3lly da prophet
Member
- Feb 16, 2017
- 61
- 85
Damu haiuzwi mkuu... Cha msingi andaa watu wa kufanya replacement ya units atakazopewa mgonjwa wako. Hospital Ina wajibu wa kukutafutia damu kwa ajili ya mgonjwa wako nawe pia una wajibu wa kutafuta watu wa kufanya replacement na kwa kawaida unit Moja ya damu salama inahitaji replacement kuanzia unit mbili na kuendelea.Habari nina mgonjwa anaye tarajiwa kufanyiwa operation siku zijazo, ila ana changamoto nyingine ya kuishiwa damu mara kwa mara.
je naweza pata wapi sehemu ninayo weza kununua damu, angalau chupa 10.
I mean no malice to nobody