Presha mara nyingi inatokana na kufail kwa System za kusukuma damu ukiweka Moyo na mifumo ya mishipa ya damu ambapo Chanzo kikubwa inaweza kuwa Level kubwa ya Cholesterol, stress,au damage ya viungo kama Figo pia. Inabdi kijana afanye vipimo kujua kwake chanzo ni nini haswa ndipo anaweza jitibia kwa usahihi.Mkuu ebu nipe elimu kidogo, mbona tunaambiwa ikizidi tu 140 ni hatari.. Na wewe unasema sio mbaya kwa umri wake? Naomba ufafanuzi kidogo uhusiano wa hatari ya presha na umri wa mtu.
Hukutumia dawa hata kidogo?? Na Je ilichukua muda gani kushuka?Ilifika 190/120, sukari 5
nilistuka sana.
Niliacha soda, juis, sukari, chumvi
sasa ni 130/89
Ila chai yangu ni ya majani ya mapera.
Fuata masharti utakuwa sawa. Dawa iwe last option.
Sikutumia dawa,Hukutumia dawa hata kidogo?? Na Je ilichukua muda gani kushuka?