KANYAMA
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 1,514
- 2,325
Yeah mwanzoni utapata craving kiasi na kama kupungukiwa nguvu hivi unakuwa kama unalegea kama siku mbili hivi. Ila matokeo ni ya ajabu hasaSafi sana mkuu , Huwa nawashangaa watu wanamcheka Dr Janabi eti wanashindwa kuacha kula sukari.
Sukari ya kiwandani ni Jini inasababisha matatizo mengi sana sana Kwa Binadamu ni vile watu tumeshaingia kwenye chain kutoka ni ngumu.
Mtu akiacha kula sukari ndani ya mwezi mmoja ataona mabadiriko mengi sana sana. Kubwa zaidi ukiacha sukari ni Moja ya njia za Anti-aging. Utaonekana kama hukui kumbe umri unaenda.
Leo unakuta mtu anakunywa soda Kila siku na keki na mavyakula mengine ya sukari. Mtu anakuwa na miaka 25 ila anaonekana kama ana miaka 60. Hatari sana!
Mimi tangu mwaka 2017 sijawahi kuweka sukari mdomoni kwangu! Sina kitambi.
Tangu mwaka 2017 sijawahi kunywa hata hiyo chai ya asubuhi sijui. Na nimeshasahau kama watu Huwa wanakula asubuhi.