Onyix
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 682
- 793
Sio mkongoraa kweliii
Nadhani ndo hyo nimeisahau jina ntaipiga picha niipost
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio mkongoraa kweliii
Nadhani ndo hyo nimeisahau jina ntaipiga picha niipost
Mkuu hayo mambo inaweza ikazima mazima!mpira habari nyingine ,mi chama langu likidundwa natafuta kona yangu kitandani kulala waifu naye ya kwake no hamu at all!Mimi hasa bao la kwanza nikiona kwa mbali linakuja then nahamisha akili Yangu kabisa naipeleka kwenye kitu ambacho hakihusiani kabisa na tukio lile kama mechi ya mpira ambayo timu Yangu imefungwa...au tukio lolote tu basi hapo naweza kwenda hata dakika 20 kwa style hiyo
Big like!!! Uko sahihi!!Mimi hasa bao la kwanza nikiona kwa mbali linakuja then nahamisha akili Yangu kabisa naipeleka kwenye kitu ambacho hakihusiani kabisa na tukio lile kama mechi ya mpira ambayo timu Yangu imefungwa...au tukio lolote tu basi hapo naweza kwenda hata dakika 20 kwa style hiyo