Msaada: Nina 30,000 hapa, nahitaji kuanza biashara yoyote ile sasa hivi. Niko DSM

Msaada: Nina 30,000 hapa, nahitaji kuanza biashara yoyote ile sasa hivi. Niko DSM

Tamaa haiepukiki hata mm ninayo ila ninachofanya mikeka ya tamaa naweka timu za mwezi mzima au wiki mbili hadi tatu then wakati naisubiri naendelea kutembea na odds mbili mbili tu huku nikichungulia cashout offer ikiwa nzuri mkeka wa tamaa na cashout na kuplace mwingine, hii hapa ni mikeka ya tamaa inayoenda hadi mwezi ujao but timu zangu ni zilezile.View attachment 2821744View attachment 2821747
Aisee!! Inabidi niende na hii plan yako, nzuri sana

Nlikua mapumziko nna kama week hivi na siku kadhaa, Ila hii weekend lazima nije na hii plan, Salute mwamba [emoji109].
 
Hello JF Members,
I'm madam Agnes, leo tena humu Jukwaani. Nisiwachoshe, niko na 30k kwenye kipochi, nahitaji kuanza biashara yoyote ile itakayowezekana sasa hivi

Mazingira ni Dar es salaam. Siko na aibu, naeza fanya yoyote ile. Ilimradi tu itoshe kunipatia mlo pamoja na saving kidogo kwa ajili ya masuala ya baadae

Sihitaji kuajiliwa, maake naondoka hivyo kwenye nyumba ya watu nilipokuwa naishi as house girl, watu hawana shukhrani jamani

Mwenye wazo lolote lile ambalo limemsaidia kuendesha maisha, ama ameona limemsaidia somebody ku run his/her own life anipatie basi. Hata kama ni idea ya kiume, I'm ready

I'm waiting...
Kama unaweza kuuza nguo za ndani chupi,sidiria,tight nicheki dm nkupe connection unapata mzgo wa kutosha tu kwa bei hyo kkoo na faida yake ni nzuri
 
Chupi chuo hutouza sana labda uje maeneo ya stendi kama apa mbezi mwisho nilipo mimi
Hata mm nilitaka kusema hivo kwa chuo ni ngumu maana biashara itakuwa ya msimu bora aende sehem zenye mkusanyiko wa watu wengi kama hapo mbezi mwisho auze zile chupi za 1000
 
Hapo eka mkeka tu, man city over 1.5
Girona to score 0.5 over
Chelsea 0ver 2.5
Jaribu hii biashara kwa huo mtaji wako
 
Uza uji maeneo ya sokoni asubuhi na jioni , location inategemea na ukaribu ulipo manzese, tandika , mabibo, k.koo n.k utakuwa na uhakika wa kufunga 10k -15k kwa siku kama faida , utakuja kunishukuru baadae!
 
Hello JF Members,

I'm madam Agnes, leo tena humu Jukwaani. Nisiwachoshe, niko na 30k kwenye kipochi, nahitaji kuanza biashara yoyote ile itakayowezekana sasa hivi.

Mazingira ni Dar es salaam. Siko na aibu, naeza fanya yoyote ile. Ilimradi tu itoshe kunipatia mlo pamoja na saving kidogo kwa ajili ya masuala ya baadae.

Sihitaji kuajiliwa, maake naondoka hivyo kwenye nyumba ya watu nilipokuwa naishi as house girl, watu hawana shukhrani jamani.

Mwenye wazo lolote lile ambalo limemsaidia kuendesha maisha, ama ameona limemsaidia somebody ku run his/her own life anipatie basi. Hata kama ni idea ya kiume, I'm ready.

I'm waiting.
Mtaji umeukalia la muhimu uwe msafi
 
Kwa attitude hii, I guarantee you utafanikiwa lazima!
 
Toa buku 3.5 kanunue beseni.

Hio 26500 nenda mahakama ya ndizi kanunue ndizi mbivu pitisha kitaa.

Nunua za buku buku uza mia mbili

Ukiuza zote utakuwa umedouble mtaji.

Anza Sasa.
 
Back
Top Bottom