Msaada: Nina tatizo la Thyroids, nguvu za kiume zimepotea kabisa sina hamu ya kufanya mapenzi

Dawa ni carbimazole hapo,maana thyroid hormone zinatengenezwa nyingi sana.Level ya t3 ikiwa nyingi maana ake una hyperthyroidism,so its better utumie carbimazole.
 
Dawa ni carbimazole hapo,maana thyroid hormone zinatengenezwa nyingi sana.Level ya t3 ikiwa nyingi maana ake una hyperthyroidism,so its better utumie carbimazole.
Hivi carbimazole inamaliza kabisa tatizo la hyperthyroidsm
 
Dawa ni carbimazole hapo,maana thyroid hormone zinatengenezwa nyingi sana.Level ya t3 ikiwa nyingi maana ake una hyperthyroidism,so its better utumie carbimazole.
Mkuu hivi carbimazole inamaliza kabisa tatizo la hyperthyroidsm?
 
Hivi carbimazole inamaliza kabisa tatizo la hyperthyroidsm
Inategemea na mtu,baadhi huwa inamaliza kabisa tatiizo na kuweka vizur level ya thyroid hormone kwanzia miez 12 hadi 18.Ikipita hiyo miezi bas ujue tatizo lako ni worse ,kuna watu wanatumia izo dawa for the rest of their life.Chamsingi fata dozi then baada ya huo muda nenda kapime tena level ya hormone zako.
 
Na thyroids noddles huwa zinapotea kweli?
 
Jitahidi Kila siku usikose kula kitunguu saumu na mtindi usiku japo punje 4.Ila ukiweza kukabiliana na kuzuiya mawazo kuhusu hiyo Hali basi utakuwa ushapona.
 
Na thyroids noddles huwa zinapotea kweli?
Mara nyingi huwa hazipotei,zinahitaji treatment yake tena ambayo ni kutumia radioactive iodine either itakua kwenye mfumo wa vidonge au kama maji(hapo umconsult doctor wako),ambayo huchukua miezi miwili hadi mitatu.Ikishindikana hapo bas itabd ufanye surgery,lakn kama hnoddles hazikui sio lazima kufanya surgery.
 
Jitahidi Kila siku usikose kula kitunguu saumu na mtindi usiku japo punje 4.Ila ukiweza kukabiliana na kuzuiya mawazo kuhusu hiyo Hali basi utakuwa ushapona.
Mkuu tatizo langu limetokana na thyroids Sasa kitunguu swaumu kitibu thyroids
 
Hivi kazi ya Radioactive iodine nikufanyaje
 
Surgery ya kufanyaje kuitoa thyroids au vip je mgonjwa wa thyroids anaruhusiwa kula samaki na mayai
 
Surgery ya kuzitoa nodules,samaki na mayai unakula tu hazina madhara
Mkuu nilirudi pima Tena mwezi wa pili hormones zikawa level lakini still Bado nina tatizo la nguvu zakiume nakukosa libido hivi suluhisho lake nin hasa kwa uzoefu wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…