ndugu zangu nina tatizo la vidude vimenitoka kwenye uume, awali nilikua nikifanya mapenzi na mpenzi wangu nachubuka kwenye shina la uume imeendelea kua hvyo kwa muda....kwa sasa nipo mbali na mpnzi wngu sasa zile sehemu nliokua nachubuka ndo kumetokea vipele ambavyo ni vigumu yaani nikivitumbua vinatoa damu nyingi. ni tatizo jamani