Msaada, Nina tatizo la uoga uliopitiliza

Ndugu wapendwa mimi ni kijana wa miaka 22. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nasumbuliwa sana na tatazo la uoga tena uliopitiliza.
Katika kipindi chote ambacho nimeishi hapa duniani nimeishi maisha ya taabu sana kwa sababu ya hali yangu hii. Mfano tangu npo shule ya msingi hata kama jibu nalijua nikitaka kunyoosha tu mkono ghafla ntaanza kutetemeka bila hata sababu. Natetemeka sana mapigo ya moyo huenda mbio na hujisikia aibu kali sana. Niki pointiwa na mwalimu au mtu yeyote kutoa hoja mbele za watu naweza hata kuzimia kwa mshtuko wa uoga

Pia hata kama nasafiri nikikiribia tu kufika stendi najikuta naingiwa na uoga mkubwa sana. Kwenye suala la kutongoza sasa ndio usiseme huwezi amini mpaka umri wangu huu sijawahi kuwa na mpenzi kabisa.
Nimekuwa sijiamini hata kama natembea najishtukia sana. Naogopa Ku socialize iwe
kwenye sherehe, msiba au shughuli yoyote ya kijamii. Nimekuwa nashinda ndani sitaki kabisa kuchanganyikana na jamii.

Wakuu hali hii imenepotezea confidence kabisa na imenifanya niwe na mawazo mabaya kabisa sababu huu ni ujinga mtoto wa kiume kabisa ila naishi kama demu

Kwa hiyo basi nimekuja kwenu kuwaomba msaada hasa wa kimatibabu maana naamini humu wapo wengi wenye uelewa na tatizo hili. Karibuni!!.
Msaada wa haraka hapo kajiue tu maana nyinyi ndio mizigo kwenye nchi na baadae mnakuwa mashoga
 
Mimi imenitokea hiyo ya kuogopa girl kukiwa na girl yoyote jirani confidence inaisha kabisaa hadi nimemaliza form four ilikuwa ni tabu tupu .

Baadae ndo nikawa na marafiki wakawa wananicheka sana sema ndo nikawaelezea nina shida hiyo ya kukosa confidence nikiwa na girls sasa hapo ndo ile tukienda misele wanaweza wakamuita girl yoyote then wanaondoka nabaki nahangaika baadae wananicheka nikawa naumia kinoma. Ikaendelea hivo hivo baadae nikawa naweza kuongea mbele ya girl yoyote bila shida yoyote.

Kwa hiyo kupitia kujichanganya na marafiki ilinisaidia pia usiogope kuchekwa. Ssa hivi pisi siziogopi wala nini😂😂
 
Kwanza unatakiwa ujue hakuna binadamu asie na hofu, tunachotofautiana ni jinsi tunavyokabiliana nayo.

Dawa ya tatizo lako ni kufanya vile vitu unavyoviogopa bila kujali matokeo yake, kama unaogopa mademu we tongoza tu bila kujali utakataliwa au kukubaliwa with time utaimprove.

Huwezi kuondoa hofu zote kwa wakati mmoja, anza na zile ambazo zinaathari kubwa kwenye mambo yako.

The only way to overcome fear is to face it.
Feel the fear and do it anyway.
 
Pole sana mdogo wangu.

Khali yako imesababishwa na vifuatavyo:-
1. Umelelewa na walezi (Na sio wazazi wako), na katika malezi yako haukuwa ukipatiwa kipaumbele katika kufanya mambo/Ulikuwa ukitengwa kwa asilimia kubwa. Familia za aina hii wazazi na watoto wao (wa kuwazaa) wakitoka kwenye shughuli shughuli huko wale watoto wanaolelewa wanabaki kama walinzi wa nyumba. Kiufupi haukuzingatiwa, hali inayokutesa mpaka sasa. Unajihisi sio mtu kati ya watu[emoji22].

2. Ulilelewa na wazazi wako kibabe kibabe/Mmoja wao.
Furaha yako ilikuwa wasipokuwepo nyumbani, wakirudi tu nyumbani unajiona upo kifungoni.

Hawa ndo wale wakisikia tu sauti ya mzazi wanayemuogopa wanapoteana.

Najua una rafiki, anza taratibu kuchangamana nae, bila shaka yeye si kama wewe. Anza kujitengenezea ujasiri kidogo kidogo hiyo hali itaanza kuondoka ingawa itachukua muda mrefu.
 
Njoo geto nikupime homoni zako au punguza kutumia dawa za meno

Wakati wakupiga mswaki tumia MKAa
 
Ndugu wapendwa mimi ni kijana wa miaka 22. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nasumbuliwa sana na tatazo la uoga tena uliopitiliza.
Katika kipindi chote ambacho nimeishi hapa duniani nimeishi maisha ya taabu sana kwa sababu ya hali yangu hii. Mfano tangu npo shule ya msingi hata kama jibu nalijua nikitaka kunyoosha tu mkono ghafla ntaanza kutetemeka bila hata sababu. Natetemeka sana mapigo ya moyo huenda mbio na hujisikia aibu kali sana. Niki pointiwa na mwalimu au mtu yeyote kutoa hoja mbele za watu naweza hata kuzimia kwa mshtuko wa uoga

Pia hata kama nasafiri nikikiribia tu kufika stendi najikuta naingiwa na uoga mkubwa sana. Kwenye suala la kutongoza sasa ndio usiseme huwezi amini mpaka umri wangu huu sijawahi kuwa na mpenzi kabisa.
Nimekuwa sijiamini hata kama natembea najishtukia sana. Naogopa Ku socialize iwe
kwenye sherehe, msiba au shughuli yoyote ya kijamii. Nimekuwa nashinda ndani sitaki kabisa kuchanganyikana na jamii.

