Msaada,nina mtoto mmoja ila kwa sasa kila nikishika ujauzito unatoka.

BALAGASHIA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
392
Reaction score
383
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,naombeni msaada wa ushauri au hata tiba ninaimani hapa kuna watu wenye ujuzi na wataalamu wa masuala haya hivyo naombeni msaada.
 
Kama kichwa cha HABARI kinavyojieleza,naombeni msaada wa ushauri au hata Tiba.Ninaimani na jmii forum ina watu wenye ujuzi na wataalam wa masuala haya hivyo naombeni msaada.
Umeshawahi kuchek kundi lako la damu?
 
Basi kutakuwa na tatizo linalohitaji uchunguzi katika via vyako vya uzazi. Ni vizuri ukawaona wataalam wa magonjwa ya akina mama.
Asante kwa ushauri itabidi nilifuatilie,maana zimeshaharibika mimba 3.na mwanangu wa sasa ana miaka 5
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kama kichwa cha HABARI kinavyojieleza,naombeni msaada wa ushauri au hata Tiba.Ninaimani na jmii forum ina watu wenye ujuzi na wataalam wa masuala haya hivyo naombeni msaada.

Wanaokujaza hizo Mimba ni Mwanaume wako huyo huyo au labda ni ' Njemba ' tofauti tofauti nikimaanisha Mahawara tu?
 
Kama kichwa cha HABARI kinavyojieleza,naombeni msaada wa ushauri au hata Tiba.Ninaimani na jmii forum ina watu wenye ujuzi na wataalam wa masuala haya hivyo naombeni msaada.
Anzia hapa, nenda na mumeo kwa specialist wa magonjwa ya wanawake....mpime group zenu za damu, from there Dr atawashauri cha kufanya
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kama kichwa cha HABARI kinavyojieleza,naombeni msaada wa ushauri au hata Tiba.Ninaimani na jmii forum ina watu wenye ujuzi na wataalam wa masuala haya hivyo naombeni msaada.
Una Group gani la Damu na Mmeo ana group gani la Damu? Kama Wewe ni O negative na Mmeo ni O Positive .. je Ulichomwa Sindano ya Ant D ?
 
Back
Top Bottom