Msaada: Nina presha 162/103 umri wangu miaka 33. Je, nianze dawa au nibadilishe lifestyle?

Msaada: Nina presha 162/103 umri wangu miaka 33. Je, nianze dawa au nibadilishe lifestyle?

Mkuu ebu nipe elimu kidogo, mbona tunaambiwa ikizidi tu 140 ni hatari.. Na wewe unasema sio mbaya kwa umri wake? Naomba ufafanuzi kidogo uhusiano wa hatari ya presha na umri wa mtu.
Presha mara nyingi inatokana na kufail kwa System za kusukuma damu ukiweka Moyo na mifumo ya mishipa ya damu ambapo Chanzo kikubwa inaweza kuwa Level kubwa ya Cholesterol, stress,au damage ya viungo kama Figo pia. Inabdi kijana afanye vipimo kujua kwake chanzo ni nini haswa ndipo anaweza jitibia kwa usahihi.
 
Duuu! Mbona hiyo ni hatari sana.Fanya mazoezi ya kutosha na uachane kabisa na lishe inayochochea hali hiyo.Presha inapokuwa kubwa sana inaweza kusababisha stroke wakati wowote.Kuwa makini sana.
 
Ilifika 190/120, sukari 5
nilistuka sana.

Niliacha soda, juis, sukari, chumvi

sasa ni 130/89

Ila chai yangu ni ya majani ya mapera.

Fuata masharti utakuwa sawa. Dawa iwe last option.
 
Ilifika 190/120, sukari 5
nilistuka sana.

Niliacha soda, juis, sukari, chumvi

sasa ni 130/89

Ila chai yangu ni ya majani ya mapera.

Fuata masharti utakuwa sawa. Dawa iwe last option.
Hukutumia dawa hata kidogo?? Na Je ilichukua muda gani kushuka?
 
wengi mnashauri mazoezi mtamuua uyo, aanze kwanza diet aache wanga ahamie kula protini, kama mwili mkubwa pia afanye na fasting ya matunda tena yasiyo na sukari nyingi. ukiacha wanga kabisa mbona unarudi safi kabisa.
kwa presha yako iyo ukianza na mazoezi dawa hunywi uta colapse sababu ukiwa unafanya mazoezi presha hua inaongezeka unaona wale watu wa gym wanaanguka gafla tu wakiwa mazoezini unadhani shida ni nini.
rekebisha diet mwana kwetu bia acha,soda acha, na vinono vingi achaa
 
Back
Top Bottom