Msaada: Nina Mke ila nimekuwa mtu wa kupenda ngono sana hadi nanunua wadada na kupiga punyeto

Acha kuangalia picha za uchi,fanya mazoezi ili kujiweka bize
 
Mkuu hilo suala jambo ni spiritual zaidi , huwezi kulitatua kimwili/flesh uko attached na roho/pepo wachafu wa kingono ambao hawawezi kukuachia kwa namna ya kimwili, ila tafuta namna ya kusurender maisha yako kwa Mungu, utubu na ujisalimishe , fanya ibada mara kwa mara , funga kwa maombi, mshirikishe mkeo, utaweza kulishinda hilo, nakuambia hivi mimi pia nishawahi kupitia hali kama hiyo,
Pole sana, na Mungu akusimamie
 
Kumbuka pia tunaishi mara moja, usipofurahia hapa duniani, unataka ufurahie mbinguni?
 
Nilipoona maelezo yako mengi nikajua labda umejaribu kumpa suluhu ya changamoto zake kumbe wewe pia umeishia kunilalamikia tu. Man up ndugu.
Walau mimi nilimuonesha kuwa tatizo lake ni nini.

So isiwe vita ...
Hakuna namna ya mwanaume kumpenda tena mwanaume akishazingua. Yanabaki mazoea tu
 
Kumbuka pia tunaishi mara moja, usipofurahia hapa duniani, unataka ufurahie mbinguni?
Siijui circle ya maisha yako unakutanaga na watu wa aina gani kila siku ila nikuulize!

Umewahi kukutana na mtu mzima mzee above 55 anayekaa kwenye nyumba ya kupanga huku hana kipato cha uhakika akakushirikisha jinsi alivyo na maisha magumu?huyu nae alikuwa na mawazo haya haya nifurahi leo maana kesho siijui mbona fulani kafa na 37yrs mimi huo uzee utanikuta saa ngapi!

In reality wote tunaishi kwa kubahatisha so matokeo yoyote ukifa kijana ulikuwa unapambana kujiandalia uzeeni ukiwa na maisha magumu uzeeni hukujiandalia ujanani na hii ni karata moja nyepesi sana tunapaswa kuielewa.
 
Uko sahihi, hivi vitu vinaendana na mipangilio ya mapato na matumizi;Kama ameipangilia vizuri, hakuna shida.
 
Mnadanganya tu hata mtu ukiwa busy kiasi gani ngono ukiindekeza inakutawala sana haijalishi muda
Ubusy haukufanyi kushindwa kufanya kile akili imedhamilia we have time for things we want to do and inversely
 
hutu atakuwa wa Kijiru au mayomboni, au jesani, au mbuluni
 
Kinachokutesa mkuu ni ndoto , kama ulikua muangaliaji sana wa video za ngono zinatabia za kutengeneza ndoto ( fantacy ) za kila aina . Ushauri wangu boresha mazingila ya kufanyia tendo wewe na mpenzi wako sio kila siku nyumbani nendeni mazingira tofauti tofauti alafu hakikisha unampa pesa ya kununua silaha za maangamizi ( nguo na vifaa vya kuongeza mvuto na manukato ) alafu uwe unamsikiliza kama unavyowasikiliza unawanunua kifupi uko sawa kabisa wala hujalogwa
 
Bila shaka Ushapata mwongozo mkuu!
pole sana
 
Pepo
 
Kwanza mfahamishe mkeo hilo tatizo lako huyo ni doctor mzuri sn anza nae huyo...mueleze kilakitu usimfiche hatachembe.
 
Pole sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…