Msaada: Nina 30,000 hapa, nahitaji kuanza biashara yoyote ile sasa hivi. Niko DSM

Anza na sox na chupi za wadada simama mageti ya vyuo
Nunua kwa jumla 500 uza 1000, 1500

Sent using Jamii Forums mobile app
Dar es salaam pichu ni mwiko, joto ni kali. Labda niuze zile za kudangia ambazo hata nikisimama nazo kwenye mageti ta vyuo, hawatozinunua kutokana na aibu yao ingawa watakuwa wanazitaka. Nitaziuza vipi?
 
Huu ni msimu mbaya wa mvua kwahiyo maji yapo ila ungekodisha toroli kwa siku, unatafuta wateja unaenda kununua kwa bei ya chini unayauza kwa bei ya faida kwako. Kuna dada niliona anafanya hii biashara na maisha yake anayamudu vizuri kila siku ana oda ya dumu za lita 20 sio chini ya 20 kila siku. Yeye kawatarget sana wa migahawani.
 
Mkuu yani mtaji wa 30,000, una mwambia aje PM πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Aje namuongezea 10k

Nimtumie mzigo wa bangi

Pure,dry and aunthetic weed

Debe moja hapa nilipo ni 40k,

Gharama za usafiri zangu,

Akiuza robo ya mzigo tu,ana more than 250k

Kikubwa akubali risks

Akimaliza huo mzigo,ananunua iPhone 15 mpya na chenji inabaki


Ni yeye tu

Kikubwa ale na polisi
 
Kama hutaki kunitakia mema si useme tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…