Msaada: Nina vipele kwenye nyeti zangu

Msaada: Nina vipele kwenye nyeti zangu

mdalla 1

Senior Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
120
Reaction score
20
Ndugu zangu,

Nina tatizo la vidude vimenitoka kwenye uume, awali nilikuwa nikifanya mapenzi na mpenzi wangu nachubuka kwenye shina la uume imeendelea kuwa hivyo kwa muda.

Kwa sasa nipo mbali na mpenzi wangu sasa zile sehemu nilizokuwa nachubuka ndio kumetokea vipele ambavyo ni vigumu yaani nikivitumbua vinatoa damu nyingi.

Nini tatizo jamani?
 
hizo ni chunusi za kwenye mbo
 
ndugu zangu nina tatizo la vidude vimenitoka kwenye uume, awali nilikua nikifanya mapenzi na mpenzi wangu nachubuka kwenye shina la uume imeendelea kua hvyo kwa muda....kwa sasa nipo mbali na mpnzi wngu sasa zile sehemu nliokua nachubuka ndo kumetokea vipele ambavyo ni vigumu yaani nikivitumbua vinatoa damu nyingi. ni tatizo jamani

we ulivyokuwa unabambia mizigo kama hii ulitarajia nini?
 
Attachments

  • 989.jpg
    989.jpg
    20.6 KB · Views: 502
  • 10557422_912886858727892_9183285972472523492_n.jpg
    10557422_912886858727892_9183285972472523492_n.jpg
    44.4 KB · Views: 600
  • b.jpg
    b.jpg
    7.7 KB · Views: 489
Hakuna mwenye jibu hapo. Ila tatizo lako linaonekana ni complicated sio la kulimezea mate tu unapaswa uwahi hospitali upate ushauri wa kidaktari.
 
Magonjwa ya zinaa hayo kaka nenda kapime damu lazima utakutwa na na VDRL yaani magonjwa ya zinaa
 
Inategemea kama vinauma au haviumi. Kama haviumi basi google 'genital warts' usome dalili zake yawezekana ukawa una ugonjwa huo.
 
Inategemea kama vinauma au haviumi. Kama haviumi basi google 'genital warts' usome dalili zake yawezekana ukawa una ugonjwa huo.

haviumi kabisa na viko kama sugu flani hv....nna kama 2 months ninavyo ila haviongezeki wa kupungua.
 
Magonjwa ya zinaa hayo kaka nenda kapime damu lazima utakutwa na na VDRL yaani magonjwa ya zinaa

damu nishapima nko safi... sa sielewi ni kitu gani japo chanzo kilikua ni michubuko wakati wa kujamiiana.
 
Hakuna mwenye jibu hapo. Ila tatizo lako linaonekana ni complicated sio la kulimezea mate tu unapaswa uwahi hospitali upate ushauri wa kidaktari.

thanx ndugu.
 
Chukua Kitunguu saumu,kitwange halafu yale maji yake paka kwenye hivo vipele,fanya hivyo siku kadhaa vitakauka kabisa.
 
Back
Top Bottom