Msaada: Nina tatizo la kutoa manii (ku-ejaculate) kila nipatwapo na hofu

Nakumbuka nilivokuwa A level kuna mdada alisahau waleti yake darasan me nikaichukua na kupekua nikakuta efu 30 mwili ulisisimka had nikamwaga wazungu
 
Kumbe tuko wengi eee..ila mimi ilinitokea skuli wakati wa pepa..zile dakika za majeruhi
 
hahahah polee sanaa mkuu umenikumbushaa form four Nectar ....kwenye prac ya chemistry kuna jamaa alitoaga manii
Hata mimi form four practical ya chemistry nilijipizia baada ya kutumia maji special kwajili ya kuchanganya chemical nikachukua ya kawaida nilipogundua ...[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Hizo ni athari za kisaikolojia unatakiwa tu uhakikishe unafanikiwa ktk haya

Kucontrol Anxiety
Kuavoid Fear
Kupunguza Stress

Hiyo itakusaidia sana kutomwaga hizo mbegu bila sex
 
Kumbe tuko wengi eee..ila mimi ilinitokea skuli wakati wa pepa..zile dakika za majeruhi
Sure mkuu hata Mimi nilikua napatwa na hiyo hali, pale msimamizi anaposema zimebak dk 10 afu unakuta ndo naanza swali la mwisho. Najiuliza niandika essay au nimention tu maana dk 10 haztosh hapo hapo wazungu wanatoka. Ila ni tatizo linaloisha maana Mimi nilikua nalo mwaka wa kwanza tu likaisha. Nadhani unavyopiga test nyingi kna hali flan ya uoga inaenda inapungua
 
Dogo wew unaonekana utakua na lita 1000 nakitu kama sikosei. sasa kwaushauri tafuta demu Uwe unapiga paipu ikiwezekana mara 5 kwa wiki. kumbuka kutumia kinga. laasivyo tutakuita baba kijacho. piga papuchi sana. hadi ziombe poo
 
Pole mwaya jaribu kwenda hospital umuelezee doctor huenda utapata ufumbuzi
Mie sidhani kama ni tatizo. mf mimi kwa sasa ni mzee wa 48. zamani ilikuwa inanitokea age ya sekondari nikiwa form three endapo nitaambiwa muda umeisha kwenye paper halafu naona ningekamilisha swali kwa dk lets say 1.5 basi nilikuwa nasimamisha na kupiz. Sidhani kama ni ugonjwa inaonyesha kuwa mishipa ya fahamu ni active na ina-associate na reproductive ogan.Tatizo liliisha kadiri nilivyo kua.So asiogope ki hivyo.
 
Swali la kizushi mkuu.. huko kupizi kuna kua kumeambatana na climax au ni out of the blue tuuu unashangaa pwaaaaah?
JIBU: unajisikia raha tu kama unavyopizi kwenye kifua cha ke. Mara nyingi inatokea udogoni maana production nayo ni kubwa na mwili ni sensitive!!
 
inatokea. mimi ni mzee 48. ilinitokea mwaka 1987 form three kwenye paper. ukishapanic ile kitu inasimama na ku ejaculate kwa raha ile ile unayoijua. Baada ya hapo ushaumia paper imekusanywa unaenda tu kufua boxer.(enzi zetu hatukuwa na boxer teh teh) Kwa watu aged kama mimi sidhani nadhani production inakuwa imepungua kiwandani.
 
Dogo, ni kawaida kupee hasa ktk mazingira fulani ya woga au kutojiamini.
Binafsi ilishawahi kunitokea wakati nafanya mtihani wa Biology Practical (NECTA) Form 4, miaka kadhaa imepita sasa.
Pamoja na hayo, naona tatizo lako ni peculiar. Jaribu kutafuta msaada wa kitabibu mapema.
 
Duu watu na bahat zenu bana, unapata uroda bila jashoo
 
Aisee. Huu uzi umenikumbusha mbali sana kipindi nipo form 4 tulikuwa tunapiga paper muda ukawa umeisha na cjafanya kitu, ile hofu ikanifanya nianze kujihisi nataka ku ejaculate then nikaejaculate, ilinifikirisha sana ila haijawah kutokea tena ktk maisha yangu.
Ushauri kwa mleta uzi, km unajiona kuwa unawoga/hofu fulani jitahidi kuuondoa yaan tune mind yako kukabiliana na sio kuogopa inaweza kukusaidia.
 
Hata ww sidhani mtu akisoma comment yako anaweza kuambulia kitu.
In level za kunavyochukulia mambo inatofautiana na ndo mana kuna mtu mwingine akipatwa na jambo la ghafla anafight, mwingine anaflight, mwingine ana pause then anafight kwaiyo na ww chukulia ni jambo la kujifunza sio unaanza kusema ooh sijui nyie vijana wa dot com!!
 
ondoa hofu mkuu, hiyo ni hali ya kawaida ni sawa na mtu anayejikojolea akiwa kwenye hatari. Hilo la kujikojolea ndotoni ni kutokana na wewe kutofanya mapenzi tu, ni sawa na ndoto nyevu, unaota unakojoa au unafanya mapenzi, ile kujizuia usikojoe unajikuta unapizi. Dawa ni kuepuka hiyo hofu, kama ni kwenye mtihani uwe unakuwa mtulivu na kuikubali hali kama paper ni ngumu.

 
Oky,, nashukuru
 
Dogo wew unaonekana utakua na lita 1000 nakitu kama sikosei. sasa kwaushauri tafuta demu Uwe unapiga paipu ikiwezekana mara 5 kwa wiki. kumbuka kutumia kinga. laasivyo tutakuita baba kijacho. piga papuchi sana. hadi ziombe poo
Mmmh,,, huu ushauri c mchezo, so ni bora tu nianze kugegedan co!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…