Msaada: Nina tatizo la kutoa manii (ku-ejaculate) kila nipatwapo na hofu

Una mchumba / wachumba..kwa wiki unapiga mara ngap? Em tuanzie apo
 
Asant mlabata kwa ushaur,,lkn kwa sas sual la kupiz kweny mtihan lishaish ttzo lililopo kubwa kwa sas ni ndoto,, yani nikiota ndoto mbaya tu lazima mamb yajipe
Aaaah! Kama ni kwenye ndoto, kawaida sana. Hapo inamaanisha ghala la Taifa limejaa na kuelemewa, shehena inatafta pa kutokea. Maana yake una gundi nyingi mno mkuu! Ila hongera sana, miaka 22 hujaona papuchi zenye visiki?!![emoji134] [emoji134]
 
Jambo hilo ni la kawaida sana, limenisikia kwa watu wengi hasa wakiwa katika mtanange wa kufanya mitihani kwa masomo magumu ya sayansi hasa kwa michepuo ya PCM na PCB.

Mimi pia imewahi kunitokea mara nyingi sana tangu nipo O-level na kuendelea, kupatwa na kitendo hicho ni hasa pale unapokuwa na hofu juu ya pepa unayoikabili wakati ikiwa ngumu sana, ndipo hofu ya kufeli somo hilo ikitanda na kushinikizwa na kutomaliza kujibu pepa yote huku muda ukiwa umekutupa mkono.
Kuizuia ndani ya chumba cha mtihani maarufu kama ''Room temprature" maana unaweza kukuta hali ya hewa ni baridi siku hiyo lakini ndani ukajihisi joto ni nyuzi 100 celcius na viganja vya mikono vikabubujikwa na jasho. Kuamini na fanya pepa kwa umakini na uwe na speed ambayo utamaliza kabla muda haujaisha ili upate muda wa kurudia makosa madogo madogo uliyoyafanya. Ukimaliza pepa huwezi kutokewa na hali hiyo.

kuhusu kutokewa ukiwa unaota hiyo ni hali ambayo pia ni common, kaa ujue kuwa sio kuejaculate hadi uote Unafanya tendo la ndoa tu, hata kuota ukiwa na hofu ya jambo fulani ambalo unaweza ukawa unaota ama unafukuzwa halafu unajikuta unashindwa kukimbia ili uepuke hilo jambo ndipo unaweza kuejaculate ndotoni.
 
Acha uzembe. Mwanaume kuwa bikra haipendezi.jaribu uone kama itajirudia

Nenda kwa mtaalam wa afya na psychology
 
Asante sana mkuu kwa ushauri wako,,, katika suala la mtihani icho kitu kiliisha na tangu nikifany mara ya kwanza nkiwa form four hakijawai kujirudia ,,ila ni izo ndoto tu ndio tatiz!!
 
Aaaah! Kama ni kwenye ndoto, kawaida sana. Hapo inamaanisha ghala la Taifa limejaa na kuelemewa, shehena inatafta pa kutokea. Maana yake una gundi nyingi mno mkuu! Ila hongera sana, miaka 22 hujaona papuchi zenye visiki?!![emoji134] [emoji134]
mkuu Mpenda arage,,, nipe ushaur wako coz ni wa muhimu sana,, kutofany kwang mapenz uki consider na umri wangu kwan nimkosea?
 
Ishawahi kunitokea ila nakumbuka ilikuwa zaidi pale nilipokuwa na umri mdogo around 20's ilikata kadri muda ulivyozidi kuongezeka na haikuwa ikitokea Mara kwa Mara but Mara nyingi ilikuwa shule due to hofu ya paper.
 
Hyo manii inazalishwa kila siku katika mwil wako, na inatakiwa itoke . Mwil automatic unatafuta njia ya kuzitoa hzo manii. Sasa ni maamuz yako kuusaidia Mwil wako, ila maamuz yako ndio matokeo yako ya kesho.
 
Kina Dada Fursa hiyo Kijana Bikra huyo changamkieni Fursa

Muone Docta
 
Ata mimi hiyo hali unitokea nikiwa kwenye paper ata mwezi uliopita ilinitokea
 
mkuu Mpenda arage,,, nipe ushaur wako coz ni wa muhimu sana,, kutofany kwang mapenz uki consider na umri wangu kwan nimkosea?
Hujakosea, ila kukaa muda mrefu inaonyesha ndio sababu. Kama unaweza vumilia hadi ndoa, au jichoshe kwa mazoezi ulale. Kesi kama yako iliwahi kunitokea lakini sio kwa kasi kama yako, sababu na mimi nlichelewa kugegeda. Nilianza kufanya ngono nikiwa na miaka 24![emoji4] [emoji4] Na ilichochangia ni uoga! Nikiwa na miaka 8 darasa la kwanza, bi mkubwa alinifuma nikitaka kumgegeda mtoto wa jirani na kigovinda changu! Ile nahangaika kuingiza tu, maza huyo kafungua mlango karudi kutoka sokoni!![emoji15] [emoji15] nlikuwa nimekosea kukadiria masaa!![emoji125] [emoji125] Hizo mboko nilizokula, sitazisahau!! Kwahiyo nikajikuta hadi nakua, naogopa kuduu, nahisi maza atajua! Kwahiyo kucheka na usiku ikabidi nikuweke kwenye ratiba zangu. Nilipoanza kujitegemea, ndio nikaanza kufanya miamala ya hawa wadudu watamu. Kwahiyo chaguo ni lako mkuu.
 
shukuran sana mkuu kwa wazo lako la kujenga…!!!
 
Usijali mkuu hauna tatzo uko sawa hilo kutokea ni kawaida na kila mtu akipata hofu hupatwa na tukio la aina tofaut na mwingne wapo wanaotokwa jasho hata kwny barid wapo wanaokojoa mkojo wa kawaida wapo wanaoharisha na tumbo kuumwa mixer kujamba kwing so kwa upande wako jitahid kutawala hiyo hofu hiyo hali haitatokea tena
 
Tafuta dem jamaaa mana ayo nimateso bila chuki boy
 
Back
Top Bottom