Msaada: Nina 30,000 hapa, nahitaji kuanza biashara yoyote ile sasa hivi. Niko DSM

Msaada: Nina 30,000 hapa, nahitaji kuanza biashara yoyote ile sasa hivi. Niko DSM

Tafuta beseni nenda buguruni nunua matunda ya elf kumi faida unaweza kupata kuanzia 7000 au uza maji ya kandoro..utanishukuru
Ooh! Hayo matunda nayauza hivyo hivyo yakiwa raw, au natakiwa kuyakata kata ili niipate hiyo elfu saba?

Na ni kweli kuwa nitaenda kuipata hiyo faida ya elfu saba?

Inashawishi kufanya
 
kanunue mzani unauzwa 30,000 ingia mtaani uwe unapima watu uzito kwa siku huwezi kosa 10k uzito utakuwa unapima kwa sh 200
Wateja ntapata kweli? Ni wazo zuri lakini nawazia wateja. Binadamu wa siku hizi kupima uzito ni mpaka wapewe ushauri na daktari

Wateja kaka
 
Sister 30k ni ndogo sana, kwa ushauri wangu tafuta sehemu ya kujiajiri nusu siku then jioni uuze uji(kama utaweza) maana ni kitu venye unaweza fanya kwa mtaji mdogo, maanake kama umeajiriwa labda kwenye usafi au kusambaza chakula site hyo kazi utafanya nusu siku then jioni unasambaza uji

Pili unaweza kua unatengeza mikate asubuhi na mapema ukazama nayo mjini ukauza 🤔cyo mtaji mkubwa

Kama Kuna swali uliza
 
Kuuza vitafunio, kuuza uji, kuuza matunda, kuuza visheti, kutembeza chumvi za kwenye parketi mbona zipo nyingi mkuu kwa mtaji wake alafu ni mwanamke hizi biashara zinamfit sana
Biashara ya chakula ina risk kubwa hasa mzigo usipoisha.. Kwa mtaji wake inabidi afanye biashara yenye uwekezaji mdogo na minimum risk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu mwezi nataka nifunge hesabu na 10 mil, nishafikisha 7.4 mil game za weekend nishaweka Mapema nasubiri matokeo.
Mzee unajitahidi sana kuzuia tamaa, Mimi tamaa ndio huwa inaniponza

Odds 2 kwangu sio tatizo, tatizo ni tamaa yani hiki kitu kimenikaa kama jini vile.

Naweza nkaplan natembea na odds 2 nkishuka sana ni odds 1.56 na nkaenda vizuri

Lakini mwisho wa siku tamaa inanirudisha nyuma naongeza odds nakula za uso, Naishia kupanick ndio nakua nmejiroga zaidi..Wewe moyo unao.
 
Nilipoanza kusoma hiki kifungu, moyoni nilijiambia naweza kukusaidia kuongeza mtaji...

Conclusion yako ikaniondolea hiyo huruma ya mwanzo...

Anyway kila la kheri, Mungu akusaidie ufanikiwe...
sure..hata mimi conclusion yake ilinistaajabisha🙌
 
Hello JF Members,
I'm madam Agnes, leo tena humu Jukwaani. Nisiwachoshe, niko na 30k kwenye kipochi, nahitaji kuanza biashara yoyote ile itakayowezekana sasa hivi

Mazingira ni Dar es salaam. Siko na aibu, naeza fanya yoyote ile. Ilimradi tu itoshe kunipatia mlo pamoja na saving kidogo kwa ajili ya masuala ya baadae

Sihitaji kuajiliwa, maake naondoka hivyo kwenye nyumba ya watu nilipokuwa naishi as house girl, watu hawana shukhrani jamani

Mwenye wazo lolote lile ambalo limemsaidia kuendesha maisha, ama ameona limemsaidia somebody ku run his/her own life anipatie basi. Hata kama ni idea ya kiume, I'm ready

I'm waiting...
Kuna mtu nafanya naye kazi ofisi moja kwa sasa, aliniambia mama yao aliweza kuwalea kwa biashara ya mahindi ya kuchemsha.

