapa
Last seen tarehe 5 disemba 2023, watu washapita naye na kumzuia asiingie humu. Wana Jf wanafaidi sanaHello JF Members,
I'm madam Agnes, leo tena humu Jukwaani. Nisiwachoshe, niko na 30k kwenye kipochi, nahitaji kuanza biashara yoyote ile itakayowezekana sasa hivi.
Mazingira ni Dar es salaam. Siko na aibu, naeza fanya yoyote ile. Ilimradi tu itoshe kunipatia mlo pamoja na saving kidogo kwa ajili ya masuala ya baadae.
Sihitaji kuajiliwa, maake naondoka hivyo kwenye nyumba ya watu nilipokuwa naishi as house girl, watu hawana shukhrani jamani.
Mwenye wazo lolote lile ambalo limemsaidia kuendesha maisha, ama ameona limemsaidia somebody ku run his/her own life anipatie basi. Hata kama ni idea ya kiume, I'm ready.
I'm waiting.
Fanya biashara ya uji wa ulezi tafuta mahospital yaliyo karibu na wewe maana kuna wagonjwa wengi wanatafuta watu wa kuwapikia uji na hawawapati ukiwa mazingira hayo utakuwa umewasaidia sanaHello JF Members,
I'm madam Agnes, leo tena humu Jukwaani. Nisiwachoshe, niko na 30k kwenye kipochi, nahitaji kuanza biashara yoyote ile itakayowezekana sasa hivi.
Mazingira ni Dar es salaam. Siko na aibu, naeza fanya yoyote ile. Ilimradi tu itoshe kunipatia mlo pamoja na saving kidogo kwa ajili ya masuala ya baadae.
Sihitaji kuajiliwa, maake naondoka hivyo kwenye nyumba ya watu nilipokuwa naishi as house girl, watu hawana shukhrani jamani.
Mwenye wazo lolote lile ambalo limemsaidia kuendesha maisha, ama ameona limemsaidia somebody ku run his/her own life anipatie basi. Hata kama ni idea ya kiume, I'm ready.
I'm waiting
Hii ni ya zamani kaka! Sasa hv wanaanza na 771k na sayansi 805kMwalimu mwenye degree anayeanza kazi anaanza na TGTS D sawa no Tsh716000/=
🤣🤣🤣🤣🤣Beti tu sister, hadi jumamosi utakuwa na 6M.
Una undugu na mr pipa ?Tafuta sure odds... Anza na 2 kwanza ... Utakua unaingiza elfu 60 kwa siku
Ukishapata hyo sitini toa elfu 20 then arobain weka tena sure odds utapata elfu 80
Siku ya tatu toa tena elfu ishirini itabaki sitini tafuta tena sure odds 2 usiwe na haraka dada hizi odds mbili zitakufaa ...
Mpaka hapa utakua na elfu 60 kama deposit sasa piga tena sure odds 2 unakuja kupiga 120k
Kwahyo unaona watu tunavyotengeneza pesa hiyo elfu 30 unaweza kuiona ndogo lakini inakwenda kubadirisha maisha yako tuseme ameen..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kuna wana wana mahesabu kmmk.Tafuta bangi kwa bei ya jumla 1000 kwa pc. Kwa 25000 utapata c 25. Hiyo buku tano nunua kiberiti na rizla alafu nenda hapo mabibo hostel saa moja jioni uzisukume kwa wanafunzi wa UDSM uziuze kwa 2000 kwa pc.
Huo mzigo ukiisha tayari utakuwa na 50000. Na 25000 kama faida. Rule number one ya pusher usivute kabisa hata kujaribu tena kaa mbali na huo moshi. Kesho yake tena kachukue pull kwa 20000 hapa utapata pc 80. Then jion urudi tena mabibo hostel baada hizi utazisukuma kwa siku 2. Endelea hvyo hvyo mpaka ufikie uwezo wa kuchukua gunia hapa utapata zaidi ya pc 10000 Then hilo gunia lisukume ndani ya mwaka.
Rule number tu usiuzie tamaa. Kwa siku sukuma kete 25 tu ka aloyal customer wako. Yaani walewale wa siku zote. Hizo pc 25 zinakupa 25000 faida ambayo kwa mwezi 750000 iweke kwenye legal business kama mpesa au duka la electronic. Huu ni unakaribiana mshahara wa degree mwalimu. Hizo pc 10000 utazisukuma kwa siku 400. Baada ya siku 400 utakuwa umetengeneza faida ya million 10 stafu na ufocus kwenye biashara ya kulipa Kodi TRA ujenge nchi.
Udangaji aina mpya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.Hello JF Members,
I'm madam Agnes, leo tena humu Jukwaani. Nisiwachoshe, niko na 30k kwenye kipochi, nahitaji kuanza biashara yoyote ile itakayowezekana sasa hivi.
Mazingira ni Dar es salaam. Siko na aibu, naeza fanya yoyote ile. Ilimradi tu itoshe kunipatia mlo pamoja na saving kidogo kwa ajili ya masuala ya baadae.
Sihitaji kuajiliwa, maake naondoka hivyo kwenye nyumba ya watu nilipokuwa naishi as house girl, watu hawana shukhrani jamani.
Mwenye wazo lolote lile ambalo limemsaidia kuendesha maisha, ama ameona limemsaidia somebody ku run his/her own life anipatie basi. Hata kama ni idea ya kiume, I'm ready.
I'm waiting.
Mkuu na mm ntakuchekKama unaweza kuuza nguo za ndani chupi,sidiria,tight nicheki dm nkupe connection unapata mzgo wa kutosha tu kwa bei hyo kkoo na faida yake ni nzuri