SILLENT KILLER 2
JF-Expert Member
- Jun 12, 2024
- 881
- 1,720
Tuwaulize wazee waliosoma kipengele cha rhesus factor Kiranga secretarybirdA– anaweza kumchangia A+
Tuwaulize wazee waliosoma kipengele cha rhesus factor Kiranga secretarybirdA– anaweza kumchangia A+
Poleni,ila wenyewe hapo hospital ndo watajua damu itapatikana wapi. Wewe raia wa kawaida huwezi kujua damu inapopatikana, damu sio pipi. Endeleeni kuwasikiliza wanachowaelekeza.hospital imesha toa chupa kadhaa ila bado ana ishiwa mkuu, haziwekwi kwa muda mmoja mkuu.
NI jukumu lao kuendelea kutafuta damu hata hosp za jirani,wao walisha toa chupa zaidi ya 5 mkuu, hospital pia ila shida inazidi mkuu.
Sahihi,,ni jukumu lao..Poleni,ila wenyewe hapo hospital ndo watajua damu itapatikana wapi. Wewe raia wa kawaida huwezi kujua damu inapopatikana, damu sio pipi. Endeleeni kuwasikiliza wanachowaelekeza.
Mkuu,hata watu wakichangia mgonjwa huwa haongezwi damu iliyotolewa hapohapo ,lazima ipimwe kwanza na process za upimaji huweza kuchukua siku kadhaa unless kwenye cases kama damu ni Rh negative. Siku hizi magonjwa ni mengi,damu huwa inachekiwa sana. So hata mtu akipatikana Sasa hivi hataongezwa sasahiviMkuu hapo ni unahitaji kwenda na watu wachangie damu au upate mtu mwenye kadi ya damu salama huyo anaweza kukusaidia ukimpeleka na kadi yake huwa wanapewa tu maana wao wanachangia mara kwa mara.
Tufahamishe yupo mkoa gani na hospitali kama ni ishu serious tukuunge na watu wenye kadi za damu salama waokoe maisha.
sawa mkuu AsantePoleni,ila wenyewe hapo hospital ndo watajua damu itapatikana wapi. Wewe raia wa kawaida huwezi kujua damu inapopatikana, damu sio pipi. Endeleeni kuwasikiliza wanachowaelekeza.
Asante mkuu nime elewa.Mkuu,hata watu wakichangia mgonjwa huwa haongezwi damu iliyotolewa hapohapo ,lazima ipimwe kwanza na process za upimaji huweza kuchukua siku kadhaa unless kwenye cases kama damu ni Rh negative. Siku hizi magonjwa ni mengi,damu huwa inachekiwa sana. So hata mtu akipatikana Sasa hivi hataongezwa sasahivi
Sawa mkuu AsantePoleni,ila wenyewe hapo hospital ndo watajua damu itapatikana wapi. Wewe raia wa kawaida huwezi kujua damu inapopatikana, damu sio pipi. Endeleeni kuwasikiliza wanachowaelekeza.
Labda kama utaratibu umebadilika ila navojua damu hua ipo tu hospital na mtu yeyote anawekewa akihitaji sema hospitalini wakishampa damu mgonjwa wako ndo watakusumbua wewe ufanye mazingira ya kufidia damu aliyotumia mtu wako.Nilizani mgonjwa ni NEGATIVE ili nimchangie..
Mkiambiwa mchangie damu mnaona kama mnachimbwa mafutaHabari nina mgonjwa anaye tarajiwa kufanyiwa operation siku zijazo, ila ana changamoto nyingine ya kuishiwa damu mara kwa mara.
je naweza pata wapi sehemu ninayo weza kununua damu, angalau chupa 10.
I mean no malice to nobody
Kwani Negative anazuiwa kumuongeza damu positive ?Nilizani mgonjwa ni NEGATIVE ili nimchangie..