Kwa maana ya kwamba amefika hapo alipo kwa mchango mkubwa wa biashara hiyo. Hivyo, kwa mtaji wako nadhani biashara hii inakufaa.

Ova
 
B… ngoja na mimi nijitafute, kumbe nachezea fursa ya mtaalamu na mshauri wa biashara ninae hapahapa?
 
Ingekuwa ni mwanaume anaomba ushauri huu angepewa kila aina ya kejeli na matusi..Ila kwa sababu mwanaume ni dhaifu kwa mwanamke, wanaume wengi wanatoa ushauri kwenye hili ili hali hawawazi kuhusu lililoulizwa ila wanatega ili kumpata huyu binti maana ashaonesha udhaifu tayari kujitangaza hadharani kabisa kwamba anahitaji mwanaume in indirect way..Wanaume wenzangu tuweni makini kwa hili..Hii ni biashara kabisa na yawezekana huyu akawa tapeli pia...pia uandishi wake unatia ukakasi ni kama mwanaume huyu kabisa 100%.
Mungu anakuona
 
Hivi mnavyowapigaga madanga sijui "laki for one night" unaweza kuona kwa jinsi gani hilo danga ulivyoliumiza kama unaona 30,000 ni hela ya mtaji
Siko hivyo mimi, na ndio maana nimeamua kuacha hata kazi za ndani
 
Mzee unajitahidi sana kuzuia tamaa, Mimi tamaa ndio huwa inaniponza

Odds 2 kwangu sio tatizo, tatizo ni tamaa yani hiki kitu kimenikaa kama jini vile.

Naweza nkaplan natembea na odds 2 nkishuka sana ni odds 1.56 na nkaenda vizuri

Lakini mwisho wa siku tamaa inanirudisha nyuma naongeza odds nakula za uso, Naishia kupanick ndio nakua nmejiroga zaidi..Wewe moyo unao.
Tamaa haiepukiki hata mm ninayo ila ninachofanya mikeka ya tamaa naweka timu za mwezi mzima au wiki mbili hadi tatu then wakati naisubiri naendelea kutembea na odds mbili mbili tu huku nikichungulia cashout offer ikiwa nzuri mkeka wa tamaa na cashout na kuplace mwingine, hii hapa ni mikeka ya tamaa inayoenda hadi mwezi ujao but timu zangu ni zilezile.
Screenshot_20231122-115619.png
Screenshot_20231122-115608.png
 
Jamaa mwenye wazo la bangi ana mbinu ila mwisho wake ni jela manina watoto wetu mnataka muwatokomeze badala ya degree iwe deweed
Kifupi dunia ipo mbio sana na was was na wewe ni muhanga wa operation ya RC chalamila kule maeneo lakini usiogope......
Hiyo ela nunua koti ujipe joto masika hii au uuze rain boots uwe chinga
Kwa kifupi ni kimbembe hiyo ni ela ya mzinga mmoja wa konyagi bia 6 na fegi masika hii
 
Hello JF Members,
I'm madam Agnes, leo tena humu Jukwaani. Nisiwachoshe, niko na 30k kwenye kipochi, nahitaji kuanza biashara yoyote ile itakayowezekana sasa hivi

Mazingira ni Dar es salaam. Siko na aibu, naeza fanya yoyote ile. Ilimradi tu itoshe kunipatia mlo pamoja na saving kidogo kwa ajili ya masuala ya baadae

Sihitaji kuajiliwa, maake naondoka hivyo kwenye nyumba ya watu nilipokuwa naishi as house girl, watu hawana shukhrani jamani

Mwenye wazo lolote lile ambalo limemsaidia kuendesha maisha, ama ameona limemsaidia somebody ku run his/her own life anipatie basi. Hata kama ni idea ya kiume, I'm ready

I'm waiting...
Uza mahindi ya kuchoma inatosha iyo buda unalipa kodi par day katika eneo lako ukubaliane nae ivo
 
Back
Top Bottom