Msaada: Nina Mke ila nimekuwa mtu wa kupenda ngono sana hadi nanunua wadada na kupiga punyeto

Mwaliko huo mtoa mada
 
Hujamsaidia sasa,yeye kesha gundua hayo yote,na ndiyo maana kaja hapa, ili uonyeshe unajua hilo tatizo ungeanza kwa kumwambia afanye kadha wa kadha na atafanikiwa kutoka kwenye hilo boxi,yaani mpe mbinu unazozijua wewe,kusema tu ana ugonjwa wa akili ndiyo umemsaidia nini sasa?wabongo muwe mnapunguza ujuaji
 
Kama ni kweli unahitaji msaada na hautanii basi msaada wa kweli umeshaupata. Maelekezo ni haya:
1. Mwombe Mungu kwa JINA la YESU akuokoe. Ili kuokoka omba sala ya toba. Toba ni kukubali kuwa wewe ni mwenye dhambi na KUKATA SHAURI ya kuomba msamaha wa dhambi huku ukiwa umedhamiria kutokuzirudia tena dhambi. Ukidhamiria hivyo na kuomba sala ya toba nitakayokuelekeza hivi pumbe, Mungu atakusamehe dhambi zako zote, atakuzaa kwa mara ya pili na kupata nguvu ya kuikataa na kuishinda dhambi. Tafuta mahali pa utulivu, piga magoti (kama unaweza) na kuomba sala hii kwa sauti, sala yenyewe ni: Bwana Yesu naja kwako, mimi ni mwenye dhambi. Naomba unisamehe dhambi zangu zote ninazozikumbuka na ambazo nimezisahau. Tangu sasa ninamkataa shetani na kazi zake zote. Ninakukaribisha Yesu katika moyo wangu uwe Bwana na Mwokozi wangu. Asante Yesu kwa kunisamehe, na ninaomba uniponye magonjwa yote hata yale ambayo sijui kama ninayo. Ninaomba na kushukuru katika Jina la YESU-Amen. Kama umeomba sala hii kwa kumaanisha hongera sana maana UMEOKOKA. Kwa sasa una nguvu na uwezo wa kusema HAPANA kwa kishawishi chote chote cha dhambi.

2. Tafuta kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) lililo karibu na wewe na uende hapo kusali kila sikunya ibada. Ukifika hapo omba kuonana na mchungaji au mzee wa kanisa na mweleze kuwa umeokoka na utakuwa mshirika hapo kanisani. Watakupa msaada wa kiroho na mafundisho kwa ajili ya waamini wapya (waliookoka hivi karibuni.

3. Anza kumshuhudia mke wako, wazazi, ndugu na marafiki zako kuwa umeokoka. Wengine watakupinga, watakucheka nk. Usikate tamaa endelea mbele na uamuzi wako.

3. Amua kivishinda vikwazo. Kikwazo cha kwanza ni cha dini yako uliyokuta wazazi wanaiamini. Ujue kuwa hiyo dini haikuweza kukuokoa hivyo achana nayo.

4. Pia usiache kuleta mrejesho hapa Jf na ushuhuda wako utakuwa baraka sana kwa vijana wengi.

Nakutakia mafanikio katika safari yako ya kujisua kutoka kwenye utumwa wa dhambi hususan dhambi ya uzinzi!
 
Ukikua utaacha tu
 
To say no ndo kitu pekee kilichobaki,amu kusema hapana sifanyi tena punyeto ama siangalii tena x ama sichepuki tena,narudia say no to evils
 
Mke wangu anasimama kama mke kwenye majukumu yote..kitandani yup0 p0a sana...mimi ndio tatizo..
Wewe kweli mzinzi bro yaani comment zote za wajuba huja quote ila ya madame s umeonyesha ushababi wako [emoji23][emoji23][emoji23]

By the way hata mimi before nilikuwa hivyo ila sikuwa nimeoa, matumizi ya condom sana ilikuwa sababu ya mimi kutoridhika kingono nikaamua kumtafuta mmoja tukacheki afya ninetulia nae napiga kavu na nafurahia tendo. Ule muhaho kama wako sina tena.
 
Una nguvu nyingi, hiyo hali itakuwa inapungua kila umri unaposogea
Unamjaza mwenzako ujinga hii hali inatokana na mtu kutokuishi kwa mahesabu tu hakuna cha nguvu nyingi wala nini,ni kujiendekeza.

Kawaida ya watu dizain hii utamkuta amepanga chumba na sebule,amening’iniza flat ukutani ana sabufa seapiano lake dressing table ya mkewe kitanda kimtungi kidogo cha gas anaona sasa maisha amemaliza ale starehe,hizo 50K anazotupa kwenye lodges na kuhonga hao malaya angekuwa mtu wa hesabu angewaza cha kufanya na hizo pesa kitakachomsaidia miaka 20 ijayo.
 
Umeeleza vyema sana. Ubarikiwe
 
HV kuwaona madanga tele gram nafanyaje. Mnk nasiki tu madanga yamo umo Ila mm cwaoni
 
Nipo nasubiri comment Yako nyingine
Hahahahaha unazipenda comments zangu ehh[emoji4] G recognise G, nawaza tu nimwambiaje nini tena maana kumshauri mtu aliekua addicted na kitu fulani kumbadilisha itachukua muda na sio siku moja tu[emoji3526]
 


Duga Maforoni!

Ukadyelwaze ?!
 
Na uchakalamu wangu wote sijawahi kupiga threesome sijui ntakuja kusimulia Nini!! Ila Kuna huyu mwanamke wamgu kasema siku tutalala na rafiki yake kitamda kimoja na ataongea nae nipige Ila kanipa sharti nianzie kwako kwanza
 
Moja/mosi

Kabla sijaanza kuandika, wanawake 200 ni wachache saaana... Umejitahidi kucontrol speed yako, endelea na uo moyo mzee.

Mbili/pili
Yoote hayo sawa tu katika lika lako porn tu ndio achana nayo na ukumbuke kuchukua tahadhar juu ya magonjwa,

Tatu
Wengi humu ndio wapo hvyo.. unachoshauriwa sicho wanachokiishi, tunafanana tu tabia... We endelea kuruka now, Mungu kakupangia hvyo ana kusudi lake...

Mi nilikuwa nakula saana kaya nikajifanya kupingana na Mungu nikaacha kaya, aiaee nilijuta akili ya kaya yoote ilihamia kwenye nyuchi... Nina miaka 30 now nimebamiza nyuchi 1200+ na naendelea hadi nimeamua kurudi kwenye kaya...

We endelea tu kuna kitu Mungu anakuzuia kupitia unayoyafanya
 
Ikiwezekana aende Milembe Hospital Dodoma
 
Unasumbuliwa na Hypersexuality,
Nenda Muhimbili, wataalam watakupa dawa utakua sawa kabisa
 
Kwa nini lazima iwe TAG we nae? We mwambie amrudie MUNGU basi, MUNGU yupo popote na si TAG pekee, punguzeni mihemko ya kimadhehebu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…