Msaada: Ninahitaji damu kwa ajili ya mgonjwa, wapi naweza pata kwa kununua?

Habari nina mgonjwa anaye tarajiwa kufanyiwa operation siku zijazo, ila ana changamoto nyingine ya kuishiwa damu mara kwa mara.

je naweza pata wapi sehemu ninayo weza kununua damu, angalau chupa 10.

I mean no malice to nobody
Damu haiuzwi mkuu... Cha msingi andaa watu wa kufanya replacement ya units atakazopewa mgonjwa wako. Hospital Ina wajibu wa kukutafutia damu kwa ajili ya mgonjwa wako nawe pia una wajibu wa kutafuta watu wa kufanya replacement na kwa kawaida unit Moja ya damu salama inahitaji replacement kuanzia unit mbili na kuendelea.
 
Habari nina mgonjwa anaye tarajiwa kufanyiwa operation siku zijazo, ila ana changamoto nyingine ya kuishiwa damu mara kwa mara.

je naweza pata wapi sehemu ninayo weza kununua damu, angalau chupa 10.

I mean no malice to nobody
kama utazungumza kwa herufi kubwa, niko tayari kutoa zote. Uko mkoa gani na offer yako iko vipi? Na je, naweza kutoa zote kwa wakati mmoja au moja kwa kila siku?(wataalamu)
 
Asante mkuu, nimesha pata ufafanuzi na msaada zaidi.
 
#8$44
 
Mahospitali damu zipo ila sharti upeleke mtu atakayereplace ile damu iliyohifadhiwa pale hospital. Hawauzi damu ila wanataka replacement na hiyo ndio kanuni.

Wataipima baadae na kuihifadhi.
 
Hatari sana, japo tuendelee kuchangia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…