Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Pole sana mkuuChangamoto hii imesababisha oper kughairishwa, so any info will be appreciated.
Mgonjwa ni a positive.
nashukuru Sana mkuuPole sana mkuu
Nilizani mgonjwa ni NEGATIVE ili nimchangie..Changamoto hii imesababisha oper kughairishwa, so any info will be appreciated.
Mgonjwa ni a positive.
-ve anamchangia +veNilizani mgonjwa ni NEGATIVE ili nimchangie..
Hospitali si huwa wanakua nazo, ila ukipewa wewe ndio unairejesha kwa kuwaleta watu wanaojitolea damu? Au maelezo ya hospitali ni yapi mkuu?Changamoto hii imesababisha oper kughairishwa, so any info will be appreciated.
Mgonjwa ni a positive.
wao walisha toa chupa zaidi ya 5 mkuu, hospital pia ila shida inazidi mkuu.Umeandika issue serious ila umeattach hiyo meme inaonekana kama hauko serious.
Sijajua kama wanauza damu ila kwa uzoefu wangu mgonjwa wako watamuongezea damu baadae wanakwambia lete ndugu kadhaa waje kutoa damu.
A– anaweza kumchangia A+Nilizani mgonjwa ni NEGATIVE ili nimchangie..
hospital imesha toa chupa kadhaa ila bado ana ishiwa mkuu, haziwekwi kwa muda mmoja mkuu.Mkuu, damu hakuna sehemu inauzwa ,sio bidhaa ile. Kwani hiyo hospital anayofanyiwa wenyewe hawana damu ya kumuongezea? Na daktari amesema nini kuhusu huyo ishu ya damu? Halafu chupa 10 mkuu mbona ni nyingi sana, dokta ndo kakuambia atahitaji chupa 10? Hata wagonjwa wa kansa ya damu huwa hawawekewi chupa 10 mara moja
Nime jaribu mkuu, nasubiri mrejesho.Pole kaka. Umejaribu kuwacheki na wale msalaba mwekundu (wanaopita kuchangisha damu)
Kwa kufungua uzi nilizani anamtafuta -ve ili nichangie japo kdg-ve anamchangia +ve
Mwaka jana nlikuwa namhudumia mgonjwa pale Mwananyamala yule mgonjwa alipoteza damu nyingi sana baadae wakamuongezea, mwisho wa siku nkaambiwa nilete watu kadhaa watoe damu kufidia simple tu.wao walisha toa chupa zaidi ya 5 mkuu, hospital pia ila shida inazidi mkuu.
Hizo chupa zaidi ya tano walizokupa ulilipia?wao walisha toa chupa zaidi ya 5 mkuu, hospital pia ila shida inazidi mkuu.