Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Ni kama utani ila madeni yanatupa discpline hatari.Hebu jiingize kwenye Madeni, kopa as much as possible hapo[emoji23][emoji23] itafikia stage hata mzee hasimami wiki nzima.
Futa magroup ya malaya na namba zao. Futa video za porn.
Anza kufanya mazoezi kila mara mwili uchangamke.
Mpende mke wako na mtoto.
Fanya hivyo kwa mwezi then rudi hapa tuyajenge.
Nipo nasubiri comment Yako nyingineHaya masimu tuwe tunayafeed na mambo mazuri, addiction ni mbaya mno