Msaada: Nina presha 162/103 umri wangu miaka 33. Je, nianze dawa au nibadilishe lifestyle?

Yeah mwanzoni utapata craving kiasi na kama kupungukiwa nguvu hivi unakuwa kama unalegea kama siku mbili hivi. Ila matokeo ni ya ajabu hasa
 
Hcl iyo pole mkuu
 
Kinywaji chako ni Nini hasa Mkuu.... breakfast yako lunch Na dinner zikoje
Ninakunywa majani fulani ya kichina bila sukari. Yaani unajua sukari iko addictive kama cocaine. Ukiacha kutumia unasahahu kama ulikuwa unatia sukari kwenye chai.
Yaani sukari ni shetani mbaya ktk afya za watu wengi sana. Yaani presha, kisukari, magonjwa ya moyo sijui chanzo hasa kikubwa ni sukari ambayo ndio huwa inaleta shida hizi. Nilipomsikiliza huyo daktari nimeshea nanyi ndani ya mwezi mmoja sikuamini kabisa
 
Kwaio huli wali pilau Dona viazi
 
Wakuu habari zenu,

Kama nimevoandika hapo juu nimepima presha Leo na presha yangu ni kama hiyo nlioandika Ila sikuwahi kuwa na presha. Sasa wakuu ushauri wenu nianze dawa au nianze lishe ya kuacha wanga na sukari?
Pima zaidi ya mara moja kwa wakati tofauti tofauti ili kujiridhisha.
 
Hongera sana mkuu, mazoezi ni tiba
 
Sasa jitahidi uache na mafuta ya kupikia
Binafsi sukari nimefanikiwa Sasa Niko kwenye mafuta nadhani ni mwezi Sasa siandai chakula kwa mafuta
Yes naweza kupata pale napokula breakfast nje ya Ile nayoandaa Mimi ila situmii
 
Wakuu habari zenu,

Kama nimevoandika hapo juu nimepima presha Leo na presha yangu ni kama hiyo nlioandika Ila sikuwahi kuwa na presha. Sasa wakuu ushauri wenu nianze dawa au nianze lishe ya kuacha wanga na sukari?
Tumia kifo cha mende au mbuzi kagoma
 
Wakuu habari zenu,

Kama nimevoandika hapo juu nimepima presha Leo na presha yangu ni kama hiyo nlioandika Ila sikuwahi kuwa na presha. Sasa wakuu ushauri wenu nianze dawa au nianze lishe ya kuacha wanga na sukari?
Mkuu hili bandiko lako lilileta michango mingi yenye miongozo chanya kuhusu maradhi ya moyo.

Ni almost miaka mitatu sasa, vipi maendeleo yako?
Mrejesho tafadhali.
 
Wakuu habari zenu,

Kama nimevoandika hapo juu nimepima presha Leo na presha yangu ni kama hiyo nlioandika Ila sikuwahi kuwa na presha. Sasa wakuu ushauri wenu nianze dawa au nianze lishe ya kuacha wanga na sukari?
Hakikisha unaattend 'ambulatory clinic' kabla hujaanzishiwa dawa na dr wa moyo
 
Wakuu habari zenu,

Kama nimevoandika hapo juu nimepima presha Leo na presha yangu ni kama hiyo nlioandika Ila sikuwahi kuwa na presha. Sasa wakuu ushauri wenu nianze dawa au nianze lishe ya kuacha wanga na sukari?
Pima kama siku 5 mfululizo na u record somewhere, iwapo itakuwa juu kila wakati inabidi uanze dawa hakuna ujanja pia kubadili life style, pata ushauri kutoka kwa daktari
 
Kwa miaka 33 presha yake sio mbaya sana..better kubadili life style kwanzaa..!
 
Mkuu ebu nipe elimu kidogo, mbona tunaambiwa ikizidi tu 140 ni hatari.. Na wewe unasema sio mbaya kwa umri wake? Naomba ufafanuzi kidogo uhusiano wa hatari ya presha na umri wa mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…