Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Kadri umri unavyokwenda hiyo hali itapingua yenyewe, ni stage tu ulivuka ndio tatizo.
Ila ktk hiki kipindi unaweza pata migogoro ya ndoa au kupata magonjwa hivyo ktk kila unalofikiria kulifanya waza kwanza kuhusiana na hayo mambo mawili.
Mwisho baada ya mda wa kazi uliyopo anzisha shughuli nyingine itakayokufanya kuwa busy nayo.