BALAGASHIA
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 392
- 383
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,naombeni msaada wa ushauri au hata tiba ninaimani hapa kuna watu wenye ujuzi na wataalamu wa masuala haya hivyo naombeni msaada.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa ushauri maana imekuwa changamoto kubwa sana.Sina uzoefu wa mambo ya gynaecology lakini ninaona private hospitals wenye matatizo kama yako wanapewa bed rest kwa muda mrefu sana
Umeshawahi kuchek kundi lako la damu?Kama kichwa cha HABARI kinavyojieleza,naombeni msaada wa ushauri au hata Tiba.Ninaimani na jmii forum ina watu wenye ujuzi na wataalam wa masuala haya hivyo naombeni msaada.
Mme wangu ana AB+Mimi nina A+Umeshawahi kuchek kundi lako la damu?
Basi kutakuwa na tatizo linalohitaji uchunguzi katika via vyako vya uzazi. Ni vizuri ukawaona wataalam wa magonjwa ya akina mama.Mme wangu ana AB+Mimi nina A+
Asante kwa ushauri itabidi nilifuatilie,maana zimeshaharibika mimba 3.na mwanangu wa sasa ana miaka 5Basi kutakuwa na tatizo linalohitaji uchunguzi katika via vyako vya uzazi. Ni vizuri ukawaona wataalam wa magonjwa ya akina mama.
Fata huu ushauriSina uzoefu wa mambo ya gynaecology lakini ninaona private hospitals wenye matatizo kama yako wanapewa bed rest kwa muda mrefu sana
Pole sana. Mungu akutie nguvu imani yangu utapona tu tatizo lakoAsante kwa ushauri itabidi nilifuatilie,maana zimeshaharibika mimba 3.na mwanangu wa sasa ana miaka 5
Kama kichwa cha HABARI kinavyojieleza,naombeni msaada wa ushauri au hata Tiba.Ninaimani na jmii forum ina watu wenye ujuzi na wataalam wa masuala haya hivyo naombeni msaada.
NdioHuyo mtoto wa kwanza, baba yake ndiye huyo huyo unayetafuta naye mtoto wa pili?
Wa kwanza ulikuwa na miezi 3Ujauzito huwa unatoka ukiwa na miezi mingapi mkuu???
Ntajitahidi kuuzingatiaFata huu ushauri
Nina Mme mmoja tu wa ndoa.Wanaokujaza hizo Mimba ni Mwanaume wako huyo huyo au labda ni ' Njemba ' tofauti tofauti nikimaanisha Mahawara tu?
Nina Mme mmoja tu wa ndoa.
Sijaelewa ulichomaanisha?Hana labda ushirikiano wa kupenda kupiga ' Punyeto ' mara kwa mara?
Anzia hapa, nenda na mumeo kwa specialist wa magonjwa ya wanawake....mpime group zenu za damu, from there Dr atawashauri cha kufanyaKama kichwa cha HABARI kinavyojieleza,naombeni msaada wa ushauri au hata Tiba.Ninaimani na jmii forum ina watu wenye ujuzi na wataalam wa masuala haya hivyo naombeni msaada.
Una Group gani la Damu na Mmeo ana group gani la Damu? Kama Wewe ni O negative na Mmeo ni O Positive .. je Ulichomwa Sindano ya Ant D ?Kama kichwa cha HABARI kinavyojieleza,naombeni msaada wa ushauri au hata Tiba.Ninaimani na jmii forum ina watu wenye ujuzi na wataalam wa masuala haya hivyo naombeni msaada.