Msaada: Nina MB's za kutosha kwenye smartphone yangu, ila mobile data haifanyi kazi

Nenda kwenye settings angalia kwenye sim card and mobile data then click pale kwenye internet uchague hio line ya voda yenye mb's.

Afu Zima data washa data, ukimaliza Zima sim washa sim then weka internet data on, ikikataa ni tatizo la kimtandao either sehem uliyopo haisapoti internet au sim yako hujaiset vzr
 
Nenda settings
Connections
Mobile network
Access point names. Ukifika hapa:
Kama unatumia tigo, jaza kila sehemu unayotakiwa kujaza kwa kuandika tigowap.
Kama airtel au voda andika airtel/vodatz.
Nimekuelekeza kihuni* lay man's language, ila ukifanya nilivyokueleza, basi tatizo lako umelitatua. Karibu
 
Fanya setting upya kwenye Aced Point Name ( APN) kulingana na mtandao wa sim unaotumia
Ni Kweli tafuta APN pale Kwenye name andika Vodacom na kwenye type andika Internet Kisha save, tatizo litakua limeisha
 

Wasiliana na Vodacom ukomae nao. Yalimkuta jamaa yangu, walimtaka afanye SIM swap japo waliishia kumuwekea pesa kwenye line nyingine ya kifurushi kama MB karibu na hizo.

Angalizo: inabidi kukomaa nao. Tatizo haliko kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…