Wakuu hali hii imenepotezea confidence kabisa na imenifanya niwe na mawazo mabaya kabisa sababu huu ni ujinga mtoto wa kiume kabisa ila naishi kama demu

Kwa hiyo basi nimekuja kwenu kuwaomba msaada hasa wa kimatibabu maana naamini humu wapo wengi wenye uelewa na tatizo hili. Karibuni!!.
Pole saana kijana wa miaka 22,, chukua hatua sasa,,,litaisha tu
 
Mbona bado hujasema mkuu.

Mimi nilikua kama wewe, mimi ni upole uliopitiliza (upole na uoga haviachani sana) ishu ikaja kwenye kazi niliyopata ilikua inahitaji sana uongeaji na ushawishi.

Kama bado unasoma, anza kujichanganya mkuu.
 
Ndugu wapendwa mimi ni kijana wa miaka 22. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nasumbuliwa sana na tatazo la uoga tena uliopitiliza.
Katika kipindi chote ambacho nimeishi hapa duniani nimeishi maisha ya taabu sana kwa sababu ya hali yangu hii. Mfano tangu npo shule ya msingi hata kama jibu nalijua nikitaka kunyoosha tu mkono ghafla ntaanza kutetemeka bila hata sababu. Natetemeka sana mapigo ya moyo huenda mbio na hujisikia aibu kali sana. Niki pointiwa na mwalimu au mtu yeyote kutoa hoja mbele za watu naweza hata kuzimia kwa mshtuko wa uoga

Pia hata kama nasafiri nikikiribia tu kufika stendi najikuta naingiwa na uoga mkubwa sana. Kwenye suala la kutongoza sasa ndio usiseme huwezi amini mpaka umri wangu huu sijawahi kuwa na mpenzi kabisa.
Nimekuwa sijiamini hata kama natembea najishtukia sana. Naogopa Ku socialize iwe
kwenye sherehe, msiba au shughuli yoyote ya kijamii. Nimekuwa nashinda ndani sitaki kabisa kuchanganyikana na jamii.

Wakuu hali hii imenepotezea confidence kabisa na imenifanya niwe na mawazo mabaya kabisa sababu huu ni ujinga mtoto wa kiume kabisa ila naishi kama demu

Kwa hiyo basi nimekuja kwenu kuwaomba msaada hasa wa kimatibabu maana naamini humu wapo wengi wenye uelewa na tatizo hili. Karibuni!!.
Anza kuvuta bangi
 
Tatizo ni walezi wako walikuwa wanakukalipia au kukulea ile kimwenyewe mwenyewe, pia hutokea pale mwanaume anapopungukiwa homoni ya kiume...
Mbona watoto wa kike wengi wanajiamini kupita wanaume wakati wana homoni nyingi za kike?
 
Hili swali mwenyew najiulizaga

Nahisi sababu ni kuwa
Watoto wa kike wanapewa thamani tangu wakiwa wadogo, Yani wanashobokewa, wanasifiwa sifiwa, uzuri wanatongozwa nk. Hii ndo inawapa confidence na kujiamini.

Lakini mtoto wa kiume hawezi kusifiwa na wanawake yye ndo anatakiwa awatafute awasifu.
Kwahyo mwanaume asipojikubali na kujitengenezea confidence hakuna atakayemkubali na kumjengea confidence.
 
Ndugu wapendwa mimi ni kijana wa miaka 22. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nasumbuliwa sana na tatazo la uoga tena uliopitiliza.
Katika kipindi chote ambacho nimeishi hapa duniani nimeishi maisha ya taabu sana kwa sababu ya hali yangu hii. Mfano tangu npo shule ya msingi hata kama jibu nalijua nikitaka kunyoosha tu mkono ghafla ntaanza kutetemeka bila hata sababu. Natetemeka sana mapigo ya moyo huenda mbio na hujisikia aibu kali sana. Niki pointiwa na mwalimu au mtu yeyote kutoa hoja mbele za watu naweza hata kuzimia kwa mshtuko wa uoga

Pia hata kama nasafiri nikikiribia tu kufika stendi najikuta naingiwa na uoga mkubwa sana. Kwenye suala la kutongoza sasa ndio usiseme huwezi amini mpaka umri wangu huu sijawahi kuwa na mpenzi kabisa.
Nimekuwa sijiamini hata kama natembea najishtukia sana. Naogopa Ku socialize iwe
kwenye sherehe, msiba au shughuli yoyote ya kijamii. Nimekuwa nashinda ndani sitaki kabisa kuchanganyikana na jamii.

Wakuu hali hii imenepotezea confidence kabisa na imenifanya niwe na mawazo mabaya kabisa sababu huu ni ujinga mtoto wa kiume kabisa ila naishi kama demu

Kwa hiyo basi nimekuja kwenu kuwaomba msaada hasa wa kimatibabu maana naamini humu wapo wengi wenye uelewa na tatizo hili. Karibuni!!.
Anxiety ni ugonjwa kabisa ....nenda hospital kuna dawa watakupa .....utatumia zitakusaidiaa...shida kwenye ubongo......nacho hicho ni kichaa cha aina yake....
 
Kwanza unatakiwa ujue hakuna binadamu asie na hofu, tunachotofautiana ni jinsi tunavyokabiliana nayo.

Dawa ya tatizo lako ni kufanya vile vitu unavyoviogopa bila kujali matokeo yake, kama unaogopa mademu we tongoza tu bila kujali utakataliwa au kukubaliwa with time utaimprove.

Huwezi kuondoa hofu zote kwa wakati mmoja, anza na zile ambazo zinaathari kubwa kwenye mambo yako.

The only way to overcome fear is to face it.
Feel the fear and do it anyway.
Asante sana ndugu
 
Back
Top Bottom